Nawaomba kuwakumbusha ofisi ya waziri mkuu watambue tatizo lililopo ni janga lakitaifa kama mengine yanavyotokea!matharani mafuriko njaa n.k!Kwani kuiachia Wizara ya nishati nikuitwisha mzigo kwani dira iliharibika tangu enzi hizo za Richimond!Kitengo cha maafa kilichopo chini ya ofisi ya Waziri mkuu ndo wakati wakuingilia kati!

Reply With Quote
Follow Us Here