Jamani wale waimbaji wa Rwanda walioimba kwetu pazuri, wametoa New Album yao Vol 4, baada ya Ajali waliyoipata pale Kahama
Pia habari za kuaminika ni kuwa watakuwa Dar mwezi wa kumi na mbili kuzindua album yao hiyo ikiwa kwa Lugha ya kiswahili..
Mwenye uwezo wa kutasfri nyimbo hizo kwa kiswahili anatafutwa kwani mtafsri wao alifariki kwenye ile ajali.

Reply With Quote





Follow Us Here