JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

  Report Post
  Page 6 of 20 FirstFirst ... 45678 16 ... LastLast
  Results 101 to 120 of 381
  1. figganigga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2010
   Location : dar es salaam
   Posts : 12,331
   Rep Power : 166336739
   Likes Received
   5460
   Likes Given
   15532

   Default PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam


   hapa ni maeneo ya kati ya Tabata na Buguruni, kama picha hii inavyoonyesha nyumba zikiwa zimefunikwa na kuelea majini leo hii.


   Eneo la Tabata unapopita Mto Msimbazi likiwa limejaa maji na kufunika baadhi ya nyumba za maeneo hayo leo.


   Haya ni maeneo ya Vingunguti kuelekea Tabata, eneo la Viwanda.
   Picha za Moja kwa moja kutoka Eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kuzingirwa na maji/Mafuriko kutokana an mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam Muda Huu na kufanya eneo lote la Jangwa Kuonekama Kama Ziwa.Picha Hizi za Moja kwa Moja Kutoka Jangwani Zimepigwa na Mdau Bilal Ahmed


   Daraja la Kawe eneo la Bondeni linapojengwa Daraja jipya tayari maji yamelizidia na kupita juu.
   Kingo za Daraja hilo zikiwa tayari zimebomoka
   Baadhi ya abiria wakitembea kwa miguu baada ya eneo hilo njia kufungwa

   Mto Msimbazi ulikopita na kuharibu Miundombinu.

   .

   We live in stronger world where the poor walk miles to get food, and the rich walk miles to digest food


  2. #101
   BAK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2007
   Location : Mfaranyaki
   Posts : 43,965
   Rep Power : 429505969
   Likes Received
   26169
   Likes Given
   28962

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   Safari_ni_Safari likes this.
   Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

  3. #102
   BAK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2007
   Location : Mfaranyaki
   Posts : 43,965
   Rep Power : 429505969
   Likes Received
   26169
   Likes Given
   28962

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

  4. Mama Mdogo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st November 2007
   Posts : 2,363
   Rep Power : 255060860
   Likes Received
   1403
   Likes Given
   134

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   Kikosi cha uokozi kikiwa kazini barabara ya Morogoro karibu na daraja la Magomeni lilofurika

   Name: Kikosi cha uokozi.JPG
Views: 1436
Size: 274.1 KB
   Name: Uokozi.JPG
Views: 3438
Size: 308.2 KB
   Anyone who has never made a mistake has never tried anything new - Albert Einstein
   No problem can be solved from the same level of consciousness that created it
   - Albert Einstein


  5. #104
   BAK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2007
   Location : Mfaranyaki
   Posts : 43,965
   Rep Power : 429505969
   Likes Received
   26169
   Likes Given
   28962

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

  6. Candid Scope's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2010
   Posts : 11,804
   Rep Power : 366017320
   Likes Received
   6612
   Likes Given
   4616

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   Quote By King Kong III View Post
   Hawa jamaa wanatumia matatizo ya wana-nchi kutoka/kujiapatia umaarufu kisiasa,sasa anapiga picha na bibi hili iweje?
   Haya mafuriko yanaibua mengi. Hizi paa za mabanda zimekuwa hivyo tangu awali au ni kipindi hiki cha mafurikop? Maa naona tairi za gari ndio zinazoshikilia miundo ya kuhimili paa.


  7. Candid Scope's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2010
   Posts : 11,804
   Rep Power : 366017320
   Likes Received
   6612
   Likes Given
   4616

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   Quote By Mama Mdogo View Post
   Kikosi cha uokozi kikiwa kazini barabara ya Morogoro karibu na daraja la Magomeni lilofurika

   Name: Kikosi cha uokozi.JPG
Views: 1436
Size: 274.1 KB
   Name: Uokozi.JPG
Views: 3438
Size: 308.2 KB   Sipati picha, ni vikosi vya uokoaji au vikosi vya vita? Mbona wamevalia kivita, virungu, risasi na bunduki? Hapa niko gizani sijui kinachoendelea katika uokoaji wa staili hii.
   BAK and mja like this.

  8. Rutashubanyuma's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th September 2010
   Location : Arusha
   Posts : 40,682
   Rep Power : 623434
   Likes Received
   5396
   Likes Given
   7931

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   miaka 50 ilisherehekewa juzi juzi tu na tuliohoji kuwa hakuna la maana hapo tuliambiwa ni vipofu..................sasa kumbe wao ndiyo vipofu kabisa.............
   John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

   John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

  9. Katavi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st August 2009
   Location : Lyamba Lya Mfipa
   Posts : 31,121
   Rep Power : 271424017
   Likes Received
   5724
   Likes Given
   3401

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   Hatuna vikosi vya uokozi!

  10. kanyagio's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th December 2009
   Location : PeriUrban
   Posts : 893
   Rep Power : 10886668
   Likes Received
   251
   Likes Given
   32

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   Quote By Candid Scope View Post   Sipati picha, ni vikosi vya uokoaji au vikosi vya vita? Mbona wamevalia kivita, virungu, risasi na bunduki? Hapa niko gizani sijui kinachoendelea katika uokoaji wa staili hii.
   ni vema nipigwe ban kuliko kukaa kimya, hizi picha mbili zimeniudhi sana!! yaani badala ya kuja na vifaa vya kuokoa askari wamejaza mabomu vifuani... huu ni ushenzi... Vikosi vya uokozi vipo wapi?
   always apply the law of leverage

  11. PakaJimmy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2009
   Posts : 16,251
   Rep Power : 16106755
   Likes Received
   8164
   Likes Given
   3665

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   Too bad!
   Inasikitisha kuwa Dar si mji kabisa kwa emergencies kama hizi!
   "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
   What a man is, survives him... it can never be buried"
   (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
   [email protected]

  12. PakaJimmy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2009
   Posts : 16,251
   Rep Power : 16106755
   Likes Received
   8164
   Likes Given
   3665

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   Quote By kanyagio View Post
   ni vema nipigwe ban kuliko kukaa kimya, hizi picha mbili zimeniudhi sana!! yaani badala ya kuja na vifaa vya kuokoa askari wamejaza mabomu vifuani... huu ni ushenzi... Vikosi vya uokozi vipo wapi?
   Jomba punguza hasira, matukio ya emergenzies kama hizo yanatumiwa na baadhi ya watu kujinufaisha kwa kupora mali za wengine.
   Ni muhimu kukawa na patrols za aina hii ili kualert jamii kutohalifu!
   "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
   What a man is, survives him... it can never be buried"
   (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
   [email protected]

  13. #112
   mja's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2010
   Posts : 312
   Rep Power : 614
   Likes Received
   60
   Likes Given
   147

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   zile helkopta za uchaguzi zipo wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii , mtusaidie sasa, ndo wakati tunapozihitaji sana, mungu tusaidie

  14. Askofu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th February 2009
   Location : Synagogue
   Posts : 1,671
   Rep Power : 976
   Likes Received
   83
   Likes Given
   65

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   Hali Bado tete... Eeh Mungu tunusuru
   Politicians and Diapers needs to be changed for the same reason...

  15. MwafrikaHalisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th October 2011
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 1,723
   Rep Power : 914
   Likes Received
   458
   Likes Given
   463

   Default

   Quote By BAK View Post


   Angalia mtumbwi wa "kuokolea" waliokumbwa na mafuriko ulivyochoka. Sijui ulinunuliwa mwaka gani, lakini magari ya kuwamwagia Watanzania pilipili ni mapya kabisa!!!!
   Hahaha.

  16. Leonard Robert's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd April 2011
   Posts : 6,368
   Rep Power : 1805
   Likes Received
   1171
   Likes Given
   222

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   hari ni tete.

  17. Chenge's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th October 2011
   Posts : 812
   Rep Power : 666
   Likes Received
   270
   Likes Given
   60

   Default Aibu ya baba mkwe! (Picha Baadhi Mafuriko Dar es Salaam)   Last edited by Chenge; 22nd December 2011 at 11:50.

   Some people are simply alive because it's illegal to kill them


  18. fyddell's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th December 2011
   Posts : 1,370
   Rep Power : 1041
   Likes Received
   451
   Likes Given
   388

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   Nilidhani Serikali yetu inajifunza baada ya matukio makubwa yakitokea kama mkuu wa nchi alivyosema baada ya tukio la Nungwi aliposema 'serikali imeliona tatizo na wengi wasingefariki kama tungekua na life jackets na boti za uokoji za kutosha. Tulishuhudia maisha ya watanzania yakipotea kwenye ajari ya Mv. Bukoba na sasa ni Mv. Island sasa na inaonekana vwanzo vinafanana. Serikali imeliona hili na tutahakikisha tatizo kama hili halitokei tena kwa kuhakikisha tunavifaa vya uokoaji vya kutosha' Swari langu kwa serikali na huyo mkuu wake, je hivyo vifaa bado havijanunuliwa? Na je nikweli serikali inajifunza baada ya makosa kutokea? Mimi kama mimi naona hakuna kitu kama hicho bali ninachoona nikwamba SERIKALI YETU HAIJALI WANANCHI WAKE.
   BAK likes this.

  19. Al Zagawi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2009
   Location : Morogoro
   Posts : 1,223
   Rep Power : 881
   Likes Received
   310
   Likes Given
   127

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   Quote By Candid Scope View Post   Sipati picha, ni vikosi vya uokoaji au vikosi vya vita? Mbona wamevalia kivita, virungu, risasi na bunduki? Hapa niko gizani sijui kinachoendelea katika uokoaji wa staili hii.
   Huu ni uokoaji Tanzanian Style....Miaka 50 ya uhuru wa Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga mbele.

   Shame on us.
   ...........Uwanja wa siasa katika nchi karibu zote za Kiafrika, ni uwanja uliotekwa na majambazi ambao wanafanya wanachotaka, vile wanavyotaka..........Jenerali Ulimwengu, Raia Mwema Namba 278.

  20. #119
   Zemu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2008
   Posts : 495
   Rep Power : 777
   Likes Received
   65
   Likes Given
   27

   Default Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

   Aksante kwa picha nzuri kk, ila ile ya Jangwani kwa Ynga imenivuta sana.

  21. #120
   IGWE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2011
   Location : Blue Plaza Building-Arusha
   Posts : 6,601
   Rep Power : 3680
   Likes Received
   1968
   Likes Given
   1828

   Default Re: Aibu ya baba mkwe! (Picha Baadhi Mafuriko Dar es Salaam)

   huyu mama makinda ni kwamba analia ama_...aache kamba zake hapa,kamwe siwezi kumwamini kwamba ana uchungu na walala hoi huyu...pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuu uuuuu....i hate her
   Shine likes this.
   "We should learn to help others,not only in our prayer but also in daily life,if we cannot help them_then,the least thing we can do is to desist from harming them"


  Page 6 of 20 FirstFirst ... 45678 16 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Mafuriko Dar es Salaam-Video
   By Mzalendo80 in forum Jamii Photos
   Replies: 4
   Last Post: 23rd December 2011, 11:57
  2. Tume ya kuchunguza Mafuriko Dar es Salaam
   By Igabiro in forum JF Chit-Chat
   Replies: 14
   Last Post: 22nd December 2011, 08:50

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...