| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 355
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Waungwana,
Lazima kupambana na hawa mafisadi. Wapigwe picha wakichukua rushwa za kutoa vyumba vya UDSM na ziwekwe hapa JF na kupelekwa polisi ili kuwakomesha mafisadi hawa ambao wanataka kutumia nafasi zao kujitajirisha. Hawa wanaokula na wakubwa wakibanwa ni lazima watawataja wanaokula nao pale UDSM na hivyo kuwachukulia hatua zinazostahili ikiwa ni pamija na kuwafukuza kazi na kuwafungulia mashtaka.
__________________
~*~Life is Good~*~ |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Ni wazo zuri sana lakini kutokana na nature ya business yenyewe sidhani kama waweza kuwapiga picha kirahisi,
They do no have offices (hao madalali). hakuna follow-up ya mgawanyo wa hivyo vyumba (rooms allocations) Ukienda kwa taratibu husika unakuta vyumba vimejaa (yaani tayari allocated) Infact unanunua chumba kwa mwanafunzi mwenzio na sio ofisi husika.
__________________
Things go by Plan and not by chance |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Mkuu BAK, vyumba pale mlimani havijaanza kuuzwa leo. Mimi niliuziwa chumba na aliyekuwa vice president wa DARUSO (Ephraim Mafuru, sasa ni kibosile flani ndani ya VodaCom) mwaka 1997.
So, biashara hii viongozo wa DARUSO ndo vinara wenyewe na wala haitaisha kesho. Pia wanaouza vyumba huwa ni wamiliki 'halali' ambao wamepata vyumba kwa utaratibu uliopangwa lakini kwa kuwa hawataki kukaa chuo, wanaamua kuuza.
__________________
To get something you never had, you have to do something you never did |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kutokana na mimi ninavyofahamu ni kwamba wanafunzi wenyewe ambao wanashida ya fedha wengi wao ndio wauzaji wakubwa wa rooms.
Vilevile wardens wa halls ni wala rushwa wakubwa mabao wanahongwa na wanafunzi hadi laki tano ili tuu apate room katika baadhi ya halls of residence kwenye hiko chuo na wengine hata kuwa na vyumba hadi vitano then wanaviuza. Its a profitable business hapo chuoni na ambao hawana fedha ndio wanaishia kuumia! DARUSO wenyewe ni mafisadi wakubwa coz wanapatana na baadhi ya wardens na kuuza rooms maana wengi wao DARUSO wana occupy rooms kwenye hall linaloitwa Extension!
__________________
'I could have annihilated all the Jews in the World,but I left some of them so you will know why I was killing them'-Adolf Hitler;Mien Kampf |
|
#6

#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Mimi nakumbuka nimemaliza shule UDSM mwaka 1999, Mafuru nadhani alikuwa hata hajaanza shule, au alikuwa first year! Hiyo mwaka 1997 hata Kitila Mkumbo alikuwa bado hajashika uongozi. Huyo Mafuru mimi namfahamu na tumesoma wote pale shuleni kwa mwalimu nyerere, Pugu high school. Jamani naomba tuache siasa za kuchafuliana majina, simply mwenzako ameweza kuwa kibosile fulani kwenye system. Kwa ulivyowakilisha ujumbe wako, ni wazi kuwa mafuru hakuwahi kukufanyia kitu cha namna hiyo, ila pengine tu humpendi kwa sababu zako unazozijua! |
|
#8
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
As long as there's a demand there'll always be a supply. That's enterpreneurship if you ask me. The problem that needs to be addressed is shortage of accomodation. These students sublet the rooms on their own free will au?
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 12:53 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||