Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Hii ya magari yaendayo kwa kasi imekaa je?

    Report Post
    Results 1 to 2 of 2
    1. #1
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,131
      Rep Power : 2418
      Likes Received
      936
      Likes Given
      377

      Default Hii ya magari yaendayo kwa kasi imekaa je?

      Kitika tafakari yangu ya leo nimejiuliza vituo vya magari yaendayo kwa kasi vinakamilika, je hayo magari yatatumia barabara gani? Na je kwani haya yaliyopo hayawezi kwenda kwa kasi?maana kama sio hizi traffic jam mabasi yanaeza kwenda mwendo mkali sana tu. Mtazamo wangu naona ni watu wanajijengea mradi wao na baada kuja kutojea kashfa za ajabu ajabu kama ilivyo kawaida ya nchi yetu. Kama kuna yeyote mwenyekufahamu zaidi juu ya hili anijuze jama.
      Nawakilisha

    2. Study Abroad

    3. #2
      mbasamwoga's Avatar
      Member Array
      Join Date : 6th July 2011
      Posts : 71
      Rep Power : 412
      Likes Received
      9
      Likes Given
      0

      Default Re: Hii ya magari yaendayo kwa kasi imekaa je?

      Ndugu yangu hii nchi yako ukiyafikiria sana hayo,utapata maradhi ya moyo ma- bp. Huo mradi ni mfereji wa ridhiki kwa wajanja. Hadi sasa mabilion yameshatumika kwa huoujenzi wa vituo.
      Hatuna miundombinu wala maeneo ya mradi huo bali ni upofu wa kukopi na kupest tuuu

    4. Miaka 50

    Similar Topics

    1. Replies: 217
      Last Post: 11th May 2013, 08:38
    2. Namba za wakuu wa police wa mikoa katika magari yaendayo mikoani
      By Voice of Voices in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 0
      Last Post: 19th October 2011, 20:58
    3. Replies: 70
      Last Post: 12th May 2011, 11:47
    4. Mabasi yaendayo kasi....!
      By jcb in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 7
      Last Post: 2nd March 2011, 12:15
    5. Mradi wa mabasi yaendayo kasi Dar
      By Mgumu in forum Business & Economic Forum
      Replies: 88
      Last Post: 26th February 2011, 15:24

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...