?huu ni mwezi wa 3 sasa hili gazeti silisomi kwa muda muafaka kupitia mtandao tatizo ni nini
?huu ni mwezi wa 3 sasa hili gazeti silisomi kwa muda muafaka kupitia mtandao tatizo ni nini
Ni zaidi ya miezi sita sasa. Jamaa hawaoni tena umuhimu wa kufanya update ya website yao. Uswahili mtupu.
Ni kweli jamaaa hawasomeki tena mie mpaka nishaachana na mpango wa kuwafuatilia mtandaoni,ila wanatunyima uhondo sana.
Who Jah bless, No one Curse!
Sie tumezoea maandishi ya wino juu ya makaratasi. Mambo ya mitandao tuyawache kwa wenyewe...
Wamiliki wa Traditional Media channels wengi wameshindwa kubuni business models zinazowawezesha kuweka contents zao online bila kuathiri mapato ya zamani. Wamebaki kuchukulia zoezi la real time content update kama kujiua kibiashara. Ukitoa IIPMedia, Tovuti za waliobaki hazina traffic ya kutosha kuvutia matangazo ya kibiashara ambayo yangefidia lost sales za mashapisho. Hivyo njia yao pekee kuhakikisha wanapata shekeri yako ni ku-update kwa kuweka/kuacha outdated content
Sasa watapataje matangazo bila kwanza ku-update hizo website zao?
Follow Us Here