Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Heko gazeti la Mwananchi

    Report Post
    Results 1 to 9 of 9
    1. #1
      Sanda Matuta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th May 2007
      Location : Mlingotini
      Posts : 1,051
      Rep Power : 894
      Likes Received
      69
      Likes Given
      101

      Default Heko gazeti la Mwananchi

      nimekuwa nikisoma gazeti hili mara kwa mara,ingawa muda mwingine limekuwa likilalia upand e mmoja katika utoaje wake wa habari kiasi cha kuwapa usumbufu waandishi wake kutoka kwa wale wanaoguswa na habari husika hasa za kisiasa.
      Lakini,napenda kuchukua fursa hii kumpongeza muhariri na waandishi wake wale wa "kijarida" kile cha ndani ya gazeti (miaka 50 ya uhuru) .Wamefanya kazi ya ziada ya kuchunguza na kuhakikki taarifa na historia ya taifa hili ambazo nyingi zilikua hazifahamiki au kufichwa na baadhi ya watu kwa malengo yao binafsi.
      Hii,ni fursa tosha kwa sisi wasomaji na familia zetu hasa watoto wetu ambao hawajui historia ya nchi hii (yao),tuchukue fursa hii kuwashauri na wasisitiza katika kusoma magazeti na vitabu ili kujua historia yao,pia na wale vijana wenzangu ambao kwa njia moja ama nyingine wamekosa kujua yale yalio jiri kabla na baada ya uhuru wetu.

      Hongera sana gazeti la MWANANCHI
      God inspired me,Do not seek any perfect trust of the people and do not depend on them for they will perish you.......'' Bahaeddin al Balkh (Maarif I/360)

    2. Study Abroad

    3. #2
      ndetichia's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 18th March 2011
      Location : Mwime - Buswangili
      Posts : 18,111
      Rep Power : 5083
      Likes Received
      2760
      Likes Given
      231

      Default Re: Heko gazeti la mwananchi

      hee pongezi ni jf members tu sawa mkuu karibu tena baadae..

    4. #3
      Sanda Matuta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th May 2007
      Location : Mlingotini
      Posts : 1,051
      Rep Power : 894
      Likes Received
      69
      Likes Given
      101

      Default Re: Heko gazeti la mwananchi

      NIMEKUELEWA MKUU,????
      TOA SUGGESTION BASI NINI KIFANYIKE.
      Unajua HISTORIA ya taifa lako lakini??
      God inspired me,Do not seek any perfect trust of the people and do not depend on them for they will perish you.......'' Bahaeddin al Balkh (Maarif I/360)

    5. #4
      Domo Kaya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th May 2007
      Posts : 570
      Rep Power : 726
      Likes Received
      41
      Likes Given
      9

      Default Re: Heko gazeti la mwananchi

      -Nilikua sifahamu ati hata WAKENYA waliwahi kuwa viongozi wa TAA kabla ya kuundwa kwa TANU ,kweli Historia ya inchi hii ina mambo mengi ambayao ama kwa hakika yalifichwa.
      In this way of life there hundreds of devils in the form of men, so that you can not trust all men shaped as men.

    6. #5
      THK DJAYZZ's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2011
      Posts : 1,871
      Rep Power : 839
      Likes Received
      96
      Likes Given
      0

      Default Re: Heko gazeti la Mwananchi

      Khaaa !!! Mbona hiyo kawaida.

    7. Miaka 50

    8. #6
      Sanda Matuta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th May 2007
      Location : Mlingotini
      Posts : 1,051
      Rep Power : 894
      Likes Received
      69
      Likes Given
      101

      Default Re: Heko gazeti la Mwananchi

      Quote By THK DJAYZZ
      Khaaa !!! Mbona hiyo kawaida.
      Ipi kawada Mkuu!!??
      Watu kutojua Historia yao au wakenya kuwa vongozi wa TAA???
      God inspired me,Do not seek any perfect trust of the people and do not depend on them for they will perish you.......'' Bahaeddin al Balkh (Maarif I/360)

    9. #7
      Sanda Matuta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th May 2007
      Location : Mlingotini
      Posts : 1,051
      Rep Power : 894
      Likes Received
      69
      Likes Given
      101

      Default Re: Heko gazeti la Mwananchi

      John Okello "Field Marshal" na Zanzibar revolution-Lawerence Kilimwiko,Hii ndio habari ya leo.
      Nashauri watu hapa JF tuwe tunasoma hizi habari ili mijadala iwe based on facts kuliko ilivyo sasa.
      Narudia tena,Hongera sabna Gazeti a mwananchi
      God inspired me,Do not seek any perfect trust of the people and do not depend on them for they will perish you.......'' Bahaeddin al Balkh (Maarif I/360)

    10. #8
      Sanda Matuta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th May 2007
      Location : Mlingotini
      Posts : 1,051
      Rep Power : 894
      Likes Received
      69
      Likes Given
      101

      Default Re: Heko gazeti la Mwananchi

      Nina endelea kupongeza gazeti kwa hizi makala za 50 ya uhuru


      "watekaji walikuwa wahuni tu!?" William Shayo
      God inspired me,Do not seek any perfect trust of the people and do not depend on them for they will perish you.......'' Bahaeddin al Balkh (Maarif I/360)

    11. #9
      THK DJAYZZ's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2011
      Posts : 1,871
      Rep Power : 839
      Likes Received
      96
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Sanda Matuta
      Ipi kawada Mkuu!!??
      Watu kutojua Historia yao au wakenya kuwa vongozi wa TAA???
      Kutawaliwa na wagen kiuchumi hata kisiasa ni hali ambayo bado ipo hata leo.

    12. FemaTV & Radio

    Similar Topics

    1. Gazeti la mwananchi la leo....
      By Msanii in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 28
      Last Post: 22nd January 2013, 09:36
    2. Heko Gazeti La Dira ya Mtanzania kwa kuvichua maovu
      By mmaroroi in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 2
      Last Post: 13th November 2011, 21:48
    3. Gazeti la Mwananchi na gamba la CCM!
      By Mzee wa Rula in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 5
      Last Post: 8th May 2011, 21:42
    4. Ikulu Vs gazeti la Mwananchi!
      By AK-47 in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 34
      Last Post: 22nd September 2010, 20:43
    5. Heko M. M. Mwanakijiji kwa makala (gazeti la Mwanahalisi)
      By echonza in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 44
      Last Post: 22nd December 2009, 02:08

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...