JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

  Report Post
  Results 1 to 16 of 16
  1. Darwin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th May 2008
   Posts : 909
   Rep Power : 875
   Likes Received
   43
   Likes Given
   6

   Default Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   Jamaa juzi kwenye blog yake akasema anakwenda Dodoma kwenye vekesheni

   Leo anapost images alizochukua Dodoma kuonyesha baadhi ya wakereketwa wa CCM wakiunga mkono hotuba ya mheshimwa. guess what!? title inasema SPICHI YA JK BUNGENI YAUNGWA MKONO DODOMA

   Michuzi kama ndio unawaita wananchi wa Dodoma basi CCM kweli imefikia tamati

   Hebu angalieni waandamanaji kwenye hizi video
   Unaweza hata kuwahesabu
   http://dailynews.habarileo.co.tz/str...2008.flv&id=83

   Michuzi kaa ujue kwamba nguo unaweza kuiweka viraka ikiwa imechanika kidogo lakini kama ndio imeshaoza basi hata uweke viraka lakini itazidi kukufedhehesha hadharani.
   Na hii ndio inayoonyesha video zako ulizopost kwenye hio tovuti yenu.

  2. Haika's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2008
   Posts : 2,223
   Rep Power : 1152
   Likes Received
   452
   Likes Given
   496

   Default Re: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   jamani unataka michuzi alale njaa? na familia yake je?
   wote waliosomea uandishi wa habari wanajua namna ya kupiga picha na kuzichambua picha za kupublish kuendana na msg wanayoitaka ifike. (bila kujifunga)
   just get the msg and work from it. that is what happended!!!

  3. Kevo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th June 2008
   Location : Around the World
   Posts : 1,346
   Rep Power : 959
   Likes Received
   25
   Likes Given
   14

   Default Re: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   Hivi hao ndiyo wananchi wa Dodoma ama ndio akina CCM wa Dodoma!Halafu just look at them well!They look hungry and underpaid!They are just doing it ili angalau wapate fedha ya mboga!
   'I could have annihilated all the Jews in the World,but I left some of them so you will know why I was killing them'-Adolf Hitler;Mien Kampf

  4. Pezzonovante's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st May 2008
   Posts : 647
   Rep Power : 825
   Likes Received
   34
   Likes Given
   7

   Default Re: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   Kwani kikwete kesha pata mpiga picha lazima jamaa aone mbali aongeze kipata cha kuongoza nyumba ndogo,si unajua michuzi aliligewa kwenye vidonda vya wanawake na mchawi wake kafa so heve to work hard to reimain explainable in the word of nyumba ndogo.

  5. Darwin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th May 2008
   Posts : 909
   Rep Power : 875
   Likes Received
   43
   Likes Given
   6

   Default Re: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   Quote By haika View Post
   jamani unataka michuzi alale njaa? na familia yake je?
   wote waliosomea uandishi wa habari wanajua namna ya kupiga picha na kuzichambua picha za kupublish kuendana na msg wanayoitaka ifike. (bila kujifunga)
   just get the msg and work from it. that is what happended!!!
   Haika nampongeza na kazi zake ila na yeye akubali kukosolewa, amekosea akisema SPICHI YA JK BUNGENI YAUNGWA MKONO DODOMA.
   Wananchi wa Dodoma wako wapi hapo kama sio baadhi ya wakereketwa?
   Ina maana hao ndio wakaazi wote wa Dodoma?
   Hebu isome vizuri hio video, angalia wanaoshangilia yaani hata harusi yangu pale Mombo mwezi wa jana ilikua na watu wengi kushinda hao anaowaita watu wa Dodoma.

  6. Kibunango's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2006
   Location : Tampere
   Posts : 7,521
   Rep Power : 44639
   Likes Received
   929
   Likes Given
   2871

   Default Re: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   Wakiwa wengi au kidogo bado ni wakaazi wa Dodoma....
   Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
   But, if you think again, neither does milk."
   Vituko Vya Zenj

  7. Kevo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th June 2008
   Location : Around the World
   Posts : 1,346
   Rep Power : 959
   Likes Received
   25
   Likes Given
   14

   Default Re: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   Quote By kibunango View Post
   Wakiwa wengi au kidogo bado ni wakaazi wa Dodoma....
   Correctionnnnnnnnnn!Ni Wapenzi wa CCM waliosafirishwa kutoka Dar kuja kuishangilia CCM!
   'I could have annihilated all the Jews in the World,but I left some of them so you will know why I was killing them'-Adolf Hitler;Mien Kampf

  8. Hofstede's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th July 2007
   Posts : 3,604
   Rep Power : 21473
   Likes Received
   1020
   Likes Given
   988

   Default Re: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   Quote By Kevo View Post
   Correctionnnnnnnnnn!Ni Wapenzi wa CCM waliosafirishwa kutoka Dar kuja kuishangilia CCM!
   Plus Vikundi vya sanaa vilivyokodishwa na kuvikwa sare za CCM

  9. Kibunango's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2006
   Location : Tampere
   Posts : 7,521
   Rep Power : 44639
   Likes Received
   929
   Likes Given
   2871

   Arrow Re: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   Quote By Kevo View Post
   Correctionnnnnnnnnn!Ni Wapenzi wa CCM waliosafirishwa kutoka Dar kuja kuishangilia CCM!
   Kheeeee heeeeee heeee!
   CCM haijafikia hatua hiyo, naona sasa umeamua kuandika ili kufurahisha jamvi na sio kusimamia ukweli kuwa hao na wakaazi wa Dodoma
   Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
   But, if you think again, neither does milk."
   Vituko Vya Zenj

  10. Haika's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2008
   Posts : 2,223
   Rep Power : 1152
   Likes Received
   452
   Likes Given
   496

   Default Re: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   Quote By darwin View Post
   Haika nampongeza na kazi zake ila na yeye akubali kukosolewa, amekosea akisema SPICHI YA JK BUNGENI YAUNGWA MKONO DODOMA.
   Wananchi wa Dodoma wako wapi hapo kama sio baadhi ya wakereketwa?
   Ina maana hao ndio wakaazi wote wa Dodoma?
   Hebu isome vizuri hio video, angalia wanaoshangilia yaani hata harusi yangu pale Mombo mwezi wa jana ilikua na watu wengi kushinda hao anaowaita watu wa Dodoma.
   ndio sababu nasema 'elewa picha alioichagua' you have the freedom.
   just read the picture.
   maadam hajasema wananchi wote dodoma, au wananchi wengi au makundi makubwa ya wananchi.

  11. Kevo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th June 2008
   Location : Around the World
   Posts : 1,346
   Rep Power : 959
   Likes Received
   25
   Likes Given
   14

   Default Re: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   Quote By kibunango View Post
   Kheeeee heeeeee heeee!
   CCM haijafikia hatua hiyo, naona sasa umeamua kuandika ili kufurahisha jamvi na sio kusimamia ukweli kuwa hao na wakaazi wa Dodoma
   Ukweli upi?Kwamba ni sawa kuandamana kumuunga huyo kichaa?Give me a break please!Wawe ni wakaazi wa Dodoma au la wahtaever they are doing is utter madness and does not need the endorsement hata ya muokota makopo huko mitaani!
   'I could have annihilated all the Jews in the World,but I left some of them so you will know why I was killing them'-Adolf Hitler;Mien Kampf

  12. Kibunango's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2006
   Location : Tampere
   Posts : 7,521
   Rep Power : 44639
   Likes Received
   929
   Likes Given
   2871

   Default Re: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   Quote By Kevo View Post
   Ukweli upi?Kwamba ni sawa kuandamana kumuunga huyo kichaa?Give me a break please!Wawe ni wakaazi wa Dodoma au la wahtaever they are doing is utter madness and does not need the endorsement hata ya muokota makopo huko mitaani!
   MMh.. Kama ni kichaa basi ni kichaa bora mwenye kupendwa sana... Bado
   Sijaona hao wakaazi wa Dar kwenye picha hii

   Picture source: Michuzi blog
   Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name:	jk.jpg 
Views:	2686 
Size:	126.4 KB 
ID:	2130  
   Last edited by Kibunango; 27th August 2008 at 17:33. Reason: errors
   Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
   But, if you think again, neither does milk."
   Vituko Vya Zenj

  13. Kevo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th June 2008
   Location : Around the World
   Posts : 1,346
   Rep Power : 959
   Likes Received
   25
   Likes Given
   14

   Default Re: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   Quote By kibunango View Post
   MMh.. Kama ni kichaa basi ni kichaa bora mwenye kupendwa sana... Bado
   Sijaona hao wakaazi wa Dar kwenye picha hii

   Picture source: Michuzi blog
   Ebu angalia ile video ya Daily News and if probably you are in Dar I assure you doug you wont miss a person you know and probably your next door neighbour!
   'I could have annihilated all the Jews in the World,but I left some of them so you will know why I was killing them'-Adolf Hitler;Mien Kampf

  14. Kibunango's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2006
   Location : Tampere
   Posts : 7,521
   Rep Power : 44639
   Likes Received
   929
   Likes Given
   2871

   Default Re: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   Quote By darwin View Post
   yaani hata harusi yangu pale Mombo mwezi wa jana ilikua na watu wengi kushinda hao anaowaita watu wa Dodoma.
   Kiasi wawe wengi kwenye arusi, kwani wapenda misosi ya dezo wapo wengi....
   Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
   But, if you think again, neither does milk."
   Vituko Vya Zenj

  15. Darwin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th May 2008
   Posts : 909
   Rep Power : 875
   Likes Received
   43
   Likes Given
   6

   Default Re: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   Quote By kibunango View Post
   Kiasi wawe wengi kwenye arusi, kwani wapenda misosi ya dezo wapo wengi....
   Umemsikia PM wako alivyosema juzi?

   Alisema, Changieni elimu na sio harusi!

   Kwahio mr hapo umeshapata jibu lako tayari kwamba wanaokuja kwenye harusi pia wamechangia, bwahaahahaaaaaa

  16. Pundamilia07's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th October 2007
   Posts : 1,453
   Rep Power : 1017
   Likes Received
   19
   Likes Given
   0

   Default Re: Daily news, Habari leo, Hasa Michuzi

   I like CCM, ni kweli ina wenyewe na wenyewe ndiyo hao!
   'Tough times never last but tough people do' Dr. Robert Schuller

  Similar Topics

  1. Daily News na Habari Leo waendelea kuchakachua habari.....
   By Rutashubanyuma in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 21
   Last Post: 16th November 2010, 21:37
  2. Replies: 20
   Last Post: 3rd August 2010, 15:02
  3. Website ya Daily News ina virus?
   By Kaizer in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 1
   Last Post: 26th November 2008, 13:32
  4. Is the Daily News Recycling News now?
   By Mzee Mwanakijiji in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 7
   Last Post: 23rd October 2008, 10:10
  5. Discussion forum ya Daily News
   By BAK in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 4
   Last Post: 3rd December 2007, 04:27

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...