Ndugu zangu nimesahau. Naomba mnikumbushe jina la waziri mkuu wa sasa TZ ni nani? Jina limenitoka kidogo wadau. Anayejua anijuze haraka kuna swali natakiwa kujibu mara moja.
Ndugu zangu nimesahau. Naomba mnikumbushe jina la waziri mkuu wa sasa TZ ni nani? Jina limenitoka kidogo wadau. Anayejua anijuze haraka kuna swali natakiwa kujibu mara moja.
ni yule babayako wa kufukia ! Umemkumbuka?
Anaitwa Mwigulu Nchemba kama sijakosea...
anaitwa DAVID CAMERON
Anaitwa Sumry
Hiki ni kipimo cha ukarimu wa mtanzania. Mtu asiyejua kitu kutoka chinyika huko Manyoni milimani akiuliza swali kama hilo hapo juu atajib
Waziri mkuu ni 'nywele nyeupe'.
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
Riziwan kikwete.
Mwana wa mchapa jembe.
PM ni yule mzee mnafki anayelialia daily. Jina lake anaitwa mla Mbegu
Follow Us Here