New Night club kwa Nyerere VS Billicans Night club
Kwa wale wakazi wa mikocheni maeneo ya kwa nyerere kalibia na clouds fm
kuna jengo moja kubwa inasemekana ni Night club ya kisasa ambayo itaifunika
billicans ya mbowe.
Hii ni nght club ambayo bado haijafunguliwa lakina kuna tetesi kuwa imeanzishwa
ili kumaliza makali ya billicans.
Nini nani mmliki wa club hii? je clouds ndo wamiliki?
Je itaanzishwa kufutia vijana maana upande mwingine wa kiitikadi vijana wamekimbia
Re: New Night club kwa Nyerere VS Billicans Night club
By LAT
peleka kwenye jukwaa la Sports and entertainment
anything which is not at the right place is regarded as garbage
hivyo basi hii pumba
hana upeo huo... yeye alitumwa awe anatype ----- kwenye jukwaa la siasa... hata ikitokea hili jukwaa limebadilishwa jina na kuitwa politics au hata itikadi, bsi atarudi kwa waliomtuma na kusema wamefuta jukwaa lake la ajira
...............na wakipigwa ban utawakuta hadi kwenye magazeti ya kiswahili huko mitaani
Re: New Night club kwa Nyerere VS Billicans Night club
By MTM

new maisha,san siro,..lakini watu bado wanaenda bills,..you know why?accessibility,..a place can be reached easily kuliko huko kwingine kote,hapa nazungumzia wenzangu na mie tunaopanda daladala,.chadema inaset trends hadi kwenye burudani,magamba mnaiga tu,..ofcourse sasa hivi mnaimplement sera za cdm ingawaje mnazichakachua
Women are not allowed to attend school. You can be jailed for owning a television. A man can be jailed in Afghanistan if his beard is not long enough.George W.Bush,2001
Re: New Night club kwa Nyerere VS Billicans Night club
Siasa hadi nightclub. Du hatari ,i thought nightclubs was one of those few places people can mix freely and generally have good time irrespective of political loyalty.
Follow Us Here