Naomba kujulishwa ni jimbo gani nchini Marekani lina watanzania wengi kuliko majimbo mengine?
Naomba kujulishwa ni jimbo gani nchini Marekani lina watanzania wengi kuliko majimbo mengine?
...kigamboni dar es salaama hapa hakuna ulaya, ulaya ulaya...wimbo by Joni woka..
Georgia,huko mpaka mama ntilie utawakuta,ukipita hata mitaani utakuta geti limeandikwa mbwa mkalii,ugali mlenda,karibu ndani,manzese na maneno kibao ya kswahili ili tu ukipita mbongo uweze kujua kua hapa kuna mbongo mwenzio.hata magari unaweza kuta lingine limeandikwa baba yako analo? Na maneno mengine kibao ya stahili hiyo.
Wala vumbi vs Wabeba box. .
Follow Us Here