Clouds Sasa kwa kweli Mna Boa... Kama Huyo Ruge Anahoja na anaona SUGU anamuonea Basi aitishe Press Conferrance na Ajibu Hoja Otherwise Kama hamna vya Kutangaza Zimeni hiyo radio. Mimi anayoongea Sugu naona yupo sahihi ni kweli mtakuwa mnawaminya sana wasanii kwa maana Hata wasikilizaji wenu tu huwa mnawabania, Washindi Mashindano mbali mbali mnayoyaendesha hapo clouds huwa hawapati Zawadi mnazosema, Kwa Mfano kuna wasikilizaji watatu walishiriki lile Shindano la Zantel la High Life wakashinda Lunch at Holiday inn mkasema mtawapigia you never call back na huu ni mwezi wa 3 na Juzi tena mlikuwa mnaendesha ile ya lakionea (Zawadi ya Sh. laki moja) mkahahidi kuwa pigia simu na kuwafungulia account washindi mpka leo hii KIMYAAA. Sasa Boss wenu akiambiwa tapeli mnakuwa Wakali. WHY?? Mjirekebishe. Imekuwa sio radio ya Watu sasa imekuwa Radio ya Wezi!
Umejitahidi kutoa ya moyoni ingawa hamna ukweli wowote. Clouds fm ni chombo huru na sioni kosa la Ruge kutumia kueleza msimamo wake. Kama una malalamiko mengine ungepeleka mahakamani. Unaonekana dhahiri kwamba ulinyimwa ajira pale sasa unajaribu kutoa machungu yako. Umefanya vizuri sana.
Mbona unah hisia mbovu wewe, ajira ya nini kwenye redio iliyoajiri watu wasio na sifa. Hii redi inallipa kiasi gani mpaka useme hivyo? Inaweza kulipa nonprofessionals kama akina kibonde tu, but not professionals. Radio imeja uwizi huu!!!!!!!!!!!!
Follow Us Here