Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Utaratibu wa mikopo vyuo vikuu kugombanisha familia za wasiojiweza

    Report Post
    Results 1 to 2 of 2
    1. oba
      #1
      oba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : nchi ya kusadikika
      Posts : 273
      Rep Power : 488
      Likes Received
      51
      Likes Given
      88

      Default Utaratibu wa mikopo vyuo vikuu kugombanisha familia za wasiojiweza

      Utaratibu uliotolewa na bodi ya mikopo mwaka huu umehisiwa kuleta mifarakano katika familia baada ya familia kadhaa kushangilia baada ya kuona watoto wao wamepata mfano 2,500,000 ambayo kwao inaonekana ni kubwa kwani hawajawahi kushika hata 1,000,000. Wazazi wanashangilia kuwa pesa hizo zitawasaidia na wao pia huku wakiwa hawafahamu gharama ya masomo chuoni na kuwa wanatakiwa waongezee pesa ili kuchangia gharama za masomo hayo.
      Kwa sababu hiyo watoto watachukiwa na wazazi eti kwa kujipenda na kumaliza mamilioni ya pesa peke yao na watoto watawachukia wazazi kwa kushindwa kuwaongezea pesa zilizopungua kwenye gharama za masomo.
      Nawasilisha!

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Ruge Opinion's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2006
      Location : DAR ES SALAAM
      Posts : 1,058
      Rep Power : 889
      Likes Received
      149
      Likes Given
      79

      Default Re: Utaratibu wa mikopo vyuo vikuu kugombanisha familia za wasiojiweza

      Quote By oba
      Utaratibu uliotolewa na bodi ya mikopo mwaka huu umehisiwa kuleta mifarakano katika familia baada ya familia kadhaa kushangilia baada ya kuona watoto wao wamepata mfano 2,500,000 ambayo kwao inaonekana ni kubwa kwani hawajawahi kushika hata 1,000,000. Wazazi wanashangilia kuwa pesa hizo zitawasaidia na wao pia huku wakiwa hawafahamu gharama ya masomo chuoni na kuwa wanatakiwa waongezee pesa ili kuchangia gharama za masomo hayo.
      Kwa sababu hiyo watoto watachukiwa na wazazi eti kwa kujipenda na kumaliza mamilioni ya pesa peke yao na watoto watawachukia wazazi kwa kushindwa kuwaongezea pesa zilizopungua kwenye gharama za masomo.
      Nawasilisha!
      Labda wazazi wako. Wazazi wengi wanaelewa madhumuni ya mikopo.
      Loosing is a starting point to success

    4. Miaka 50

    Similar Topics

    1. Replies: 26
      Last Post: 1st September 2011, 23:59
    2. Serikali yaunda tume ya vyuo vikuu • Itachunguza utata wa mikopo ya wanafunzi
      By Rutashubanyuma in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 1
      Last Post: 8th February 2011, 07:31
    3. Replies: 8
      Last Post: 1st February 2011, 17:08
    4. Utaratibu mpya wa udahili vyuo vya elimu ya juu Tz
      By SMU in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 8
      Last Post: 20th May 2010, 16:24
    5. Tujenge Vyuo Vya Ufundi/college Si Vyuo Vikuu
      By migella in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 8
      Last Post: 1st June 2007, 16:53

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...