Namshukuru MUNGU kwa kuendelea kila siku iitwapo leo.
Namshukuru kwa kunipa mahtaji yangu ya roho na mwili,
pia namshukuru kwa kunipa marafiki weng ndani na nje ya jf.
Kwa kuweza kushare mambo mengi na mapya ktk maisha yangu nasema asante Mungu.

Happy Birthday...
Follow Us Here