Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Wahadhiri wagoma

    Report Post
    Results 1 to 8 of 8
    1. #1
      X-PASTER's Avatar
      Super Moderator Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Firdaws (Paradise)
      Posts : 11,864
      Rep Power : 7692
      Likes Received
      1479
      Likes Given
      0

      Default Wahadhiri wagoma

      Wahadhiri Ustawi wa Jamii wagoma kufundisha

      Wahadhiri wa Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini Dar es Salaam wamegoma kuingia darasani kufundisha wakiushinikiza uongozi wa chuo uondoke na bodi yake iundwe upya.


      Aidha, wamesema uamuzi huo umefikiwa baada ya wenzao kumi kufukuzwa kazi katika kipindi cha miezi mitatu bila sababu za msingi.

      Uamuzi huo wa kutoingia madarasani ulitangazwa jana baada ya kukaa kikao ambacho kiliamua kitakuwa kikifanyika kila siku kuanzia jana hadi madai yao yatakapopata ufumbuzi.

      Mwenyekiti wa kikao hicho, Faustine Nzigu, alisema wameamua kutoingia darasani baada ya juzi wenzao saba kupewa barua za kufukuzwa kazi.

      Nzigu ambaye aliongoza kikao hicho, alisema sababu zilizotajwa kwenye barua za wenzao waliofukuzwa sio za msingi ndio maana wameamua kutofundisha.

      Alisema Februari mwaka huu, walienda ofisi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni, kumuelezea malalamiko yao kuwa chuo hicho hakina uongozi na kwamba waliopo wanakaimu nafasi zilizokuwa wazi, lakini aliwaeleza kuwa analifanyika kazi suala hilo na kwamba hadi Machi 2011 litakuwa limeshapatiwa ufumbuzi lakini mpaka sasa hakuna utekelezaji.

      Endelea kusoma bofya hapa
      “I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”

      'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

      (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)



    2. #2
      Mulongo Poteka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2010
      Posts : 2,057
      Rep Power : 0
      Likes Received
      299
      Likes Given
      127

      Default Re: Wahadhiri Wagoma

      Nilikuja Fasta nikijua ni wale wa Muslim University of Morogoro
      I'd rather be pissed off than be pissed on

    3. #3
      Mwendabure's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2011
      Posts : 1,047
      Rep Power : 628
      Likes Received
      180
      Likes Given
      41

      Default

      Quote By Fellow Tablet View Post
      Nilikuja Fasta nikijua ni wale wa Muslim University of Morogoro
      Khaaa! Huyu tulitoroka wote Mirembe siku ile. Nimem'bamba leo.

    4. #4
      X-PASTER's Avatar
      Super Moderator Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Firdaws (Paradise)
      Posts : 11,864
      Rep Power : 7692
      Likes Received
      1479
      Likes Given
      0

      Default Re: Wahadhiri Wagoma

      Quote By Mwendabure View Post
      Khaaa! Huyu tulitoroka wote Mirembe siku ile. Nimem'bamba leo.
      Duh! Wewe!
      “I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”

      'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

      (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)


    5. #5
      Mulongo Poteka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2010
      Posts : 2,057
      Rep Power : 0
      Likes Received
      299
      Likes Given
      127

      Default Re: Wahadhiri Wagoma

      Quote By Mwendabure View Post
      Khaaa! Huyu tulitoroka wote Mirembe siku ile. Nimem'bamba leo.
      Nakata shule huku siku hizi

      Muslim University of Morogoro
      I'd rather be pissed off than be pissed on


    6. #6
      Bakeza's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 30th June 2011
      Posts : 134
      Rep Power : 429
      Likes Received
      51
      Likes Given
      2

      Default Re: Wahadhiri Wagoma

      Ni bora wagome mana wana sababu za msingi kugoma. Nchi hii bila kugoma hupati haki kwa wakati

    7. #7
      Tuyuku's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 669
      Rep Power : 565
      Likes Received
      141
      Likes Given
      19

      Default Re: Wahadhiri Wagoma

      nami nawaunga mkono. Bora wagome chuo kinaendeshwa kizandiki sana

    8. #8
      Plato's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th August 2010
      Posts : 374
      Rep Power : 521
      Likes Received
      58
      Likes Given
      0

      Default Re: Wahadhiri Wagoma

      sasa mizimu ya ccm itasema chadema imewachochea kugoma

    Similar Topics

    1. wahadhiri UDOM vip..?
      By Dume la Nyani in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 6
      Last Post: 25th April 2011, 03:27
    2. Wahadhiri Wagoma Tena UDOM!
      By Mdau in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 13
      Last Post: 2nd February 2011, 12:58
    3. Mgomo wa wahadhiri, ... any updates?
      By Dark City in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 13
      Last Post: 28th April 2010, 16:08
    4. Wahadhiri 4 out wamekufa kishujaa
      By Pdidy in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 9
      Last Post: 15th January 2010, 14:48
    5. Wahadhiri Chuo cha Uhasibu Arusha wagoma
      By Belo in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 0
      Last Post: 23rd May 2008, 19:05

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...