Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
Show/Hide This

Topic: Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

Report Post
Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
Results 21 to 40 of 46
1. #1
Godwine's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 15th January 2010
Location : dar
Posts : 1,317
Rep Power : 742
Likes Received
217
Likes Given
124

Default Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

Jamani watanzania katika topic hii tuanze kuweka taharifa za ukwepaji kodi kwenye thread hii ili wananchi watambue tunaibiwa kiasi gani na TRA ni wazembe kiasi gani, kwa kuanza tu

1.kuna duka moja ukonga la abdalah hussein halitoi risiti kwa wateje

2.kampuni ya airtel wanakwepa kulipa kodi kwa kuendelea kutumia vocha za zain ambazo muda wake umeisha(expiry) kwa mfano mimi nimetumia vocha serial no 3101115057667 ambayo inaonyesha expiry muda wa kuisha matumizi ni 31-o1-2011 hii inamaana vocha hii haiko kwenye control yeyote ya TRA

2. RukaaJuu Final

3. #21
kichomiz's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 28th February 2011
Posts : 4,053
Rep Power : 1232
Likes Received
652
Likes Given
80

Default

Quote By zomba
CHADEMA mbona mmewasahau?

WEWE NI ZOMBI SIO ZOMBA.

4. #22
Bei Mbaya's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 24th November 2010
Posts : 1,181
Rep Power : 667
Likes Received
305
Likes Given
167

Default Re: Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

Quote By Sir. Burn
Sheraton, royal palm, movenpick hotel
Tax avoidance is legal

Tax evasion is illegal

haya makampuni makubwa, menejimenti zao bongo zinachemka
Godwine likes this.
Kama si ombwe la Uongozi, kama si udhaifu wa serikali; wallahi kusingekuwepo hiki kinachoitwa 'udini' na ugaidi.

5. #23
King Kong III's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 15th October 2010
Location : Enaboishu-Umenyeni
Posts : 11,920
Rep Power : 5062
Likes Received
3199
Likes Given
2653

Default Re: Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

Mkubwa Jipange Hiyo serial Uliyotaja ifute kaka,wata-trace serial hiyo imetumika na namba gani then watakuja kuangalia Namba imesajiliwa Kwa jina gani then it is easy kukujua na kudeal na wewe kwa kuwachafulia!!!! Jipange
Godwine likes this.
M4C with No Apology

6. #24
saragossa's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 3rd January 2011
Location : Mkunazini
Posts : 1,411
Rep Power : 707
Likes Received
343
Likes Given
74

Default

Quote By Bobsambeke III
Mkubwa Jipange Hiyo serial Uliyotaja ifute kaka,wata-trace serial hiyo imetumika na namba gani then watakuja kuangalia Namba imesajiliwa Kwa jina gani then it is easy kukujua na kudeal na wewe kwa kuwachafulia!!!! Jipange

Mwambie uyo! Noma! Watakula nae sahani moja mpaka wazae nae, labda awe mtu wa pale st peters kwenye gorofa jipya lenye shape kama ya eagle!
Godwine likes this.

7. #25
Bujibuji's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 4th February 2009
Location : NYUMBANI PANONO
Posts : 13,854
Rep Power : 11196
Likes Received
7041
Likes Given
5235

Default Re: Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

serikali legelege ina mikono legevu isiyoweza kukusanya kodi.
Godwine likes this.

8. Miaka 50

9. #26
Bujibuji's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 4th February 2009
Location : NYUMBANI PANONO
Posts : 13,854
Rep Power : 11196
Likes Received
7041
Likes Given
5235

Default

Quote By Godwine
Jamani watanzania katika topic hii tuanze kuweka taharifa za ukwepaji kodi kwenye thread hii ili wananchi watambue tunaibiwa kiasi gani na TRA ni wazembe kiasi gani, kwa kuanza tu

1.kuna duka moja ukonga la abdalah hussein halitoi risiti kwa wateje

2.kampuni ya airtel wanakwepa kulipa kodi kwa kuendelea kutumia vocha za zain ambazo muda wake umeisha(expiry) kwa mfano mimi nimetumia vocha serial no 3101115057667 ambayo inaonyesha expiry muda wa kuisha matumizi ni 31-o1-2011 hii inamaana vocha hii haiko kwenye control yeyote ya TRA

usiogope maneno ya watu, be patient. In case of anything watetezi tupo
Godwine likes this.

10. #27
Godwine's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 15th January 2010
Location : dar
Posts : 1,317
Rep Power : 742
Likes Received
217
Likes Given
124

Default Re: Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

Quote By Bobsambeke III
Mkubwa Jipange Hiyo serial Uliyotaja ifute kaka,wata-trace serial hiyo imetumika na namba gani then watakuja kuangalia Namba imesajiliwa Kwa jina gani then it is easy kukujua na kudeal na wewe kwa kuwachafulia!!!! Jipange
usijali kwani nina stock nyingi sana za ushahidi na kama wakitaka watangulie mahakamani ,kama wakiwa fiti wanaweza kuanzisha mashambulizi na hizo vocha za zain ninazo na ninaendelea kuwa na ushahidi nazo na nazitumia mimi pia ila nashangaa kwanini vyombo husika vimelala. na kama wakifunga line yangu ya simu basi nitawapeleka mahakamani

11. #28
Job K's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 4th October 2010
Posts : 1,551
Rep Power : 748
Likes Received
266
Likes Given
254

Default Re: Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

Quote By Godwine
kaka hapa sio kuwa tuna taharifa zote bali yeyote mwenye taharifa anaziweka ubaoni hapa kama una taharifa yeyote karibu iweke ubaoni
Hivi hapo kwenye red hicho ni kiswahili au ni kilugha?

Yaani mkuu unaishia kutaja kiduka tu na hiyo kampuni moja uliyokuwa umeilenga? Umetuambia kuwa wakwepaji kodi wakubwa hawa hapa tukafikri labda na wewe umekuja na list of shame, kumbe uchuro mtupu! Kama hamna taarifa ni bora ukajinyamazia mkuu siyo kukaa unaongeza post hata zile zisizokuwa na kichwa wala miguu!!
Godwine likes this.

12. #29
Godwine's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 15th January 2010
Location : dar
Posts : 1,317
Rep Power : 742
Likes Received
217
Likes Given
124

Default Re: Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

Quote By Job K
Hivi hapo kwenye red hicho ni kiswahili au ni kilugha?

Yaani mkuu unaishia kutaja kiduka tu na hiyo kampuni moja uliyokuwa umeilenga? Umetuambia kuwa wakwepaji kodi wakubwa hawa hapa tukafikri labda na wewe umekuja na list of shame, kumbe uchuro mtupu! Kama hamna taarifa ni bora ukajinyamazia mkuu siyo kukaa unaongeza post hata zile zisizokuwa na kichwa wala miguu!!

nitalifanyia marekebisho mkuu si unafahamu matatizo ya kufanya kitu bila editing pia kiswahili ni lugha ngumu sana ila nitalifanyia kazi tatizo ulilolisema

kwa upande wako changia kwa kuonyesha namna yeyote ya mtu au taasisi inavyokwepa kodi

13. #30
Desteo's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 27th July 2011
Posts : 352
Rep Power : 466
Likes Received
49
Likes Given
46

Default Re: Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

Hamjui tz ni tax haven?
Godwine likes this.

14. #31
genekai's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 9th February 2010
Location : Loitering!
Posts : 7,532
Rep Power : 2086
Likes Received
1077
Likes Given
1573

Default Re: Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

Mkuu, shida si hao jamaa bali vacuum ambayo nchi hii imo!
Dark City and Godwine like this.
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders

15. #32
RasJah's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 5th November 2009
Posts : 600
Rep Power : 606
Likes Received
25
Likes Given
44

Default

Maduka yote ya kariakoo ndio mabingwa wa kukwepa kodi
Godwine likes this.

16. #33
Saint Ivuga's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 21st August 2008
Posts : 20,726
Rep Power : 10177
Likes Received
5673
Likes Given
12666

Default Re: Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

Quote By menyidyo
hapa lengo lilikuwa kumtaja airtel! Hilo duka ni kuongeza list.
tatizo liko wapi?
Godwine likes this.
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

17. #34
king11's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 7th June 2010
Posts : 328
Rep Power : 520
Likes Received
66
Likes Given
89

Default Re: Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

vada, airtel,tigo na baric

18. #35
Percival's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 23rd March 2010
Posts : 499
Rep Power : 563
Likes Received
62
Likes Given
23

Default Re: Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

Wakusanyaji kodi wasisahauliwe , nao walipe kodi ikiwa hakuna njia ya kuzuia ufisadi wao.!! - hawa ndio wana pato kubwa bila ya mtaji au gharama zozote. Wanapata kuliko hao wafanya biashara.
Godwine likes this.

19. #36
First Born's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 11th July 2011
Location : Tanzania Vijiweni
Posts : 2,724
Rep Power : 947
Likes Received
432
Likes Given
199

Default Re: Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

kodi utalipa wewe kwani Tanzania hii inawenyewe babu.
Godwine likes this.

20. #37
flora msoffe's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 28th October 2010
Location : under a coconut tree
Posts : 4,137
Rep Power : 1262
Likes Received
505
Likes Given
372

Default

Quote By goodgud
hapo Samora kuna duka la mhindi limepakana na duka la Magereza hufunguliwa kimachale machale

mchana kuanzia saa 7 ndio linakua wazi

na anafungua baada ya muda kidogo afunga, then ikipita muda kidogo afungua tena

madalali wote nchini hawalipi kodi

MASHARTI YA MGANGA
Godwine likes this.

21. #38
flora msoffe's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 28th October 2010
Location : under a coconut tree
Posts : 4,137
Rep Power : 1262
Likes Received
505
Likes Given
372

Default

Quote By Job K
Hivi hapo kwenye red hicho ni kiswahili au ni kilugha?

Yaani mkuu unaishia kutaja kiduka tu na hiyo kampuni moja uliyokuwa umeilenga? Umetuambia kuwa wakwepaji kodi wakubwa hawa hapa tukafikri labda na wewe umekuja na list of shame, kumbe uchuro mtupu! Kama hamna taarifa ni bora ukajinyamazia mkuu siyo kukaa unaongeza post hata zile zisizokuwa na kichwa wala miguu!!

I HATE WATU WANAWEKA H SEHEMU ISIYOHUSIKA,SIJUI NI UKILAZA AU NINI
Godwine likes this.

22. #39
flora msoffe's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 28th October 2010
Location : under a coconut tree
Posts : 4,137
Rep Power : 1262
Likes Received
505
Likes Given
372

Default

Quote By goodgud
hapo Samora kuna duka la mhindi limepakana na duka la Magereza hufunguliwa kimachale machale

mchana kuanzia saa 7 ndio linakua wazi

na anafungua baada ya muda kidogo afunga, then ikipita muda kidogo afungua tena

madalali wote nchini hawalipi kodi

23. #40
Marcossy A.M's Avatar
Member Array
Join Date : 21st August 2008
Location : Dar es salaam
Posts : 56
Rep Power : 560
Likes Received
16
Likes Given
30

Default Re: Wakwepa kodi wakubwa hawa hapa

Kazi kwelikweli...
Sasa kama hatuna serikali we unafanya nini Bro? Si uhamie magogoni, teh teh, teheeeee...
Godwine likes this.
Mtanganyika!

Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

Similar Topics

1. Hawa ndio walipa kodi wakubwa nchini; NMB yabwaga Benki zote
By Jackbauer in forum Jukwaa la Siasa
Replies: 227
Last Post: 12th June 2012, 20:37
2. Replies: 24
Last Post: 10th December 2011, 21:10
3. Wakwepa Kulipa Kodi Wakubwa(Celtel; Zain; na Sasa Airtel)
By VoiceOfReason in forum Jukwaa la Siasa
Replies: 43
Last Post: 24th November 2010, 11:16
4. Hawa ni wakwepa kodi wakubwa?
By TandaleOne in forum Business & Economic Forum
Replies: 5
Last Post: 2nd October 2010, 21:56

User Tag List

Posting Permissions

• You may not post new threads
• You may not post replies
• You may not post attachments
• You may not edit your posts

Who are WE?

JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

You are always welcome! Read more...

Where are we?

We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

For anything related to this site please Contact us.

Contact us now...

DISCLAIMER

JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

Read more...

Forum Rules

JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

You MUST read them and comply accordingly. Read more...

Privacy Policy

We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

Read our Privacy Policy. Proceed here...