Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

    Report Post
    Page 1 of 6 123 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 111
    1. #1
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,175
      Rep Power : 810
      Likes Received
      249
      Likes Given
      0

      Default Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      Kutokana na utafiti wangu niliofanya mkoani kilimanjaro nimegundua ya kwamba mkoa wa kilimanjaro una makabila tofauti si chini ya saba kama ifuatavyo:wapare,wagweno,warom bo,wamachame,wakibosho,wasiha, wachagga(vunjo),na wakahe.Kilichonisaidia kwenye tafiti yangu na kugundua kuwa watu wa vunjo ndio wachagga ni kwamba wanaongea lugha moja na tamaduni yao ni tofauti kabisa na hayo makabila mengine,na ikumbukwe ya kwamba jamii inaweza kujitambulisha ya kuwa wao ni kabila moja pale tu ambapo jamii husika wanaongea lugha moja na tamaduni yao ni moja.
      Nawasilisha
      kalikenye and Ukwaju like this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      Azimio Jipya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Location : Universal Space Station
      Posts : 3,282
      Rep Power : 5415
      Likes Received
      1006
      Likes Given
      1731

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      Unaonaje hii ... Kilimanjaro hakuna wachagga, wako kwa majina uliyoyatoa ... hata hao uliowaita wachagga ni wa Vunjo! ... Cha msingi wote ni Watanzania!
      Never Get Angry; Never Make Threat; Reason With People;
      "Napenda the logic of the words because in some ways it says about individual-not to use emotions-when scrutinizing something, whether it involves you or not" ...-by AshaDiii @ Jamiiforums 26th July 2011.


    4. #3
      PrN-kazi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 2,212
      Rep Power : 5359
      Likes Received
      292
      Likes Given
      4

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      Wachaga maanake ni muunganiko wa makabila zaidi ya manne yenye lugha tofauti zenye ufanano wa karibu na yanayopatikana katika mkoa mmoja wa kasikazini.

    5. #4
      aspen's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th July 2011
      Posts : 371
      Rep Power : 472
      Likes Received
      79
      Likes Given
      5

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      kuna wanarumu pia ambao mmachame haambulii hata neno moja kuna wengine kiruuuuuu ni tusi wengine ni mshangao kuhusu wagweno ni wapare sema wanabana pua
      Ulimakafu and apolito like this.

    6. #5
      Ibrah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2007
      Location : TZ
      Posts : 2,883
      Rep Power : 1199
      Likes Received
      402
      Likes Given
      46

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      Kwa mtazamo wako Makupa si hao tu bali kuna wa-Uru na wa-Old Moshi. Ni vizuri utambue kuwa si Wachaga tu Makabila yote ya vikabila vidogo vidogo ndani yake (clans) ambavyo huwa kuna tofauti hata za baadhi ya maneno.
      Ukitoka hapo Makupa, utakuta hakuna Wakristo basi, bali WaRc, Walutheri, Waanglikana, Wasabato, nk
      Lokissa, sawabho and Lushinde like this.

    7. Miaka 50

    8. #6
      nkundaruwa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd December 2011
      Posts : 28
      Rep Power : 382
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      Mi nadhani tukiwaondoa hao Watani zetu, wengine wote (Warombo, Wavunjo, Waold Moshi, Wauru, Wamachame, Wanarumu, Wasiha na Wakibosho) ni WACHAGGA. Kinachotutofautisha ni DIALECTS!
      Kila jamii moja ilipokuwa inatenganishwa na nyingine na labda msitu mnene, mto mkubwa, bonde, mlima n.k, hapo huzaliwa dialect mpya ambayo si tofauti sana na Lugha Mama.
      Hata desturi na mila zinafanana sana. Tofauti ni ndogo kati ya sehemu na sehemu zinazotenganishwa na mto, misitu au milima

    9. #7
      PrN-kazi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 2,212
      Rep Power : 5359
      Likes Received
      292
      Likes Given
      4

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      nkundaruwa; upo karibu na ukweli, ngoja tuendelee na utafiti.

    10. #8
      Filipo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : Kiding'a
      Posts : 6,357
      Rep Power : 18617
      Likes Received
      3520
      Likes Given
      1707

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      Duh! Kaaz kwel kwel! Kumbe mimi si mchaga!
      Times the time before time times you!

    11. #9
      Safety last's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th March 2011
      Posts : 2,680
      Rep Power : 950
      Likes Received
      519
      Likes Given
      6

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      Huyu makupa si ulisema Unawachukia wachaga!

    12. #10
      NYAGI DRY's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th September 2011
      Posts : 151
      Rep Power : 419
      Likes Received
      34
      Likes Given
      2

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      wakahe unawajua? Kakabila flan kadogo sana,ndo nitokako mie,sifa yao kubwa ni uchawi,though cjawah kushuhudia bali naambiwa,wanaishi tambarare sana na sikule miliman!

    13. #11
      nkundaruwa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd December 2011
      Posts : 28
      Rep Power : 382
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      Ndg Nyagi,
      Wakahe na Wauru naona ni kitu moja tu.
      Yale yalikuwa maeneo ya Wauru ya kulima. Wenyewe wanaita "nuka"; nahisi maana yake ni "porini".

    14. #12
      dwight's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 288
      Rep Power : 491
      Likes Received
      20
      Likes Given
      3

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      Huo utafiti wako umepoteza muda!

    15. #13
      dwight's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 288
      Rep Power : 491
      Likes Received
      20
      Likes Given
      3

      Default

      Mnafiki hajifichi!
      Quote By Safety last
      Huyu makupa si ulisema Unawachukia wachaga!

    16. #14
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,175
      Rep Power : 810
      Likes Received
      249
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Safety last
      Huyu makupa si ulisema Unawachukia wachaga!
      Ndio nilisema hivyo nikiwa kama mrombo nachukia wachagga(vunjo) huwa wanajifanya kuwa ndio wasomi wa mkoa wa kilimanjaro

    17. #15
      Beethoven's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th June 2011
      Posts : 111
      Rep Power : 425
      Likes Received
      32
      Likes Given
      8

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      Pamoja na kautafiti mwitu ulichofanya,bado kuna mambo mengi huelewi,endelea kujifunza kutoka kwa wadau kama alivyokueleza Nkundaruwa Dialects ndiyo point,kuwa na dialects tofauti hakufanyi kabila kuwa tofauti.Juu ya wakahe kutokana na simulizi za watu,wa-kahe ni kundi dogo lililotokana na watu waliokimbia kwao kutokana na kutengwa au kukimbia kwao kwa sababu mbalimbali wakaenda kuishi(kujificha)tambarare,ndi o maana koo zao ni mchanganyiko utakuta koo za asili ya kibosho,old moshi,uru nk kutegemea alikimbia kutoka wapi.

    18. #16
      kaeso's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2011
      Posts : 551
      Rep Power : 524
      Likes Received
      91
      Likes Given
      158

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      Makabila mengi yanakuwa na vi-kabila vidogo vidogo ndani yake.

    19. #17
      Stuxnet's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2011
      Posts : 702
      Rep Power : 2877
      Likes Received
      177
      Likes Given
      0

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      Si kweli hatuwezi kuwa na kabila lenye jina la Kiingereza 'Wa Old Moshi". No this is awkward na ni namna ya kuwadharau hao watu wanaotoka hapo. Labda mukiniambia wa Moshi ya Zamani nitakubali lakini hata munichune ngozi Old Moshi si kabila

    20. #18
      Baba Collins's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2011
      Location : Naabi Gate
      Posts : 455
      Rep Power : 478
      Likes Received
      74
      Likes Given
      269

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      Quote By nkundaruwa
      Mi nadhani tukiwaondoa hao Watani zetu, wengine wote (Warombo, Wavunjo, Waold Moshi, Wauru, Wamachame, Wanarumu, Wasiha na Wakibosho) ni WACHAGGA. Kinachotutofautisha ni DIALECTS!
      Kila jamii moja ilipokuwa inatenganishwa na nyingine na labda msitu mnene, mto mkubwa, bonde, mlima n.k, hapo huzaliwa dialect mpya ambayo si tofauti sana na Lugha Mama.
      Hata desturi na mila zinafanana sana. Tofauti ni ndogo kati ya sehemu na sehemu zinazotenganishwa na mto, misitu au milima
      Uko sawa mkuu.

      Dialects=Lahaja.
      malema 1989 likes this.
      'Mwoga hana makovu'

    21. #19
      Songambele's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th November 2007
      Posts : 750
      Rep Power : 742
      Likes Received
      75
      Likes Given
      192

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      Wote hao wanatambulika na jamii zingine nje ya kilimanjaro kama wachagga sasa machame, kibosho, marangu au rombo ni udambu udambu (mbwe mbwe tu).
      Ndio maana nyerere alionya ubaguzi na dhambi zake
      Vinci likes this.

    22. #20
      Stuxnet's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2011
      Posts : 702
      Rep Power : 2877
      Likes Received
      177
      Likes Given
      0

      Default Re: Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

      Mimi napinga kabila kuitwa wa old moshi, haiwezekani kwani Wakoloni wamekuja mwishoni mwa karne ya 18 na tayari kulikuwa watu wanakaa pale. Kiingereza kilikuja na ukoloni, kwa hiyo wape jina lolote wale watu lakini sikubali uwaite eti wa Old Moshi. Nakataa

    Page 1 of 6 123 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Tetesi: Wamachame na wakibosho
      By A-town in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 35
      Last Post: 18th August 2012, 19:53
    2. Smart Wachagga!!
      By Nesindiso Sir in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 8
      Last Post: 7th September 2008, 18:47
    3. Wachagga MPO???
      By mstahiki in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 1
      Last Post: 23rd November 2007, 13:44

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...