Za humu members!
Ndugu yangu leo anashindwa kula kisa kaenda kuomba barua ya m/kiti wa mtaa apeleke Mzinga ili achague silaha aandikishwe na kusubiri vikao. Amekataliwa kwa kua hajatoa mlungula...je aende wapi kumlalamikia huyu ?
Tumsaidie ndugu yangu hajala tangu jana.
Nawakilisha.

Reply With Quote
Follow Us Here