JamiiSMS
Show/Hide This
Report Post
Results 1 to 20 of 20
1. Plato's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 28th August 2010
Posts : 422
Rep Power : 633
Likes Received
89
Likes Given
0

Default Ajira mpya lini?

Leo ni zamu ya wizara ya kazi na ajira.nauliza ajira mpya za serikali zinatoka lini? Hasa kwa walimu waliomaliza vyuo vikuu karibuni.mana ilisemwa hela imeshapitishwa.na ilisemwa wangepangwa wakiwa vyuoni bado.sasa vijana wanaanza kwenda shule za private,halafu serikali itaanza kulia haina walimu.wajue inaumiza kijana kumaliza kazi akakaa miezi lukuki eti anasubiri ajira,wakati kuna private na zinalipa vizuri

2. tatanyengo's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 30th March 2011
Posts : 1,118
Rep Power : 741
Likes Received
272
Likes Given
201

Default Re: Ajira mpya lini?

Wizara ya Eimu ndiyo yenye dhamana ya kuajiri walimu na siyo Wizara ya Kazi na Ajira.
'Our Problems can be solved,our challenges can be met'- Obama

3. Vmark.'s Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 2nd August 2011
Location : Arusha/Moshi.
Posts : 1,361
Rep Power : 772
Likes Received
235
Likes Given
24

Default Re: Ajira mpya lini?

Sa we c uende huko private? Y ar u complaining whle u got the solution?

4. iMind's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 27th March 2011
Posts : 1,507
Rep Power : 819
Likes Received
712
Likes Given
17

Default Re: Ajira mpya lini?

Hivi kazi za wizara hii ni nini? Mchango wake katika kuongeza ajira na kulinda haki za wafanyakazi?

5. Plato's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 28th August 2010
Posts : 422
Rep Power : 633
Likes Received
89
Likes Given
0

Default Re: Ajira mpya lini?

hakuna mwenye kujua lini kwa hiyo? Iwe wizara hii au nyingine?hoja ni vijana kukaa bila kazi.

6. iMind's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 27th March 2011
Posts : 1,507
Rep Power : 819
Likes Received
712
Likes Given
17

Default

Quote By Plato View Post
hakuna mwenye kujua lini kwa hiyo? Iwe wizara hii au nyingine?hoja ni vijana kukaa bila kazi.

Wajiajiri, hakuna ajira....

7. Katavi's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 31st August 2009
Location : Lyamba Lya Mfipa
Posts : 30,290
Rep Power : 271423837
Likes Received
5537
Likes Given
3355

Default

Quote By iMind View Post

Wajiajiri, hakuna ajira....
Mazingira bado hayaruhusu kujiajiri.....

8. Sometimes's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 28th December 2010
Posts : 2,584
Rep Power : 1108
Likes Received
558
Likes Given
414

Default Re: Ajira mpya lini?

Kilimo kwanza ndiyo ajira muafaka!

9. Emanuel Makofia's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 5th January 2010
Location : B.O.T
Posts : 3,800
Rep Power : 1342
Likes Received
586
Likes Given
473

Default Re: Ajira mpya lini?

Quote By iMind View Post

Wajiajiri, hakuna ajira....
utajajirije wakati hali ni tata namna hii!!
umeme,maji,mafuta ,

Mamndenyi likes this.
.....Chuma cha reli hakishiki kutu...

10. Plato's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 28th August 2010
Posts : 422
Rep Power : 633
Likes Received
89
Likes Given
0

Default Re: Ajira mpya lini?

basi hii ni shwine state.elimu yetu ya kukariri utajiajiri vipi? Afadhali kuwa mbwa ulaya

11. Vmark.'s Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 2nd August 2011
Location : Arusha/Moshi.
Posts : 1,361
Rep Power : 772
Likes Received
235
Likes Given
24

Default Re: Ajira mpya lini?

Graduate kama ww u must have plan b rather than yelling to the ministry now and then....nilimalza last year july na august nlikua nshapata kaz bse nilifight tangu nikiwa secönd semester of the final year...

12. semango's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 24th August 2010
Posts : 530
Rep Power : 715
Likes Received
35
Likes Given
7

Default Re: Ajira mpya lini?

Quote By iMind View Post

Wajiajiri, hakuna ajira....
huwa nashangaa sana watu wanaotamkaga maneno haya.huwa napata shida kuamini kama wameishi maisha ya mtanzania wa kawaida.unapomwambia kijana akajiajiri wakati ndio kwanza katoka chuoni unakua unategemea ajiajiri vipi?hana asset yeyote ya kuweka rehani kupata mkopo na serikali yake haijajenga mfumo wowote wa kumuwezesha kupata kinachohitajika kujiajiri then mnabaki kupayuka wajiajiri!!!!usifikirie wako sawa na wewe ambae tayari una account inahela!yeye ndio kwanza katoka chuoni.acheni hizi kauli za chooni eti wajiajiri.watajiajiri kwa ****** au?!!

13. Mamndenyi's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 11th April 2011
Location : Mafinga
Posts : 25,082
Rep Power : 429501961
Likes Received
14163
Likes Given
29869

Default Re: Ajira mpya lini?

Ajira ni yao na vijana wao.

14. iMind's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 27th March 2011
Posts : 1,507
Rep Power : 819
Likes Received
712
Likes Given
17

Default

Quote By Emanuel Makofia View Post
utajajirije wakati hali ni tata namna hii!!

umeme,maji,mafuta ,..........................
Hiyo hali tata yaweza kutumiwa kama fursa. Tujaribu kuwa na positive thinking. Tusiome hali iliyopo kama vikwazo bali fursa

15. WISIZE's Avatar
Junior Member Array
Join Date : 2nd January 2014
Posts : 7
Rep Power : 375
Likes Received
0
Likes Given
1

Default Re: Ajira mpya lini?

tu tunahangaishana kwa BRN. sidhani kama Kikwete na wenzake wana mapenzi na nchi hii. uzalendo hakuna kabisa. Haiwezekani unataka matokeo katika makaratasi huku huajiri watu wa kusapoti hayo matokeo. Nadhani wanataka PRN(poor results now.

16. WISIZE's Avatar
Junior Member Array
Join Date : 2nd January 2014
Posts : 7
Rep Power : 375
Likes Received
0
Likes Given
1

Default Re: Ajira mpya lini?

swala ya kujiajiri kutamka ni rahisi. Ebu niambie mwalimu akajiajiri wapi?haijalishi ni wa grade A diploma au digree. tel me one example wapi? Where do you get capital? stop kudanganyana hapa. Serikali imeivest pesa nyingi kusomesha walimu hasa wanaomaliza vyuo vya ualimu vya serikali lengo watimize mahitaji ya nchi. sasa if people can stay miezi lukuki imagine from february 2013 mpaka leo! nikupoteza rasirimali za nchi.

17. kibaizi kiki's Avatar
Senior Member Array
Join Date : 23rd December 2012
Posts : 158
Rep Power : 458
Likes Received
33
Likes Given
25

Default Re: Ajira mpya lini?

TPDC wamemwaga ajira soma magazeti ya leo acha kulalama

18. DZUDZUKU's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 8th November 2012
Location : Morogoro
Posts : 2,060
Rep Power : 682694
Likes Received
461
Likes Given
133

Default

Quote By Plato View Post
basi hii ni shwine state.elimu yetu ya kukariri utajiajiri vipi? Afadhali kuwa mbwa ulaya
Pole kwa kuwa mbwa hapo ulipo

19. DZUDZUKU's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 8th November 2012
Location : Morogoro
Posts : 2,060
Rep Power : 682694
Likes Received
461
Likes Given
133

Default

Quote By Vmark. View Post
Graduate kama ww u must have plan b rather than yelling to the ministry now and then....nilimalza last year july na august nlikua nshapata kaz bse nilifight tangu nikiwa secönd semester of the final year...
Kila mtu anamalengo yake ndio maana anataka kufanya kazi serikalini, na mtu kuuliza hivi haina maana hana kazi huenda anayo ila hataki kuendeleza mkataba huko private maana hana mpango wa kufanya kazi/kuajiriwa private.

20. ameline's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 8th January 2013
Location : Arusha
Posts : 2,256
Rep Power : 584118
Likes Received
1016
Likes Given
683

Default

Quote By Plato View Post
Leo ni zamu ya wizara ya kazi na ajira.nauliza ajira mpya za serikali zinatoka lini? Hasa kwa walimu waliomaliza vyuo vikuu karibuni.mana ilisemwa hela imeshapitishwa.na ilisemwa wangepangwa wakiwa vyuoni bado.sasa vijana wanaanza kwenda shule za private,halafu serikali itaanza kulia haina walimu.wajue inaumiza kijana kumaliza kazi akakaa miezi lukuki eti anasubiri ajira,wakati kuna private na zinalipa vizuri
we wasema miez lukuki.? kuna dada na kaka zako wapo miaka 4/5 mtaani na degree zao lukuki sasa hawapat hata hizo za private..kama umebahatika private nenda ukizisubiri hizo za kawambwa...

Similar Topics

1. Walimu wa degree na diploma ajira lini?
By jambo japhet in forum Nafasi za Kazi na Tenda
Replies: 10
Last Post: 6th December 2011, 08:18
2. Ajira kwa Walimu wapya 2011/2012 Lini kuwa tayari?
By gidytitus in forum Nafasi za Kazi na Tenda
Replies: 16
Last Post: 22nd November 2011, 17:44
3. Ajira za walimu ni lini?
By Barnaba Bulugu in forum Nafasi za Kazi na Tenda
Replies: 13
Last Post: 15th November 2011, 21:12
4. ajira za walimu wapya 2011 lini?
By MWL MTZ in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
Replies: 8
Last Post: 1st October 2011, 15:18
5. Je kuna mtu amesikia lini TAKUKURU watatangaza AJIRA?
By Laurence in forum Nafasi za Kazi na Tenda
Replies: 10
Last Post: 25th July 2011, 12:21

Posting Permissions

• You may not post new threads
• You may not post replies
• You may not post attachments
• You may not edit your posts

Who are WE?

JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

You are always welcome! Read more...

Where are we?

We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

For anything related to this site please Contact us.

Contact us now...

DISCLAIMER

JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

Read more...

Forum Rules

JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

You MUST read them and comply accordingly. Read more...

Privacy Policy

We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

Read our Privacy Policy. Proceed here...