Waungwana,
Tangu asubuhi ya leo magazeti yote ya IPPMEDIA hayapatikani mtandaoni. Kuna yeyote aliyefanikiwa kuyasoma magazeti hayo mtandaoni leo?
Natanguliza shukrani.
Waungwana,
Tangu asubuhi ya leo magazeti yote ya IPPMEDIA hayapatikani mtandaoni. Kuna yeyote aliyefanikiwa kuyasoma magazeti hayo mtandaoni leo?
Natanguliza shukrani.
Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action
Vipi, je kuna anayejua kulikoni, au ndicho kielelezo cha mwanzoni kuonyesha sideslip to Maxwellism.
Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo
Mkuu Bubu AK
Ni kweli, hata mimi nimejaribu mara kadhaa hayapatikani,
Labda Ufisadi, maana mafisadi hawana dogo!
Love your Country, Fear your Government!
Ni uzembe tu wa webmaster(s).Mona hata Majira nalo limepotea kimyakimya mtandaoni,halafu Tanzania Daima wana-update page yao kwa kushtukiza....yaani tunaotegemea habari za nyumbani thru mtandao tunanyanyaswa kupita kiasi.Hapo IPPMEDIA kwenyewe si ajabu ukakuta habari,uki-click haipo.
Hata changamoto haliko online
Watanzania mbumbumbu wamemchagua raisi dhaifu ajenge taifa la watu wasiojiamini, 2010/2015 - Tafakari
Watakuwa wanafanya "maintenance" nadhani au "Webmaster" kaanza kula Mwaka Mpya pale Maryland Bar! na kasahau jinsi umma wa waishio Ngambo unavyoathirika na uzembe wake (Miafrika Ndivyo tulivyo) - by the way mimi nipo Dar lakini naona hata ile asubuhi yamechelewa sana kufika mtaani - trust me ninakofanya kibarua ni nje sana ya jiji kwahiyo hata mimi sijapata "hard copy" ya gazeti lolote la IPP
Nadhani hawa IPP wana matatizo katika idara yao ya IT
mwanahalisi ilipotea siku nyingi nalo
IDARA YAO YA IT INAENDESHWA NA MTU MMOJA ANAYEITWA ERICK AMBAYE PIA NI MSIMAMIZI WA INFORCOM ANGALIA www.darhotwire.com HII NI TOVUTI YA IPP PIA
Mkuu Shy hata hii www.darhotwire.com haipo hewani
Tuangalie domain name zao kama zimeshapitwa na wakati tuzisajili upya inawezekana tatizo ndio hilo
Au wanafanya hivi halafu kesho waje kulalamika wamechezewa na mambo kama hayo kama ingakuwa uhuni fulani mara nyingi watu wanaacha sahihi zao
Zeutamu mwendo mdundo....
Mkulima kala Mbegu......
For a long time, hundreds of people have been sleepless. Some have attempted suicide because of Ze- Utamu. Good news is; they have been identified.
Even though we cannot reveal the names of the culrpits or their location due to the ongoing investigations, we would like to inform you that, they have been reported to the US Federal Agencies and also going to be forwarded to the UK authorities as well.
Their current host is based in Houston Texas, and will be glad to receive your complaints regarding their acts of terror.
Host Gator,
Security Department
Houston, Texas ( Headquarters )
11251 Northwest Freeway, Suite 400
Houston, TX 77092
United States of America
Toll Free :1-866-96-GATOR (42867)
Local :1-713-574-5287
You can also write to [email protected] with any complaint, concern or helpful information. These are more or less of terrorists trying to terrorize the society and will be glad to receive your feedbacks or suggesions so that we can compile and forward to the investigation team all of your concerns, so that the persons involved in the ring can be dealt with.
NOTE: Your emails or comments are going to be anonymous so dont worry of being forwarded anywhere. Be it a victim or anyone with helpful information, please feel free to communicate through.
[email protected]
MDAU
“I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”
'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.
(¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)
jamani nimekosa mkopo
Follow Us Here