Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Merkel ndie mwanamke mwenye nguvu zaidi duniani

    Report Post
    Results 1 to 5 of 5
    1. #1
      Jason bourne's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2011
      Posts : 1,385
      Rep Power : 1387
      Likes Received
      610
      Likes Given
      19

      Default Merkel ndie mwanamke mwenye nguvu zaidi duniani

      *25.08.2011*|*02:00 UTC



      WASHINGTON

      Jarida la Forbes limemtaja kansela wa Ujerumani Angela Merkel kama mwanamke mwenye nguvu kubwa kabisa duniani. Jarida hilo limemueleza Bi Merkel kuwa kiongozi asiyetiliwa shaka wa Umoja wa Ulaya na kiongozi wa uchumi wake halisi duniani.

      Orodha ya jarida la Forbes ya wanawake wenye nguvu kubwa duniani inatawaliwa na wanasiasa, wafanyabiashara wanawake na viongozi katika sekta ya habari na burudani.

      Waziri wa mambo ya nchi za kigeni wa Marekani, Hillary Clinton, ambaye alikaribia kumshinda rais Barack Obama katika uteuzi wa chama cha Democratic mwaka 2008 kuwania urais wa Marekani, ameorodheshwa wa pili, akifuatiwa na rais wa kwanza mwanamke wa Brazil, Dilma Rousseff. Hii ni mara ya tano kwa kansela Merkel kuongoza orodha hiyo.

    2. Miaka 50

    3. #2
      Mwanamayu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2010
      Location : Manzese
      Posts : 3,049
      Rep Power : 1068
      Likes Received
      240
      Likes Given
      112

      Default Re: Merkel ndie mwanamke mwenye nguvu zaidi duniani

      DR. Asha-Rose Migiro ni wangapi?

    4. #3
      Tanganyika1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2011
      Posts : 304
      Rep Power : 467
      Likes Received
      31
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By Mwanamayu
      DR. Asha-Rose Migiro ni wangapi?
      <br />
      <br />
      yeye ni wa 1.5 amefungana na chancelar.

    5. #4
      omy100's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th July 2011
      Posts : 27
      Rep Power : 401
      Likes Received
      3
      Likes Given
      6

      Default Re: Merkel ndie mwanamke mwenye nguvu zaidi duniani

      je,anna tibaijuka ni wangapi!!!!!!!!!!1

    6. #5
      Mwendabure's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2011
      Posts : 1,041
      Rep Power : 623
      Likes Received
      175
      Likes Given
      41

      Default Re: Merkel ndie mwanamke mwenye nguvu zaidi duniani

      Hivi hawamuoni mama yetu wa Monrovia? Binafsi kwa kuiongoza ile nchi tena masikini tena ya hapa kwetu afrika na ikawa kama ilivyo leo Liberia iliyotoka ktk machafuko makuu, Ellen Salirf (sina hakika ktk uandikaji jina) ni zaidi ya mwanamke. Waache wachaguane watakavyo.

    7. FemaTV & Radio

    Similar Topics

    1. P.Diddy ndie Msanii wa hip-hop`s tajiiri zaidi duniani
      By Kivumah in forum Celebrities Forum
      Replies: 12
      Last Post: 27th March 2011, 05:15
    2. Je mwanamke mwenye umri zaidi ya miaka hamsini anaweza kuolewa na kuzaa
      By Namdawa in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 11
      Last Post: 21st December 2010, 13:15
    3. Mbwa mwenye sura mbaya zaidi duniani afariki
      By MziziMkavu in forum Jamii Photos
      Replies: 0
      Last Post: 7th June 2010, 02:42

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...