Gazeti pendwa na maarufu la uchambuzi wa siasa na wa kijamii la Raia Mwema la leo 06/07/2011,toleo na.193,limejaa matangazo tu.Kati ya kurasa 36, 21 ni matangazo ya hotuba za kule Dodoma.Mimi kama msomaji wamuda mrefu hili limenikera.Mjirekebishe.
Gazeti pendwa na maarufu la uchambuzi wa siasa na wa kijamii la Raia Mwema la leo 06/07/2011,toleo na.193,limejaa matangazo tu.Kati ya kurasa 36, 21 ni matangazo ya hotuba za kule Dodoma.Mimi kama msomaji wamuda mrefu hili limenikera.Mjirekebishe.
mpaka kieleweke ndo maana yake..
Nashukuru kwa taarifa ngoja nikajikamatie TZ daima na MwanaHalisi nadhani yatanitosha kwa leo.
we unafikir watajiendesha vip bila matangazo
Hayo matangazo ni sehemu ya chanzo cha mapato kwa gazeti na hulazimiki kuayasoma.......wewe unadhani 500/= kwa nakala iataendesha gazeti kweli? Hebu soma hizo kurasa 15 zilizobaki na kama ni utumbo umeandikwa ndio iwe hoja.
A compliment is something like a kiss through a veil
Ni jambo la heri kama serikali wamewapatia Matangazo italipa nguvu zaidi gazeti, serikali ilikua inabana sana kutoa matangazo kwa haya magazeti yenye mrengo wa Kushoto ila naomba isije ikawa rushwa.
The most dangareous position in which to sleep is with your feet on your office desk.
Hapo ndipo inapothibitika kwamba gazeti hili si tishio kwa wserikali. Ndiyo maana serikali inaweka matangazo yake humo.
Income generation.......
No comments.
Hawana ruzuku kutoka serikalini kama uhuru,mzalenda na daily news.matangazo ni njia pekee ya kujiingizia kipato ili waweze kujiendesha na isitoshe matangazo ni ya muhimu.kuhusu hotuba za bungeni,sisi wengine ngeleja/umeme kakatika siku ya tatu hatujasikiliza bunge so ni muda muafaka wa kupitia hizo hotuba na ndio maana likaitwa gazeti la wiki unalisoma wiki nzima.pole ndugu yangu.
Hakuna tena cha kuandika kuhusu EL na very soon there will be nothing to write about Chenge!
u DU NGOJA NAMI NIKALITAFUTE. LKN NIJUAVYO MATANGAZO YA BIASHARA NDO YANAENDESHA MAGAZETI.
Follow Us Here