Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Waisrael waandamana kupinga ughali wa maisha!

    Report Post
    Results 1 to 3 of 3
    1. #1
      Jason bourne's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2011
      Posts : 1,385
      Rep Power : 1387
      Likes Received
      610
      Likes Given
      19

      Default Waisrael waandamana kupinga ughali wa maisha!

      Maelfu ya watu nchini Israel wameandamana kupinga ughali wa maisha nchini humo. Imekadiriwa kuwa kati ya watu 250,000 hadi 350,000 walikusanyika katika maandamano makubwa kabisa kufanywa mjini Tel Aviv.

      Waandamanaji wanatoa wito kwa serikali kufanya mageuzi makubwa, ili kupunguza gharama za nyumba, elimu, ulezi wa watoto na huduma za afya. Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Benjamin Netanyahu, amekwepa kutimiza madai ya waandamanaji, lakini ameunda kamati ya mawaziri, kuchunguza madai hayo.

    2. Miaka 50

    3. #2
      Michael Scofield's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th July 2011
      Location : FOX RIVER/SONA
      Posts : 1,195
      Rep Power : 711
      Likes Received
      428
      Likes Given
      248

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga ughali wa maisha!

      Quote By Jason bourne
      Maelfu ya watu nchini Israel wameandamana kupinga ughali wa maisha nchini humo. Imekadiriwa kuwa kati ya watu 250,000 hadi 350,000 walikusanyika katika maandamano makubwa kabisa kufanywa mjini Tel Aviv.

      Waandamanaji wanatoa wito kwa serikali kufanya mageuzi makubwa, ili kupunguza gharama za nyumba, elimu, ulezi wa watoto na huduma za afya. Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Benjamin Netanyahu, amekwepa kutimiza madai ya waandamanaji, lakini ameunda kamati ya mawaziri, kuchunguza madai hayo.
      Bado huku kwa wadanganyika.................!

    4. #3
      woyowoyo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th July 2011
      Posts : 173
      Rep Power : 430
      Likes Received
      12
      Likes Given
      0

      Default Re: Waisrael waandamana kupinga ughali wa maisha!

      hawa nao sìhuwa wana sema kuwa wao ni watoto wa mungu nao wana njaa?

    5. FemaTV & Radio

    Similar Topics

    1. Maelfu waandamana kupinga ufisadi India
      By sulphadoxine in forum International Forum
      Replies: 0
      Last Post: 18th August 2011, 08:40
    2. Senegali waandamana kupinga Mgao wa Umeme....
      By mzee wa njaa in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 9
      Last Post: 29th June 2011, 04:48
    3. Wamachinga waandamana + CUF kupinga Dowans-Videos (ITV)
      By kitungi in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 5
      Last Post: 31st January 2011, 08:29
    4. Jordan nao waandamana kupinga mfumuko wa bei......................
      By Rutashubanyuma in forum International Forum
      Replies: 1
      Last Post: 15th January 2011, 05:58
    5. Wanawake waandamana kupinga mafataki!!-songea
      By sijafulia in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 0
      Last Post: 15th May 2010, 20:10

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...