He he he he you people hamjui kabisa madokta wa sa hv kwenye hizi hospital,ndugu yangu tulimpeleka hospital kafanyiwa eti vipimo dokta akaandika normal kila k2 had kizazi na wakati kilishatolewa mwaka wa tisini hivi na dokta kasain na nihospital tuliyokuwa tunasema nzuri hivi tanzania tuna madokta je wana wito au ni pesa mbele,jamani madokta mjali uhai wa watu kwa sababu wewe unamuambia m2 normal wakati analalamika mgonjwa na tukaenda hospital ingine akapata matibabu kwani ndugu yangu alijua wanadanganya yeye pia ni muuguzi,
Follow Us Here