Wanajamvi hakuna mwenye taarifa za kuwepo kwa tifu leo Jijini? Nimepishana na kikosi cha FFU kikiwa na magari kadhaa ya washawasha hapa Mandera road karibu na Ubungo mataa wanachanja mbuga kuelekea maeneo ya Tabata. Sijajua kuna nini huko watokako au waendako.

Reply With Quote

Follow Us Here