Naangalia hafla ya viongozi mbalimbali kutunukiwa nishani TBC 1 sasa hivi,kulikuwa na photo session basi hapo ndipo nilipochoka,wacha mheshimiwa Rais aanze kuwagombeza,"changamkeni, muda wa picha sasa, changamkeni giza linaingia",na maelekezo mengine,mwisho akasema, "basi sitaki tena picha zinatosha"(huku mikono inaongea kwa nguvu kuashiria hataki), yani niliona aibu kwa niaba yake. Why! a simple thing like a photo session mpaka aingilie na kupoteza utulivu, wahusika walikuwa wanazubaa wapi?, siku nyingine wachangamke ili mheshimiwa atulie tu bila kuonekana micro manager....just saying

Reply With Quote

MEANS; DOING THE BEST YOU CAN WITH WHAT YOU HAVE.
Follow Us Here