Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: michango ya harusi

    Report Post
    Results 1 to 2 of 2
    1. #1
      maimuna's Avatar
      Member Array
      Join Date : 25th April 2008
      Posts : 23
      Rep Power : 569
      Likes Received
      4
      Likes Given
      1

      Default michango ya harusi

      ni kipindi kingine cha mwaka ambapo kila mwisho wa mwaka kadi za michango ya harusi inakua mingi, inakuaje mtu anataka kufanya sherehe kubwa na hana uwezo?? kwa nini usifanye hiyo harusi kutokana na uwezo wako ulionao, ni mpaka usumbue watu wakuchangie??? tena kinachoudhi ni mtu ameshakaa na mke/mme na wana watoto anataka kupasha kiporo chake nae anataka afanye sherehe kubwa na anachangisha!!! na kero nyingine mtu anakupa kadi ya mchango wa ndugu yake ambaye humjui. Sijawahi pewa au kuona mtu akichangisha kwa ajili ya maendeleo kama vile ada ya shule etc kama majirani zetu na harambee zao zenye maendeleo, sijui wenzangu mnafikiria vipi.
      Dark City likes this.

    2. Miaka 50

    3. #2
      Dark City's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2008
      Location : Roaming
      Posts : 11,568
      Rep Power : 23554
      Likes Received
      6987
      Likes Given
      11340

      Default Re: michango ya harusi

      Quote By maimuna
      ni kipindi kingine cha mwaka ambapo kila mwisho wa mwaka kadi za michango ya harusi inakua mingi, inakuaje mtu anataka kufanya sherehe kubwa na hana uwezo?? kwa nini usifanye hiyo harusi kutokana na uwezo wako ulionao, ni mpaka usumbue watu wakuchangie??? tena kinachoudhi ni mtu ameshakaa na mke/mme na wana watoto anataka kupasha kiporo chake nae anataka afanye sherehe kubwa na anachangisha!!! na kero nyingine mtu anakupa kadi ya mchango wa ndugu yake ambaye humjui. Sijawahi pewa au kuona mtu akichangisha kwa ajili ya maendeleo kama vile ada ya shule etc kama majirani zetu na harambee zao zenye maendeleo, sijui wenzangu mnafikiria vipi.
      Hili jambo linakera sana...Kama hatutabadilika tutaishia kufa kwa BP baada ya kustaafu kwa sababu tunashindwa ku-save kwa sababu ya hizi gharama zisizo za lazima.

      Siku hizi watu wameamua pia ku-complicate mambo ya mazishi...Shame on us!
      maimuna likes this.
      "WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"

      Retired Maj Gen DC (1947)...[email protected]

    4. RukaaJuu Final

    Similar Topics

    1. Michango ya harusi
      By SMART1 in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 15
      Last Post: 8th November 2011, 16:32
    2. Michango ya harusi inavyonitesa
      By Kiranja Mkuu in forum JF Chit-Chat
      Replies: 64
      Last Post: 27th June 2011, 11:54
    3. Michango ya harusi
      By pmwasyoke in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 39
      Last Post: 5th August 2010, 16:26
    4. Michango Ya Harusi
      By Mambo Jambo in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 39
      Last Post: 14th November 2009, 17:26
    5. Michango ya harusi vs graduation ceremonies!!
      By NasDaz in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 28
      Last Post: 26th May 2009, 12:17

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...