Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Diwani wa ccm auwawa tarime

    Report Post
    Results 1 to 19 of 19
    1. #1
      Nyakarungu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st May 2011
      Posts : 209
      Rep Power : 3119
      Likes Received
      122
      Likes Given
      101

      Default Diwani wa ccm auwawa tarime

      aliyekua diwani wa kata ya susuni wilayani tarime, bwana nicholous matiko, amevamiwa na kuuwawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi usiku wa leo.
      Habari hizi zinakuja ikiwa ni siku chache tu tangu mtu mmoja wilayani humo katika eneo la sirari auwawe na kuchunwa ngozi na watu amabo hawajafahaika.
      Je kanda maalum ya jeshi la polisi wilayani humo,ina ulalo wa kazi yao wilayani humo?
      Mbona wizi wa mifugo unaendelea tu?
      Mbona masurgeon wa asili wanaendelea kufanya upasuaji wao kama kawaida?


    2. #2
      Feedback's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th March 2011
      Posts : 4,287
      Rep Power : 1289
      Likes Received
      2127
      Likes Given
      1163

      Default Re: Diwani wa ccm auwawa tarime

      RIP isije kuwa ni visasi nawapa pole wafiwa
      Only in Tanzania

    3. #3
      BONGOLALA's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 14th September 2009
      Posts : 5,413
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1196
      Likes Given
      199

      Default Diwani-ccm TARIME auwawa!

      Diwani kupitia ccm wilayani tarime ameuwawa na majambazi usiku wa kuamkia jana 15july.alipigwa risasi na kukatwakatwa mapanga!cha ajabu hao majambazi hawakuiba kitu wala pikipiki aliyokua akiendesha!Jamani tarime mauji yamezidi muogopeni mungu

    4. #4
      Mbugi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th January 2011
      Location : BOX 2063 MBEYA
      Posts : 841
      Rep Power : 596
      Likes Received
      89
      Likes Given
      18

      Default Re: Diwani wa ccm auwawa tarime

      tunashukuru kwa message, tarime mwogopeni mungu

    5. #5
      Feedback's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th March 2011
      Posts : 4,287
      Rep Power : 1289
      Likes Received
      2127
      Likes Given
      1163

      Default Re: Diwani wa ccm auwawa tarime

      DIWANI wa CCM, Kata ya Susuni Tarafa ya Inchugu wilayani hapa mkoani Mara, Felex Horombe (45) ameuawa kwa kupigwa risasi kiunoni na mguuni na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.

      Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya, Kamishna Msaidizi, Deus Kato alisema kuwa tukio hilo la mauaji lililotokea usiku wa Ijumaa saa 2 katika eneo la pori la Nyandoto wakati diwani huyo alipokuwa akitokea Tarime Mjini kuelekea nyumbani kwake Kijiji cha Kiongera.

      Alisema diwani huyo alikuwa akiendesha pikipiki yake na alipofika eneo hilo, alivamiwa na kundi la watu waliokuwa na silaha aina ya bunduki na kuanza kumshambulia na kumpiga risasi kiunoni na mguuni.

      Alisema baada ya kupigwa risasi walimpora bastola yake aliyokuwa akimiliki kihalali na simu yake ya mkononi na kuitelekeza pikipiki hiyo katika eneo la tukio.

      Jeshi la Polisi lilifika eneo hilo la tukio na kuuchukua mwili wa marehemu na kuupeleka kufanyiwa uchunguzi katika Hospitali ya Wilaya Tarime ambapo umehifadhiwa ukisubiri kufanyiwa mipango ya maziko kijijini kwake Kiongera.

      Hata hivyo, Kamanda Kato alisema polisi wanaendelea na uchunguzi wa mauaji hayo na kwamba hadi sasa hakuna mtu yeyote aliyekamatwa kuhusiana na mauaji hayo.
      Only in Tanzania


    6. #6
      UmkhontoweSizwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th December 2008
      Posts : 2,076
      Rep Power : 950
      Likes Received
      572
      Likes Given
      329

      Default Re: Diwani wa ccm auwawa tarime

      Pole kwa wafiwa.

    7. #7
      ngarauo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 17th June 2011
      Posts : 55
      Rep Power : 416
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Diwani wa ccm auwawa tarime

      poleni wafiwa

    8. #8
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 16,053
      Rep Power : 14671
      Likes Received
      2955
      Likes Given
      2099

      Default Re: Diwani wa ccm auwawa tarime

      Magwanda wa huko wachunguzwe maana wao ndio "wapiganaji"!
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    9. #9
      Chimunguru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2009
      Posts : 7,891
      Rep Power : 2172
      Likes Received
      1258
      Likes Given
      561

      Default Re: Diwani wa ccm auwawa tarime

      dah mungu tuepushe na haya majambazi! poleni saana wafiwa.

    10. #10
      Rejao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2010
      Location : Long Street
      Posts : 8,776
      Rep Power : 25659
      Likes Received
      3353
      Likes Given
      2882

      Default Re: Diwani wa ccm auwawa tarime

      Kutakuwa na ishu za kisiasa hapa! Majambazi gani wakuvamie na wakuue bila kuchukua chochete?

    11. #11
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 19,235
      Rep Power : 12776
      Likes Received
      6454
      Likes Given
      999

      Default Re: Diwani wa ccm auwawa tarime

      hakuna majambazi hapo ni siasa tu

    12. #12
      COMPLICATOR2011's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 13th July 2011
      Posts : 255
      Rep Power : 0
      Likes Received
      26
      Likes Given
      16

      Default Re: Diwani wa ccm auwawa tarime

      We kila kitu unawaza siasa tu, hujasikia hapa wamechukua simu yake na bastora yake?

    13. #13
      jogi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th September 2010
      Posts : 4,085
      Rep Power : 1237
      Likes Received
      988
      Likes Given
      247

      Default

      Quote By zomba View Post
      Magwanda wa huko wachunguzwe maana wao ndio "wapiganaji"!
      kwa kuwa umejidhihirisha mwenyewe umebeba box kichwani, ushauri wa bure, kwenye jina lako futa herufi M linalobakia ndio jina lako. POLENI WAFIWA

    14. #14
      Ng'wanza Madaso's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2008
      Location : Sanga Nh'walugesha
      Posts : 2,175
      Rep Power : 988
      Likes Received
      203
      Likes Given
      844

      Default Re: Diwani wa ccm auwawa tarime

      Quote By Rejao View Post
      Kutakuwa na ishu za kisiasa hapa! Majambazi gani wakuvamie na wakuue bila kuchukua chochete?
      Quote By Feedback View Post
      DIWANI wa CCM, Kata ya Susuni Tarafa ya Inchugu wilayani hapa mkoani Mara, Felex Horombe (45) ameuawa kwa kupigwa risasi kiunoni na mguuni na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.

      Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya, Kamishna Msaidizi, Deus Kato alisema kuwa tukio hilo la mauaji lililotokea usiku wa Ijumaa saa 2 katika eneo la pori la Nyandoto wakati diwani huyo alipokuwa akitokea Tarime Mjini kuelekea nyumbani kwake Kijiji cha Kiongera.

      Alisema diwani huyo alikuwa akiendesha pikipiki yake na alipofika eneo hilo, alivamiwa na kundi la watu waliokuwa na silaha aina ya bunduki na kuanza kumshambulia na kumpiga risasi kiunoni na mguuni.

      Alisema baada ya kupigwa risasi walimpora bastola yake aliyokuwa akimiliki kihalali na simu yake ya mkononi na kuitelekeza pikipiki hiyo katika eneo la tukio.

      Jeshi la Polisi lilifika eneo hilo la tukio na kuuchukua mwili wa marehemu na kuupeleka kufanyiwa uchunguzi katika Hospitali ya Wilaya Tarime ambapo umehifadhiwa ukisubiri kufanyiwa mipango ya maziko kijijini kwake Kiongera.

      Hata hivyo, Kamanda Kato alisema polisi wanaendelea na uchunguzi wa mauaji hayo na kwamba hadi sasa hakuna mtu yeyote aliyekamatwa kuhusiana na mauaji hayo.
      walimpora bastola yake aliyokuwa akimiliki kihalali na simu yake ya mkononi
      THE DOG IS OK, BEWARE OF OWNER.

    15. #15
      Mokoyo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd March 2010
      Location : KILIMO KWANZA
      Posts : 3,655
      Rep Power : 1208
      Likes Received
      458
      Likes Given
      324

      Default Re: Diwani wa ccm auwawa tarime

      poleni wafiwa
      RIP Felex

    16. #16
      flora msoffe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : under a coconut tree
      Posts : 4,162
      Rep Power : 1271
      Likes Received
      511
      Likes Given
      373

      Default Re: Diwani-ccm TARIME auwawa!

      bangi na gongo zimepindisha akili zao ndo mana wanafanya mambo ya kishwain hivi




      Quote By BONGOLALA View Post
      Diwani kupitia ccm wilayani tarime ameuwawa na majambazi usiku wa kuamkia jana 15july.alipigwa risasi na kukatwakatwa mapanga!cha ajabu hao majambazi hawakuiba kitu wala pikipiki aliyokua akiendesha!Jamani tarime mauji yamezidi muogopeni mungu

    17. #17
      Mulongo Poteka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2010
      Posts : 2,060
      Rep Power : 0
      Likes Received
      299
      Likes Given
      127

      Default Re: Diwani wa ccm auwawa tarime

      Quote By ritz View Post
      hakuna majambazi hapo ni siasa tu
      Kenge wa kike wewe!
      I'd rather be pissed off than be pissed on

    18. #18
      Mshume Kiyate's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th February 2011
      Posts : 6,297
      Rep Power : 1615
      Likes Received
      561
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By Fellow Tablet View Post
      Kenge wa kike wewe!
      Duuuu!!

    19. #19
      Mo-TOWN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th October 2010
      Posts : 1,158
      Rep Power : 5170
      Likes Received
      223
      Likes Given
      84

      Default Re: Diwani wa ccm auwawa tarime

      I suspect ni hizi shoddy deals gone wrong. Majambazi gani wanaua watu kisha wanasepa? Tuambieni basi kuwa alijaribu kupambana nao. RIP

    Similar Topics

    1. Replies: 9
      Last Post: 26th September 2011, 16:12
    2. Askari Polisi auwawa na jambazi sugu huko Tarime
      By KIBURUDISHO in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 4
      Last Post: 29th July 2011, 09:52
    3. TARIME: Diwani aapishwa akiwa Jela!
      By Pasco_jr_ngumi in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 0
      Last Post: 25th December 2010, 08:23
    4. Auwawa kwa kukojoa hadharani!
      By Msongoru in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 11
      Last Post: 20th September 2008, 14:58
    5. Mwl auwawa.
      By MotoYaMbongo in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 6
      Last Post: 24th August 2008, 17:17

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...