Laiti mambo yote yangefuatwa kama inavyotakiwa nadhani makampuni mengi yangekuwa ni mfano wa kuigwa. Lakini nia njema ya kuingiza good corporate goverance kwenye haya makampuni pamoja na taasisi imepuuzwa na matokeo yake imebaki siasa.
Hizi position zimekuwa ni sehemu ya kupeana ulaji, na ndo maana inafika stage ambayo managing directors anawaweka non-executive directors anao wataka. Supervisors and external auditors wakipita hawaji na findings zozote.