Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ndassa kupinga Bajeti ya Kilimo, Chakula na Ushirika

    Report Post
    Results 1 to 9 of 9
    1. #1
      GHOST RYDER's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2011
      Posts : 961
      Rep Power : 602
      Likes Received
      422
      Likes Given
      186

      Default Ndassa kupinga Bajeti ya Kilimo, Chakula na Ushirika

      Leo asubuhi nimemsikia Mbunge wa Sumve CCM Ricahrd Ndasa akithibitisha kuwa hataunga mkono hoja ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika endapo serikali haitapiga marufuku matumizi ya mzani wa Rula na kuidhinisha mzani wa Digital kutumika.

      Ndassa aliyefuatana na Moses Machari wa Kasulu Mjini walikuwa katika Mahojiano na Kipindi cha Tuongee Asubuhi Star TV kilichokuwa kinaongozwa na Yahya Mohamed – Mwanza na Thom Chilala – Dodoma.

      Katika hali inayoonekana kama ni kujichanganya kwa serikali, wabunge hao na wachangiaji wengine walihoji ukinyonga wa Wizara kwa kuahidi bei ya shilingi 1100 kwa kilo ya Pamba katika Mkutano wa nane wa wadau wa sekta ya pamba uliofanyika mwezi uliopita huko Mwanza na sasa kuidhinisha bei ya shilingi 800 kwa kilo.

      Maswali magumu hapa ni:
      • Nani atawafidiwa wakulima hawa kwa pungufu la bei hii ambayo serikali ina jukumu la kusimamia soko la zao la Pamba.
      • Lakini ugomvi ni hitajio la mizani 10,000 kusambazwa katika vituo vya kununulia pamba ambapo ni dhahiri hapa kuna mchezo mchafu wa Tenda na si ajabu tayari kuna bwana mkubwa kashaagiza mizani za rula ambazo zinampunja mkulima kwa asilimia 40 kwa kuwa kuna 10% hii itafumbiwa macho kama ilivyokuwa SPEED GOVERNOR.
      • Ndassa atashikilia uamuzi wake au mchezo wa Milioni 50 kama zile za Jairo zitafanya kazi kumkata kauli na aishie kuunga hoja mkono kwa asilimia 100?
      • Je aliyoyatamka moses Machali pia atayafanyia kazi kama alivyoahidi kumuunga mkono Ndassa au bahasha itafanya kazi?
      Nimevutika kwenye hoja hii kwa kutambua umuhimu wa kilimo kwa Taifa huku Ndassa akikiri kuwa Pamba ni Siasa na Pamba ni Uchumi.

      Tunasubiri Mswaada huo utakapojadiliwa


      ADIOS
      REAL HUSTLER

    2. Miaka 50

    3. #2
      Nkomoji's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd June 2011
      Posts : 235
      Rep Power : 450
      Likes Received
      30
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By GHOST RYDER
      Leo asubuhi nimemsikia Mbunge wa Sumve CCM Ricahrd Ndasa akithibitisha kuwa hataunga mkono hoja ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika endapo serikali haitapiga marufuku matumizi ya mzani wa Rula na kuidhinisha mzani wa Digital kutumika.Ndassa aliyefuatana na Moses Machari wa Kasulu Mjini walikuwa katika Mahojiano na Kipindi cha Tuongee Asubuhi Star TV kilichokuwa kinaongozwa na Yahya Mohamed – Mwanza na Thom Chilala – Dodoma.Katika hali inayoonekana kama ni kujichanganya kwa serikali, wabunge hao na wachangiaji wengine walihoji ukinyonga wa Wizara kwa kuahidi bei ya shilingi 1100 kwa kilo ya Pamba katika Mkutano wa nane wa wadau wa sekta ya pamba uliofanyika mwezi uliopita huko Mwanza na sasa kuidhinisha bei ya shilingi 800 kwa kilo.Maswali magumu hapa ni:
      • Nani atawafidiwa wakulima hawa kwa pungufu la bei hii ambayo serikali ina jukumu la kusimamia soko la zao la Pamba.
      • Lakini ugomvi ni hitajio la mizani 10,000 kusambazwa katika vituo vya kununulia pamba ambapo ni dhahiri hapa kuna mchezo mchafu wa Tenda na si ajabu tayari kuna bwana mkubwa kashaagiza mizani za rula ambazo zinampunja mkulima kwa asilimia 40 kwa kuwa kuna 10% hii itafumbiwa macho kama ilivyokuwa SPEED GOVERNOR.
      • Ndassa atashikilia uamuzi wake au mchezo wa Milioni 50 kama zile za Jairo zitafanya kazi kumkata kauli na aishie kuunga hoja mkono kwa asilimia 100?
      • Je aliyoyatamka moses Machali pia atayafanyia kazi kama alivyoahidi kumuunga mkono Ndassa au bahasha itafanya kazi?
      Nimevutika kwenye hoja hii kwa kutambua umuhimu wa kilimo kwa Taifa huku Ndassa akikiri kuwa Pamba ni Siasa na Pamba ni Uchumi.Tunasubiri Mswaada huo utakapojadiliwaADIOS
      Hii imetulia sana,maana wakulima wananyanyaswa sana!

    4. #3
      GHOST RYDER's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2011
      Posts : 961
      Rep Power : 602
      Likes Received
      422
      Likes Given
      186

      Default Re: Ndassa kupinga Bajeti ya Kilimo, Chakula na Ushirika

      Quote By Nkomoji
      Hii imetulia sana,maana wakulima wananyanyaswa sana!
      Hofu yangu ni kama watayatimiza waliyoyasema leo kumkomboa Mkulima wa kitanzania au wataishia kuzibwa Midomo
      REAL HUSTLER

    5. #4
      GHOST RYDER's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2011
      Posts : 961
      Rep Power : 602
      Likes Received
      422
      Likes Given
      186

      Default Re: Ndassa kupinga Bajeti ya Kilimo, Chakula na Ushirika

      SHIBUDA (Licha ya Usaliti wake) anahoji mahusiano ya kimataifa kupitia Wizara ya Mambo ya Nje, inawanufaishaje wakulima wa zao la Pamba
      • Kupata bei ya Uhakika
      • Soko la Uhakika
      • Pembejeo
      REAL HUSTLER

    6. #5
      GHOST RYDER's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2011
      Posts : 961
      Rep Power : 602
      Likes Received
      422
      Likes Given
      186

      Default Re: Ndassa kupinga Bajeti ya Kilimo, Chakula na Ushirika

      Anasema MAU MAU wameruhusiwa jana kushitaki udhalimu wa ukoloni wa Uingereza

      Kwani nini MEMBE asishitakiwe mahakama ya Kimataifa kwa kushindwa kuyashitaki makampuni yaliyofunga mikataba mibovu inayoliingiza Taifa katika matatizo makubwa ikiwemo uwekezaji katika sekta ya Kilimo
      REAL HUSTLER

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      Nkomoji's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd June 2011
      Posts : 235
      Rep Power : 450
      Likes Received
      30
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By GHOST RYDER
      Hofu yangu ni kama watayatimiza waliyoyasema leo kumkomboa Mkulima wa kitanzania au wataishia kuzibwa Midomo
      Duh!hilo nalo neno mkuu.

    9. #7
      Dume la Mende's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2011
      Posts : 407
      Rep Power : 498
      Likes Received
      48
      Likes Given
      1

      Default Re: Ndassa kupinga Bajeti ya Kilimo, Chakula na Ushirika

      Imekaa vizuri,, naunga mkono

    10. #8
      GHOST RYDER's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2011
      Posts : 961
      Rep Power : 602
      Likes Received
      422
      Likes Given
      186

      Default Re: Ndassa kupinga Bajeti ya Kilimo, Chakula na Ushirika

      Ahadi ya Ndassa ni Leo, Tunafuatilia mjadala wa Bunge kuweza kuona ni mikakati ipi serikali imeiweka katika kuinua kilimo cha zao la Pamba
      REAL HUSTLER

    11. #9
      GHOST RYDER's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2011
      Posts : 961
      Rep Power : 602
      Likes Received
      422
      Likes Given
      186

      Default Re: Ndassa kupinga Bajeti ya Kilimo, Chakula na Ushirika

      Siku nzima ya jana imepita hatujasikia kauli yako kuhusu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Mh. Richard Ndassa, pengine leo kabla ya waziri kuhitimisha jioni tutakusikia kuhusu hili na ndoto za serikali za kuhamasisha Kilimo cha Mkataba ambacho kimeshindwa kupata ufanisi katika Nchi kama Zimbabwe na Malaysia baada ya kuzorota Kilimo cha Umawagiliaji.

      Hapa kwetu hata kuyavusha Maji kutoka upande mmoja wa Barabara huko njia ya Musoma kutoka Mwanza ambapo ni karibu Mita 500 tumeshindwa huku ziwa tunalitazama upande mmoja na upande wa pili mazao yananyauka, halafu tunawaza Kilimo cha Mkataba.

      Ni vema pia suala la Mizani mkatipatia ufumbuzi tujue huyu mwenye tenda ya mizani za rula ni nani ambaye kafanikiwa kushawishi Mizani hizi kuendelea kusambazwa tena katika hitaji hilo la Mizani 10000, huku Maghembe akitoa tamko huko Mwanza ambalo linapingana sasa na utendaji wa Wizara yake.

      Huu ni mzaha kama tumekusudia kuinua Kilimo Nchini.
      REAL HUSTLER

    Similar Topics

    1. Ajira-wizara ya kilimo, chakula na ushirika - nafasi 574
      By Kubingwa in forum Nafasi za Kazi na Tenda
      Replies: 21
      Last Post: 10th December 2011, 08:18
    2. Zitto, Makalla, Ndassa waingia Simba
      By mdau wetu in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 3
      Last Post: 18th October 2011, 14:39
    3. Richard Ndassa Atumia Lugha ya Kisukuma Kufanya Kampeni
      By tartoo in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 5
      Last Post: 16th September 2010, 09:49
    4. Bajeti ya wizara ya kilimo na chakula inajadiliwa
      By chuku in forum Matangazo madogo
      Replies: 0
      Last Post: 21st July 2009, 11:49
    5. Replies: 0
      Last Post: 26th October 2008, 13:55

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...