Mlikubali kondom,uzazi wa mpango,vyandarua vya dawa,umiss nk.,sasa mkubali na ufisadi - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Habari na Hoja mchanganyiko


Habari na Hoja mchanganyiko Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako. Hoja binafsi pia ziwekwe hapa.


Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 10th October 2008, 08:26 AM   #1
Mlikubali kondom,uzazi wa mpango,vyandarua vya dawa,umiss nk.,sasa mkubali na ufisadi
Tikerra Tikerra is offline 10th October 2008, 08:26 AM

Watanzania kwa bahati mbaya hatuko makini sana.Nimeshasema mara nyingi kwamba tumepoteza kabisa uwezo wa kuweza kutambua ukweli na uwongo,na uovu na wema.Sasa tunapoendelea kulalamikia ufisadi na huku tunatumia kondom na kuendele kushabia vichupi vya Lundenga sieleiwi.This is hypocrisy.Yaani ni unafiki kabisa.Aliyeleta kondom na kumleta Lundenga ndiye huyo huyo aliyesababisha ufisadi.Ni yule Mwovu,Ibilisi,'fool stop.'Kwa hiyo mpaka hapo tutatakapo weza kupambanua uwovu na wema na kuukataa kabisa katika jamii,ndipo hapo ufisadi nao utakapo toweka.Kwa maneno rahisi ni kwamba tumkatae shetani na kazi zake zote,kinyume cha hapo 'we are fighting a loosing battle.'Kwaherini.

Tikerra
JF Senior Expert Member
Points: 300,958, Level: 100 Points: 300,958, Level: 100 Points: 300,958, Level: 100
Activity: 4% Activity: 4% Activity: 4%
Join Date: Wed Sep 2008
Location: Morogoro
Posts: 458
Thanks: 1
Thanked 3 Times in 3 Posts
Views: 268
Reply With Quote
  #2  
Old 10th October 2008, 08:48 AM
Ladslaus Modest's Avatar
Ladslaus Modest Ladslaus Modest is offline
Ladslaus Modest is a Mchungaji (Shepherd)
JF Premium Member
Points: 137,027, Level: 100 Points: 137,027, Level: 100 Points: 137,027, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Fri Jun 2008
Location: Nachunga Kondoo
Posts: 576
Thanks: 20
Thanked 43 Times in 24 Posts
Rep Power: 23
Ladslaus Modest will become famous soon enoughLadslaus Modest will become famous soon enoughLadslaus Modest will become famous soon enoughLadslaus Modest will become famous soon enoughLadslaus Modest will become famous soon enoughLadslaus Modest will become famous soon enoughLadslaus Modest will become famous soon enoughLadslaus Modest will become famous soon enough
Send a message via Yahoo to Ladslaus Modest Send a message via Skype™ to Ladslaus Modest
Default Re: Mlikubali kondom,uzazi wa mpango,vyandarua vya dawa,umiss nk.,sasa mkubali na ufi

Quote:
View Post
'Kwaherini.
Unaenda wapi?
__________________
Wa-Tanzania tupendane, tushirikiane, tuijenge nchi yetu.
Reply With Quote
  #3  
Old 12th October 2008, 09:36 AM
Tikerra Tikerra is offline
Tikerra an agricultural scientist
JF Senior Expert Member
Points: 300,958, Level: 100 Points: 300,958, Level: 100 Points: 300,958, Level: 100
Activity: 4% Activity: 4% Activity: 4%
 
Join Date: Wed Sep 2008
Location: Morogoro
Posts: 458
Thanks: 1
Thanked 3 Times in 3 Posts
Rep Power: 22
Tikerra will become famous soon enoughTikerra will become famous soon enoughTikerra will become famous soon enoughTikerra will become famous soon enoughTikerra will become famous soon enoughTikerra will become famous soon enoughTikerra will become famous soon enoughTikerra will become famous soon enough
Default Re: Mlikubali kondom,uzazi wa mpango,vyandarua vya dawa,umiss nk.,sasa mkubali na ufi

Amka ndugu yangu Modest,' try to know the truth.'Inaelekea unayoyajua umeyachukulia kwamba ndivyo kweli yaliyvo.Ngoja ni kuambie,asilimia 95 ya mambo unayodhani ni kweli ni uongo.Wake up!
Reply With Quote
  #4  
Old 12th October 2008, 10:10 AM
Kang's Avatar
Kang Kang is offline
Kang has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 269,119, Level: 100 Points: 269,119, Level: 100 Points: 269,119, Level: 100
Activity: 7% Activity: 7% Activity: 7%
 
Join Date: Tue Jun 2008
Posts: 1,355
Thanks: 0
Thanked 113 Times in 77 Posts
Rep Power: 24
Kang will become famous soon enoughKang will become famous soon enoughKang will become famous soon enoughKang will become famous soon enoughKang will become famous soon enoughKang will become famous soon enoughKang will become famous soon enoughKang will become famous soon enough
Default Re: Mlikubali kondom,uzazi wa mpango,vyandarua vya dawa,umiss nk.,sasa mkubali na ufi

Mkuu umeitwist logic mpaka ikavunjika!! Yaani tukatae na vyandarua? Kweli kazi ipo.
__________________
“Society is like a stew. If you don't stir it up every once in a while then a layer of scum floats to the top.”
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
dawa, kondom, mkubali, mlikubali, mpango, nk, sasa, ufisadi, umiss, uzazi, vya, vyandarua


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On


Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Ripoti ya Richmond Bungeni na yatokanayo Halisi Jukwaa la Siasa 803 18th March 2010 12:11 PM
Sera Ya Vijana; 'inaeleweka?' John Mnyika Habari na Hoja mchanganyiko 6 10th August 2008 09:54 AM
Tamko la wasomi kuhusu ufisadi Judy Jukwaa la Siasa 13 26th March 2008 09:13 PM
Nadharia 30 za Ufisadi Mzee Mwanakijiji Habari na Hoja mchanganyiko 3 14th January 2008 07:23 PM
Butiku ana hoja! Bubu Ataka Kusema Jukwaa la Siasa 152 19th October 2007 06:15 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!


All times are GMT +3. The time now is 01:22 PM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com