Re: Masheikh wamuonya Kubenea na MwanaHalisi
Kwa style hii ya waislamu kutaka kufanya watakavyo kwa kisingizio cha dini haitawezekana.......dc lazima afuate sheria za nchio na sheria za uchaguzi ambazo yeye kwa makusudi na kwa kukusudia amezikiuka. Ni ajabu pale waislamu wanaendelea kuwahamasisha wahalifu (wa mali-kweney mabenki na wale wa sheria -km Fatuma) kutumia mavazi yanayoitwa ya kiislamu kuhalalisha uhalifu wao........kwa taarifa yenu kama huo ndiyo uislamu basi AKIKAMATWA USTADH NA MTU MIDEVU YAKE ANAIBA NA WANANCHI WAKIMKAMATA NA KUMNYOA WAISLAMU WATASEMA NDEVU NI VAZI LA KIISLAMU...
MASHEIKH ACHENI KUENEZXA UDINI KWA MASLAHI YA MATUMBO YENU -HASA POSHO MNAZOPATA KUTOKA CCM KILA BAADA YA KUTOA MATAMKO TAFADHARI
Mvumilivu hula mbivu... Ila mvundika mbivu hula mbovu
Follow Us Here