JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 33
  1. Gama's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2010
   Posts : 6,204
   Rep Power : 1815
   Likes Received
   879
   Likes Given
   1099

   Default Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   Miaka miwili iliyopita niliwahi kupashwa habari na whole seler wa mafuta ya alizeti jijini dsm kuwa madukani sasa kuna mafuta ya alizeti ya aina mbili.

   Aina ya kwanza ni yale yalikamuliwa kwa njia ya kawaida - haya sina ugonvi nayo.
   Aina ya pili ni mafuta yanayokamuliwa kutoka katika mashudu baada ya ukamuaji wa kawaida kumalizika - haya ndiyo shaka langu.

   UKAMUAJI HUFANYIKAJE?

   Mashudu ya alizeti humwagiwa ETHANOL kisa mafuta yaliyobaki ndani ya mashudu hujitenga.

   Kutokana na biashara hii mashudu ya alizeti yamepanda bei kuliko kawaida. Nawashauri mtumie mawese ili musipofuke.

  2. solution's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2009
   Posts : 413
   Rep Power : 729
   Likes Received
   86
   Likes Given
   63

   Default Re: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   Kama wanatumia ethenol .... is crime!!

   Kupofuka sawa!! Je kulewa .. ?

  3. sweetlady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th December 2010
   Location : Tanzania
   Posts : 16,918
   Rep Power : 1186250
   Likes Received
   8239
   Likes Given
   4618

   Default Re: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   tuambie basi tutayatofautishaje ili tusipofuke?

  4. Bajabiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Posts : 9,736
   Rep Power : 3014
   Likes Received
   1136
   Likes Given
   52

   Default

   Quote By sweetlady View Post
   tuambie basi tutayatofautishaje ili tusipofuke?
   asante kwa swali KUNTU......

  5. TIMING's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2008
   Location : Roaming...
   Posts : 21,841
   Rep Power : 923038
   Likes Received
   7107
   Likes Given
   8213

   Default Re: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   ethanl haipofui, methanol inapofua
   ....Time is the wisest counselor !!!

  6. Degelingi's Avatar
   Member Array
   Join Date : 14th April 2011
   Posts : 42
   Rep Power : 549
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   Wataalam wa inteligency je ni kweli? isije kuwa ni mawazo ya mtu na story za vijiweni mnatuletea humu.

  7. Katavi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st August 2009
   Location : Lyamba Lya Mfipa
   Posts : 31,863
   Rep Power : 271424177
   Likes Received
   5828
   Likes Given
   3414

   Default Re: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   mmh! Hii ni hatari.

  8. Kimbunga's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 4th October 2007
   Location : Jimboni kusaka ridhaa
   Posts : 10,993
   Rep Power : 7212
   Likes Received
   5186
   Likes Given
   1702

   Default Re: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   Quote By Gama View Post
   Miaka miwili iliyopita niliwahi kupashwa habari na whole seler wa mafuta ya alizeti jijini dsm kuwa madukani sasa kuna mafuta ya alizeti ya aina mbili.

   Aina ya kwanza ni yale yalikamuliwa kwa njia ya kawaida - haya sina ugonvi nayo.
   Aina ya pili ni mafuta yanayokamuliwa kutoka katika mashudu baada ya ukamuaji wa kawaida kumalizika - haya ndiyo shaka langu.

   UKAMUAJI HUFANYIKAJE?

   Mashudu ya alizeti humwagiwa ETHANOL kisa mafuta yaliyobaki ndani ya mashudu hujitenga.

   Kutokana na biashara hii mashudu ya alizeti yamepanda bei kuliko kawaida. Nawashauri mtumie mawese ili musipofuke.
   Mkuu hii habari yako huenda ina kitu ndani lakini isije ikawa unatoka Kigoma na hivyo unataka kuharibu uchumi wa Singina na mikoa mingine ambayo inalima alizeti!!!

   Nasema huenda kuna kitu ndani kwa kuwa jana nilikuwa mkoa mmoja hivi na nikaenda kiwandani (kiwanda kidogo - SIDO type) kununua mafuta ya alizeti nikawa naongea na mzee mmoja ambaye ni mmiliki wa kiwanda. Mzee aliniambia mafuta yale ni mazuri ukilinganisha na Sunola (mafuta ya alizeti ya viwandani). Nikamwambia yale si yanakuwa purified akasema wananunua mashudu toka kwao na kwenda kuweka chemicals na kupata hayo mafuta. Tena akasema kiwanda kipo Arusha!! Huenda hizo chemicals ndiyo hiyo ethanol.

   Kwa hiyo mkuu haya ya viwanda vyetu yana nafuu au?
   Nimekuja mzee wenu, naomba ridhaa yenu.

  9. BADILI TABIA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th June 2011
   Location : DUNIANI
   Posts : 25,153
   Rep Power : 397048788
   Likes Received
   12730
   Likes Given
   12084

   Default Re: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   heri kula chukuchuku

  10. Husninyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th October 2010
   Posts : 23,292
   Rep Power : 344358669
   Likes Received
   8325
   Likes Given
   5194

   Default Re: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   Ahsante kwa taarifa.

  11. Mtumiabusara's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th November 2009
   Posts : 473
   Rep Power : 709
   Likes Received
   37
   Likes Given
   29

   Default Re: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   Unaijua bei ya ethanol ili utumie kukamulia mafuta? Hayo mafuta utayauza bei gani?

  12. Gama's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2010
   Posts : 6,204
   Rep Power : 1815
   Likes Received
   879
   Likes Given
   1099

   Default

   Quote By Kimbunga View Post
   Mkuu hii habari yako huenda ina kitu ndani lakini isije ikawa unatoka Kigoma na hivyo unataka kuharibu uchumi wa Singina na mikoa mingine ambayo inalima alizeti!!!Nasema huenda kuna kitu ndani kwa kuwa jana nilikuwa mkoa mmoja hivi na nikaenda kiwandani (kiwanda kidogo - SIDO type) kununua mafuta ya alizeti nikawa naongea na mzee mmoja ambaye ni mmiliki wa kiwanda. Mzee aliniambia mafuta yale ni mazuri ukilinganisha na Sunola (mafuta ya alizeti ya viwandani). Nikamwambia yale si yanakuwa purified akasema wananunua mashudu toka kwao na kwenda kuweka chemicals na kupata hayo mafuta. Tena akasema kiwanda kipo Arusha!! Huenda hizo chemicals ndiyo hiyo ethanol. Kwa hiyo mkuu haya ya viwanda vyetu yana nafuu au?
   viwanda viko Arusha, singida na Dodoma. Ni habari ya uhakika.

  13. Bajabiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Posts : 9,736
   Rep Power : 3014
   Likes Received
   1136
   Likes Given
   52

   Default Re: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   Kitu nazi tuuuuuu.....

  14. Gama's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2010
   Posts : 6,204
   Rep Power : 1815
   Likes Received
   879
   Likes Given
   1099

   Default

   Quote By Bajabiri View Post
   Kitu nazi tuuuuuu.....
   Ndugu yangu, hata nazi ni deadly.

  15. Kimbunga's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 4th October 2007
   Location : Jimboni kusaka ridhaa
   Posts : 10,993
   Rep Power : 7212
   Likes Received
   5186
   Likes Given
   1702

   Default Re: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   Quote By Gama View Post
   Ndugu yangu, hata nazi ni deadly.
   Mkuu nazi nayo ina methanol ama ethanol? Nadhani nazi iko poa hasa ukipata tui bubu!
   Nimekuja mzee wenu, naomba ridhaa yenu.

  16. Kimbunga's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 4th October 2007
   Location : Jimboni kusaka ridhaa
   Posts : 10,993
   Rep Power : 7212
   Likes Received
   5186
   Likes Given
   1702

   Default Re: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   Quote By Gama View Post
   viwanda viko Arusha, singida na Dodoma. Ni habari ya uhakika.
   mkuu nilishangaa kuona mashudu yakiwa yamekamuliwa hadi yamegandamana lakini jamaa akaniambia watu wa Arusha wanakuja kuyanunua na kukamua mafuta basi nikadhani huenda wao wana technologia ya juu kuliko hawa wa SIDO, kumbe ni mambo ya ethanol. TFDA wako wapi? TBS wako wapi? Kesho nataka nichukue mafuta ya SUNOLA niyapeleke TFDA ili yapimwe. Sijui kama naruhusiwa kama Mlaji (Consumer)?
   Nimekuja mzee wenu, naomba ridhaa yenu.

  17. Gama's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2010
   Posts : 6,204
   Rep Power : 1815
   Likes Received
   879
   Likes Given
   1099

   Default

   Quote By Kimbunga View Post
   mkuu nilishangaa kuona mashudu yakiwa yamekamuliwa hadi yamegandamana lakini jamaa akaniambia watu wa Arusha wanakuja kuyanunua na kukamua mafuta basi nikadhani huenda wao wana technologia ya juu kuliko hawa wa SIDO, kumbe ni mambo ya ethanol. TFDA wako wapi? TBS wako wapi? Kesho nataka nichukue mafuta ya SUNOLA niyapeleke TFDA ili yapimwe. Sijui kama naruhusiwa kama Mlaji (Consumer)?
   Asante kwa kuniunga mkono, taarifa za uhakika nilizopata ni kwamba hata wachuuzi toka kenya huja kuyanunua kwa wingi kwaajiri ya kukamua mafuta. Ni vema mamlaka husika zingechukua hatua.

  18. pmwasyoke's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th May 2010
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 3,426
   Rep Power : 1296
   Likes Received
   687
   Likes Given
   647

   Default Re: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   Hapa ulinzi wa TBS unahitajika kwa nguvu!

  19. Utingo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th December 2009
   Location : Lyazumbi
   Posts : 6,984
   Rep Power : 36942
   Likes Received
   1668
   Likes Given
   1087

   Default Re: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   Quote By pmwasyoke View Post
   Hapa ulinzi wa TBS unahitajika kwa nguvu!
   TBS ipi, hii hii iliyopo Ubungo au nyingine?
   Never Underestimate the Power of Stupid People in Large Groups

  20. Songambele's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th November 2007
   Posts : 1,674
   Rep Power : 1057
   Likes Received
   242
   Likes Given
   579

   Default Re: Tahadhari: tuache kula mafuta ya alizeti la sivyo tutapofuka.

   Andiko liko general sana, ni kweli technologia inayotumika katika viwanda vingi vidogo haikamui mafuta yote kutoka katika alizeti. Ndio maana viwanda vya arusha vinanunua mashudu na kuyakamua tena na ku export mashudu.

   Demand ya Mashudu pia imeongezeka, la upofu bado linahitaji utafiti zaidi.

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Similar Topics

  1. Pata Mafuta halisi ya Alizeti ulipo kwa Tsh. 17500/=
   By Giddy Mangi in forum Matangazo madogo
   Replies: 0
   Last Post: 12th September 2011, 19:18
  2. Nauza mafuta ya alizeti
   By MkimbizwaMbio in forum Matangazo madogo
   Replies: 23
   Last Post: 18th August 2011, 12:48
  3. Biashara ya mafuta ya alizeti
   By Tricker in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 3
   Last Post: 6th April 2011, 14:15
  4. Mafuta yaliokamuliwa kutoka kwenye alizeti
   By Emma Lukosi in forum Matangazo madogo
   Replies: 0
   Last Post: 5th September 2010, 09:58
  5. Mkullo rushwa Ya Mafuta ya kupikia tamu ,umesahau mawese na alizeti tunayo?
   By Phillemon Mikael in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 13
   Last Post: 20th June 2009, 20:13

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...