Wana jf nimepita tanesco makao makuu ubungo nikaona waandishi wa habari kibao sijui kuna nini anayefahamu atujuze usikute shirika linauzwa hatujui
Wana jf nimepita tanesco makao makuu ubungo nikaona waandishi wa habari kibao sijui kuna nini anayefahamu atujuze usikute shirika linauzwa hatujui
Wana jf nimepita tanesco makao makuu ubungo nikaona waandishi wa habari kibao sijui kuna nini anayefahamu atujuze usikute shirika linauzwa hatujui.
mkutano tu nahisi
Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!
Ngoja tumsubiri yule mama msemaji wa Tanegiza aongee!
"DONT BE A WOMAN THAT NEEDS A MAN BE A WOMAN A MAN NEEDS!!!!"
Nadhani zitakuwa issue za umeme
Follow Us Here