Hata scrapper ni poa, basi chukueni na hili.
Wafungwa wanaofika magereza kwa siku ni zaidi ya mia moja, watatosha kwenye kagari haka jamani?
Why Arusha and not Dar Es Salaam? Au wametayarishiwa makamanda ambao kila siku wanakamatwa na polisi na kuletwa mahakamani, je ni coincidence au?

Reply With Quote

Follow Us Here