Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Duhh! Mambo mseto Radio One kuna mambo kweli,Na kama ni KWL mbona ni ISHU! Nina shaka

    Report Post
    Results 1 to 12 of 12
    1. #1
      LiverpoolFC's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2011
      Posts : 6,866
      Rep Power : 23489
      Likes Received
      1526
      Likes Given
      638

      Default Duhh! Mambo mseto Radio One kuna mambo kweli,Na kama ni KWL mbona ni ISHU! Nina shaka

      Nikiwa nyumbani nikiwa najiliwaza kwa hili na lile baada ya kutoka church,nikafungulia Radio One mambo mseto na ndipo nikapata kumsikiliza yule mtangazaji wa radio one toka Morogoro akitoa vihoja ya kweli toka huko mkoani Moro na akimimina aliyoyaona baada driver wa lori moja waliokuwa wanasafiri naye na konda wake kupaki na wakateremka kwenda kupata moja baridi na moja moto na ndipo walipomaliza na kurudi kwenye gari na kujaribu kuwasha bila ya mafanikio konda naye akajaribu kuwasha bila ya kuwaka na ndipo wakafikia maamuzi ya kumtafuta fundi naye akaja akajaribu kulikagua gari akasema haoni tatizo na ndipo wakabaki wakiduwaa bila ya kujua la kufanya na ndipo wakapiga simu kwa office na akaja fundi wa kampuni lengwa la gari naye akajaribu kulikagua naye haoni tatizo,na ndipo akagundua ya kwamba dereva na konda wake wote wamelewa na ndipo akaingia mwenyewe na kuliwasha na gari likakubali na safari ikaendelea. Swali! Mi nafikiri hilo gari ni la Kichina maana mtangazaji ajasema ni aina gani zaidi ya kusema lori,kwanini yasiletwe mengi hapa Nchi na ajali mbona ingepungua? Ama kama ni chombo cha kufunga kwenye magari,si ingefungwa ktk magari madogo na makubwa kana kwmb driver akigusa tu ingali amekunywa pombe na gari hata lisifunguke mlango licha ya kuwaka. Mi ningependa hili sana! Ni hayo tu wanaJF na niwatakieni J'pili njema. Source Radio One:


    2. #2
      Lokissa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th November 2010
      Location : Goba
      Posts : 4,120
      Rep Power : 5817
      Likes Received
      1035
      Likes Given
      2884

      Default Re: Duhh! Mambo mseto Radio One kuna mambo kweli,Na kama ni KWL mbona ni ISHU! Nina shaka

      safi kwa kutujuza aisee sikujua hili
      You may know me but you have no Idea who I am !

    3. #3
      LiverpoolFC's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2011
      Posts : 6,866
      Rep Power : 23489
      Likes Received
      1526
      Likes Given
      638

      Default

      Quote By Lokissa View Post
      safi kwa kutujuza aisee sikujua hili
      Mkubwa! Hayo ni mambo ya mseto radio one. Lakini natamani iwe kwa kila gari.

    4. #4
      Jumahabib's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 11th November 2011
      Posts : 4
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1
      Likes Given
      1

      Default Re: Duhh! Mambo mseto Radio One kuna mambo kweli,Na kama ni KWL mbona ni ISHU! Nina shaka

      Hivi huu mkasa wa kweli au ndo mambo mseto?

    5. #5
      BUBE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2010
      Location : KIMANZICHANA
      Posts : 642
      Rep Power : 565
      Likes Received
      174
      Likes Given
      175

      Default Re: Duhh! Mambo mseto Radio One kuna mambo kweli,Na kama ni KWL mbona ni ISHU! Nina shaka

      Mara nyingi mambo mseto huongea kisa mkasa. Ni mambo ya kweli, lakini la gari...nahofia. Ila pia technologia ikiwa kubwa ni rahisi kuweka censor ya alcohol na kuzuia gari kuwaka. But ....
      Quote By Jumahabib View Post
      Hivi huu mkasa wa kweli au ndo mambo mseto?


    6. #6
      LiverpoolFC's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2011
      Posts : 6,866
      Rep Power : 23489
      Likes Received
      1526
      Likes Given
      638

      Default Re: Duhh! Mambo mseto Radio One kuna mambo kweli,Na kama ni KWL mbona ni ISHU! Nina shaka

      Hawa Wachina wako juu! Haya yote yanawezekana!

    7. #7
      Kwame Nkrumah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2008
      Posts : 858
      Rep Power : 709
      Likes Received
      291
      Likes Given
      295

      Default Re: Duhh! Mambo mseto Radio One kuna mambo kweli,Na kama ni KWL mbona ni ISHU! Nina shaka

      Hiyo stori ina ukweli na uongo.

      UKWELI.
      Kuna alcohol sensor ambazo kama dereva umefikia kiwango fulani cha kilevi gari hailitawaka.

      UONGO.
      Vifaa hivyo ni mpaka ukipumulie. [breathalyzer] angalia hapa Alcohol Breathalyzer | Portable and Handheld Breathalyzer Testing.
      Sasa haiwezekani uingie tu kwenye gari uwashe na lisiwake kwa kuwa umelewa. Gari litakataa kuwaka endapo tu umepima na kiwango cha kilevi cha mtumiaji kimezidi kiwango kinachotatikana. Na stori hii haijasema kwamba kuna kifaa kama hicho walipulizia.
      I take it personal with Mafisadi.

    8. #8
      King Kong III's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Enaboishu-Umenyeni
      Posts : 12,391
      Rep Power : 5160
      Likes Received
      3342
      Likes Given
      2738

      Default Re: Duhh! Mambo mseto Radio One kuna mambo kweli,Na kama ni KWL mbona ni ISHU! Nina shaka

      Nasikia Vogue hizi za 2010 ukilewa haziwaki

    9. #9
      LiverpoolFC's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2011
      Posts : 6,866
      Rep Power : 23489
      Likes Received
      1526
      Likes Given
      638

      Default

      Quote By Kwame Nkrumah View Post
      Hiyo stori ina ukweli na uongo.

      UKWELI.
      Kuna alcohol sensor ambazo kama dereva umefikia kiwango fulani cha kilevi gari hailitawaka.

      UONGO.
      Vifaa hivyo ni mpaka ukipumulie. [breathalyzer] angalia hapa Alcohol Breathalyzer | Portable and Handheld Breathalyzer Testing.
      Sasa haiwezekani uingie tu kwenye gari uwashe na lisiwake kwa kuwa umelewa. Gari litakataa kuwaka endapo tu umepima na kiwango cha kilevi cha mtumiaji kimezidi kiwango kinachotatikana. Na stori hii haijasema kwamba kuna kifaa kama hicho walipulizia.
      Kweli yule msemaji toka pale mji kasoro bahari (MORO) hajasema kama kuna ki2 cha kupumulia ila nataka kusema ya kwmb kama kuna mtu yeyote mwenye mawasiliano yake anijuze na niseme naye halafu niweze kujuza umma kwa undani maana kama hili linawezekana Mi ninaona ni issue sana!

    10. #10
      Bujibuji's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 4th February 2009
      Location : NYUMBANI PANONO
      Posts : 14,415
      Rep Power : 0
      Likes Received
      7411
      Likes Given
      5746

      Default Re: Duhh! Mambo mseto Radio One kuna mambo kweli,Na kama ni KWL mbona ni ISHU! Nina shaka

      Nina vitz model ya 2008, ina sencor ya pombe. Ukiwa chicha huendeshi hata kwa dawa.

    11. #11
      LiverpoolFC's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2011
      Posts : 6,866
      Rep Power : 23489
      Likes Received
      1526
      Likes Given
      638

      Default

      Quote By Bujibuji View Post
      Nina vitz model ya 2008, ina sencor ya pombe. Ukiwa chicha huendeshi hata kwa dawa.
      Mkubwa! Hiyo sencor imekuja nayo hivyo hivyo ama umefunga mwenyewe maana.

    12. #12
      Mbopo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2008
      Posts : 2,534
      Rep Power : 1088
      Likes Received
      377
      Likes Given
      13

      Default Re: Duhh! Mambo mseto Radio One kuna mambo kweli,Na kama ni KWL mbona ni ISHU! Nina shaka

      Quote By Bujibuji View Post
      Nina vitz model ya 2008, ina sencor ya pombe. Ukiwa chicha huendeshi hata kwa dawa.
      Hata vitz? Acha utani bwana

    Similar Topics

    1. kweli duniani kuna mambo
      By Mary Glory in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 37
      Last Post: 25th June 2011, 17:12
    2. Jamani uswahilini kuna mambo......! Kweli kikulacho ki nguoni mwako
      By kajukeg in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 0
      Last Post: 28th July 2010, 12:04
    3. Mambo Jambo Radio
      By Balantanda in forum Entertainment
      Replies: 6
      Last Post: 18th February 2010, 15:47

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...