Wazee Maarufu na Madiwan Mbeya kyela Waibana Serikali kuhusu ugonjwa Wa Mwakyembe.
Wahoji serikali iwambie Dr.Mwakyembe anaumwa.
Source.Nipashe
Wazee Maarufu na Madiwan Mbeya kyela Waibana Serikali kuhusu ugonjwa Wa Mwakyembe.
Wahoji serikali iwambie Dr.Mwakyembe anaumwa.
Source.Nipashe
Hao wazee nao kweli hamnazo kesi ya nyani wana mpelekea ngedere??
Mi naona kama wanabusara na kutaka kujua ukweli kamili wamwite mwakyembe na kumuuliza.
Nao ubaguzi wao utawatafuna mpaka mfupa wa mwisho: kwanini wahoji ugonjwa wa Mwakyembe tu?!, mwandosya je?!, Hilda Ngoye je?!, na mwenyekiti wa CCM wa mkoa wao amabye yuko mahututi kitandani kwa miezi kadhaa je?, na yule binti marehemu wa Kyela je?!
Serikali ibebe jukumu hilo.
Alipoumwa mkapa mguu enzi hizo walisema.
Alipoumwa kawawa enzi hizo walisema.
Bibi titi mohameid pia.
Why mwakyembe?
I support madiwani na wazee,
Jamani madiwani wa Kyela wako concerned na Mbunge wao sasa hayo ya akina Mwandosya,Ngoye na uyo Mula yanatoka wapi?
Hao nao wana watu wao wa kuwaulizia no necessary watu wa Kyela!
WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.
Follow Us Here