Wale wanaoifaham Radio hii tafadhali nawaomba mniambie sifa za kuwa mtangazaji radioni hapo.
Wale wanaoifaham Radio hii tafadhali nawaomba mniambie sifa za kuwa mtangazaji radioni hapo.
kubana pua yaani kuwa david cameron.
Just be flexible, wamama wakikutaka usizuge, mshahara za kuhimili mbwembwe za mjini hautoshi
Kamuulize David cameron
uwe mbea km huyo jamaa anayetangaza kpnd asbh naa mdada na uwe mnafik, mwongo na mtetezi wa magamba kw kujdai kumuoji Shukuru kawambwa eti 2na mafanikio kielim wakt ndo elimu imeshuka..au mafanikio ya kujenga madarasa yasiyo na madawati, vifaa na hata waalimu????
Haihitaji Elimu yoyote. Unapaswa uwe mbana pua, na mpiga kelele (vuvuzela).
muulize kibonde
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
kubana pua,kujua kucheka,kuwa mwana magamba,kuwa m'cameroon kwa wanaume,kujikomba kwa wanaume au wanawake,kutokujua au kufanyia utafiti habari(kupenda udaku zaidi)nk.hawaangalii sana elimu
napita tuu
"If I have seen further it is by standing on the shoulders of Giants" (Newton, 1675)
Mh sijaelewa nyuma ya pazia kuna nini napita......
Mbona manaichukia hiyvo Clousd fm jamani
Ile ni redio ya Vijana, inaelimisha , inatuburudisha ha ta wazee wanapenda kusikiliza
NI wabunifu sana
Big Up Clouds
Watangazaji wote mfanane sauti...muwe kama mabwabwa
Siasa ni hoja na si vinginevyo
nimejua leo kumbe ndo wako hiviiiiiii,..........
“If you can not get what you love, then love what you have”
ujue kukicheza kiduku na pia uwe mnyoaji kiduku..
Kifimbocheza wahi ukabane sauti uishi mjini hapa....wahi Mkuu
Siasa ni hoja na si vinginevyo
Uwe sharo ekh! Sharo bang! Sharo barooo! Oooh mamaaa!whats up yoo!
Follow Us Here