Ajali imetokea japan hivi karibuni na imehusisha Ferrari 8,Mercedes Benz 3 na Lamborgini moja. Magari yote haya ni ya kifahari na ya gharama kubwa. Hasara inakadiriwa kufikia $ 3.85 millioni. The most expensive car crash in history. Source BBC