| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 270
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Sifa mojawapo ya vibaraka wa Marekani na UK ni kusifiwa na mataifa hayo au institutions zao hata kama sifa hizo haziendani na hali halisi au ukweli ulivyo.
Nakumbuka watu kama akina Mobutu na Museveni waliweza kuitwa "Great friend of American people and free world!!!" na maraisi wa marekani.Kwa hiyo si shangani maneno hayo ya huyo Director kwa huyu Mkwere anayeelekea kukurupukia urafiki na marekani bila ya kuweka mbele kwanza manufaa ya Taifa. |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kwetu kunamsemo usemao hivi : Uso wa kukirimiwa hauwachi kuona haya (kuona aibu)kuna wakati rais wa uganda museven alikuwa ni kipezi cha west na kumwagiwa sifa kem kem lakini ukweli ulipozihiri wa kulipa fadhila hakukubaliana na waliokuwa wakimkarimu hatima yake tumeshuhudia vipi alivyochukiwa hata kufika katika mikutano ya kimataifa anapeyana mgongo na viongozi wa mataifa makubwa siku kama hiyo haipo mbali hapa kwetu tutakuja kumbushana
|
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
This is ridiculous, read this statement from Khan
Worse enough what would anyone from IMF, WB or supporters of Kikwete EPA recovery program said if that money would have gone to finance Al-Quaida and terrorism, drug dealing or illigal Arms trafficking? For IMF and WB be comfortable with explanation from Kikwete, it means that Tanzanian government was fully involved in the scam no wonder there is calmness from Kikwete and so are the donor countires. What happened with EPA money is corruption, Money Laundering and day light roberry. Sad, sad, sad to hear that IMF is cool with it, and praising unethical process done by our government to prosecute the culprits! Shame to IMF, shame to WB and shame on Kikwete!
__________________
Amani Iwe Nanyi, Camerlengo Plu Camerlenghi- Revolutionary Right Reverend Kishoka "Any existence deprived of freedom is a kind of death." Gen. Michel Aoun 'Who comes to give greeting to the Inkosi-kaas? Who would taste her kiss, whereof the fruit is death? I, the Woodpecker, I, the Slaughterer, I the Swiftfooted! I, Umslopogaas!" |
||||||||||||
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Please forgive them for they know not what they are saying.
|
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hilo ni sikitiko! Shame tanzania leadership.
__________________
Tanzania= shamba la bibi... "Uungwana ni matendo"- raia mwema |
|
#7
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Mimi niliposikia habari hiyo kwenye taarifa za Habari Radio ! na TBC nilishangazwa sana. Wakati hao IMF wanamsifia JK na Serikali yetu kwa kushughulikia vizuri EPA sisi Wananchi hatujaridhika kabisa!
JK ajue kuwa si hao IMF waliomweka madarakani ni sisi WaTz na hatujaridhika kabisa na jinsi anavyoshughulika na EPA.
__________________
"Then you will know the truth, and the truth will set you free; I am the way, the truth and the life." Jn 8:32; 14:6
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 03:00 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||