Sijaipata vema, ila ni ajali mbaya, watu watatu wamekufamo na wengine bado wamekwama mu-gari.
Source: East Africa Radio
Sijaipata vema, ila ni ajali mbaya, watu watatu wamekufamo na wengine bado wamekwama mu-gari.
Source: East Africa Radio
Ahsante for the info!!
Uchakavu wa Mahakama si nafuu ya hukumu!
Ninasikitika kuawaarifu kua kuna ajali mbaya imetokea Ubongo Riverside ambapo gari aina ya lori limeacha njia na kugonga watu.
Kwa uchache inasemekana maiti 20 zimeokotwa eneo la ajali.
Habari zaidi zitawajia hivi punde
Nimepita hapo sasa hivi, inatisha. Nilivyoona ni kama lori la mafuta lilikuwa linatokea Ubungo, limepanda kingo za katikati ya barabara na kugonga magari kadhaa yaliyokuwa kwenye foleni upande wa pili wa bara. Sikuweza kuhesabu watu waliokufa lakini kwa haraka nimeona kama miili miwili hivi ikiwa imefunikwa barabarani
I assume full responsibility for my actions, except the ones that are someone else's fault.
Mola awalaze pahala panapostahikhi maiti wote wa ajali hiyo .
Poleni sana
Ukiwa mchoyo, usiwe mroho.
Man Sharaf naf'sahu, fahuwa rasul
RIP our beloved family members
Mhhhhh!!!!!!!!!!hiii sasa balaaaaa,kila kukicha ajali ajali ajali,mungu awalaze mahali pema.
CHUKI NA UADUI NI MATOKEO YA UPUMBAVU:
Kuna taarifa kwamba kuna ajali imetokea river-side pale ambapo lori limepoteza mwelekeo na kugonga magari mengine manne na kisha kudondokea daladala lilojaa abiria..watu wamefariki huku wengine wakikatika vichwa...harakati za kuwanasua zinaendelea
source:Clouds fm
Hizi ajali za barabarani sasa jamani! Magari mabovu yanaruhusiwaje kutembea barabarani? Na madereva wasiokuwa na leseni wamejaa tele mitaani!
Ability may get you to the top, but it takes character to keep you there.
poleni sana
Iga kazi, usiige matumizi
Poleni watanzania wenzetu mliopoteza ndugu zenu na kwa wale waliopona kifo na kuumia nawatakia nafuu,Mungu azilaze mahali pema peponi roho za marehemu.amina.
You can never have someone praise you,nor will anyone condemn you,never in the past,not at present and never will be in the future.
kuna gari kubwa la tera limeangukia daldala karibu 3, na kuna watu wamekandamizwa, roli hilo lilishindwa kukata kona............ waliopo jirani watujuvye kinachoendelea.
free maseee @ work
RIP marehemu wote!!
Tanzania inajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno, tuwang'oe meno walaji ili wenye moyo wasijekata tamaa ya kuijenga!!!!
Hizi ajali zitatumaliza.
kheeee sijui ni pale napokulaga pweza jioni
I seeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
Siasa ni hoja na si vinginevyo
mola atawajalia awaweke pema,hapo watakapofikia.Nalog off
shuka halina mfuko
Follow Us Here