JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

  Report Post
  Page 1 of 5 123 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 91
  1. kiwalanikwagude's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 8th June 2011
   Posts : 52
   Rep Power : 0
   Likes Received
   19
   Likes Given
   18

   Default Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   Nimekuwa nafanya uchunguzi kwa mwaka wa 5 sasa juu ya waandishi wa kitanzania wenye ushawishi kwa wananchi, uchunguzi nimeufanya kwenye vyuo vikuu, mikoani, mijini, kwenye nyumba za ibada, vyama vya siasa na vijijini nikishirikiana na team ya watafiti wa maswala ya kisiasa wa chama cha Republican cha Marekani na wafuatao ni waandishi wanaokubalika sana miongoni mwa watanzania tena habari zao zinapendwa sana............
   1.Jenerali Ulimwengu( gazeti la Rai zamani na kwa sasa Raia Mwema pia ni mchangiaji kwenye The East African la kenya)
   2.Mwanakijiji(Mwanahalisi, Tanzania Daima na mitandaoni)
   3.Lula Wa Ndali Mwana Nzela(Raia Mwema)
   4.Saed Kubenea(Mwanahalisi)
   5.Ansbert Ngurumo(Tanzania Daima)
   6.Evarist Chahali(Raia Mwema na www.chahali.com)
   7.Ojuku Abraham(Dira kwa sasa)
   8.Msomaji Raia(Raia Mwema)
   9.Johnson Mbwambo(Raia Mwema)
   10.Kondo Tutindaga(Mwanahalisi na Kwanza jamii)
   11,Fr Privatus Karugendo(Raia Mwema)
   12.Nova Kambota(zamani Dira kwasasa mtandaoni www.novakambota.com)
   13.Dismass Lyassa(Mwananchi na mkurugenzi Global Source Watch GSW ubungo)
   14.Kinabo(Tanzania Daima)
   15.Samson Mwigamba(Tanzania Daima)
   16.Fredrick Katulanda(Mwananchi)
   17.William Shao(Majira na mwandishi wa "Miaka 2000 ya ukristo historia iliyopotoshwa)
   18.Godfrey Dilunga(Raia Mwema)
   19.Maggid Mjengwa(Raia Mwema na mtandaoni MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo)
   20.Ndimara Tegambwage(Mwanahalisi na mtandaoni uhuru hauna kikomo )
   21.Nkwazi Nkwabi(Dira na mtandaoni )
   22.Marehemu Adam Lusekelo(Daily News with the light touch na mtandaoni)
   23.Freddy Macha(Mwananchi, The Citizen na mtandaoni Freddy Macha)
   24.Issa Michuzi(mtandaoni www.issamichuzi.blogspot.com)
   25.Bubelwa Bandio(mtangazaji voice of America na mtandaoni "The Way You See The Problem Is The Problem")

   HAWA NDIYO WAANDISHI 25 WA KITANZANIA WENYE USHAWISHI MKUBWA SANA KWA WANANCHI NA MWISHO WA UTAFITI WETU TULISHAURI TAASISI MBALIMBALI ZIWATUMIE WATU HAWA KWENYE KUHIMIZA SHUGHULI MBALIMBALI ZA MAENDELEO MFANO KILIMO KWANZA, ELIMU NA KATIBA MPYA......NI HAYO TU WADAU , IWAPO UNA MAONI USISITE KUNIANDIKIA KWENDA [email protected] m


  2. Mosachaoghoko's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 19th April 2011
   Posts : 138
   Rep Power : 568
   Likes Received
   10
   Likes Given
   27

   Default Re: Waandishi bora 25 wa tanzania ni hawa wafuatao...................... .......

   Nafasi ya 24 ambayo ni issa michuzi sio kweli hii ni nafasi ya JUSTUS MWINGULUBI Mwanahalisi

  3. Mr Suggestion's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd May 2011
   Location : Juba
   Posts : 494
   Rep Power : 751
   Likes Received
   145
   Likes Given
   92

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   Napita tu

  4. Ziroseventytwo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th March 2011
   Posts : 2,121
   Rep Power : 968
   Likes Received
   658
   Likes Given
   368

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   Hapo bila Joseph mihangwa wa Raia mwema na Rai, mtakuwa hamjamtendea haki mi namkubali sana. Anajua mambo mengi sana hasa kwenye siasa,uchumi na kijamii. Nimejua mambo mengi ya zanzibar kupitia kwake (hayo ni maoni yangu)

  5. Murrah's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 28th May 2011
   Location : Tarime
   Posts : 191
   Rep Power : 573
   Likes Received
   42
   Likes Given
   9

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   Issa Michuzi ni manafiki huwezi kuwa mwandishi bora blog yake imejaa upuuzi tupu, na habari za Mafasidi na bias news


  6. The Priest's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th December 2010
   Location : Kimanzichana
   Posts : 1,018
   Rep Power : 763
   Likes Received
   204
   Likes Given
   161

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   Umejitahidi ila hapo kwa blog ya michuzi HAPANA!kama ni hvyo basi ni sawa ukiwaweka wengne wote wanaoweka mapicha tu kwny blog zao kama jaydee n.k.

  7. KIMICHIO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th August 2010
   Location : KITANDANI
   Posts : 1,183
   Rep Power : 813
   Likes Received
   74
   Likes Given
   26

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   Michuzi rafiki hapo nakupa big no!!!!!ni wa mrengo mmoja.
   MWISHO WA UBAYA NI AIBU ILA KIKONGWE HAFI KITOTO.

  8. njiwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2009
   Location : ax^2+bx+c=0
   Posts : 8,349
   Rep Power : 11772149
   Likes Received
   2135
   Likes Given
   249

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   Mkuu sidhani michuzi kama ni muandishi wa habari .. yaani wa kumuweka katika hilo kundi .." michuzi haandiki chochote" mimi nitamuweka katika kundi la wapiga picha BORA ..
   Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
   My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

  9. Rweye's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th March 2011
   Posts : 9,984
   Rep Power : 0
   Likes Received
   2331
   Likes Given
   0

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   Kwa michuzi HAPANA,ni bora hata Absalom Kibanda,Mhariri(Tanzania Daima)

  10. Stuxnet's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2011
   Posts : 995
   Rep Power : 3067
   Likes Received
   346
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By KIMICHIO View Post
   Michuzi rafiki hapo nakupa big no!!!!!ni wa mrengo mmoja.
   Thread ni nzuri Ila mwandishi katibua kitu kimoja kwa kumuingiza Michuzi. Huyu Issa Michuzi si mwandishi Wa habari kwani hajasoma taaluma bali ni kanjanja aliyeibuka miaka ya 80's kwa kupiga picha na kuzipeleka Daily News. Ndipo kwenye miaka ya 90's akapewa kazi kiushikaji. Naunga mkono kuingiza jina la Josta Mwangulumbi wa MwanaHalisi na Paskally Mayega Wa Tanzania Daima

  11. moblaze's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Location : mawinguni
   Posts : 226
   Rep Power : 607
   Likes Received
   21
   Likes Given
   44

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   michuzi kawa mwandishi? what I know ni mpiga picha

  12. serio's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th April 2011
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 4,656
   Rep Power : 15914212
   Likes Received
   1265
   Likes Given
   779

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   MNAKU MBANI wa business times nae mkali..

  13. mtemiwaWandamba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd May 2011
   Location : MTONI RUIPA
   Posts : 450
   Rep Power : 629
   Likes Received
   83
   Likes Given
   96

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   Huyo Muhidini Issa Michuzi mtoe badala yake ni J mwangulumbili(mwanahalisi)

  14. Zak Malang's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th December 2008
   Posts : 5,420
   Rep Power : 6020
   Likes Received
   203
   Likes Given
   2

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   Jee ni waandishi wa Kiswahili tu? Kuna wale wa Kiingereza ambao nao wamekuwa waandishi wazuri tukwa muda mrefu. Hawa ni Karl Lyimo, Azaveli Lwaitama, Fiki Krashani, Wilson Kaigarula, Hilal Sued, Anthony Ngaiza, Ayub Ryoba na marehemu Stanley Kamana.
   Being prolific doesnt mean you are an accomplished person

  15. X-PASTER's Avatar
   Moderator Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : Firdaws (Paradise)
   Posts : 11,863
   Rep Power : 38158073
   Likes Received
   1574
   Likes Given
   0

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   Huu ni uchaguzi wa wadau mbali mbali na si wa mleta mada.

   Nimekuwa nafanya uchunguzi kwa mwaka wa 5 sasa juu ya waandishi wa kitanzania wenye ushawishi kwa wananchi, uchunguzi nimeufanya kwenye vyuo vikuu, mikoani, mijini, kwenye nyumba za ibada, vyama vya siasa na vijijini nikishirikiana na team ya watafiti wa maswala ya kisiasa wa chama cha Republican cha Marekani na wafuatao ni waandishi wanaokubalika sana miongoni mwa watanzania tena habari zao zinapendwa sana............
   'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

   (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)

  16. The Boss's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2009
   Location : DARESALAAM
   Posts : 30,566
   Rep Power : 429503170
   Likes Received
   30840
   Likes Given
   29184

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   Mimi nanunua raia mwema kwa ajili ya johnson mbwambo
   he is no 1 to me

   halafu huyo msomaji raia mwema hana jina?sio jenerali???????????
   Whenever you find yourself on the side of the majority, it is time to pause and reflect.

  17. The Boss's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2009
   Location : DARESALAAM
   Posts : 30,566
   Rep Power : 429503170
   Likes Received
   30840
   Likes Given
   29184

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   Halafu mwanakijiji na lula mwananzela ni watu wawili tofauti???????????
   Whenever you find yourself on the side of the majority, it is time to pause and reflect.

  18. Mbalamwezi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th September 2007
   Posts : 757
   Rep Power : 881
   Likes Received
   116
   Likes Given
   182

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   [QUOTE=kiwalanikwagude;2089393]Nimekuwa nafanya uchunguzi kwa mwaka wa 5 sasa juu ya waandishi wa kitanzania wenye ushawishi kwa wananchi, uchunguzi nimeufanya kwenye vyuo vikuu, mikoani, mijini, kwenye nyumba za ibada, vyama vya siasa na vijijini nikishirikiana na team ya watafiti wa maswala ya kisiasa wa chama cha Republican cha Marekani na wafuatao ni waandishi wanaokubalika sana miongoni mwa watanzania tena habari zao zinapendwa sana............

   Upload ripoti kamili tuone vigezo gani umetumia, siyo kuchanganya tu mambo. Humo kuna wapiga picha, kuna waandika makala tu ambao kazi yao siyo waandishi (columnists), na je, hilo ni kundi gani la waandishi? siasa? uchumi? Utamaduni? mazingira? hebu fafanua, na kumbuka baadhi ya vyombo ulivyotaja ha amiaka mitano havina...hujawa makini.

  19. Globu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th January 2011
   Location : Giningi
   Posts : 7,849
   Rep Power : 262614272
   Likes Received
   1060
   Likes Given
   1093

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   Hawa waandishi bora ni WaTANZANIA Au WaTANGANYIKA. Nijuavyo mimi Tanzania haiwezi kuwepo bila ZANZIBAR. Naona mleta hoja kachemsha. Mbona ZANZIBAR kuna waandishi wazuri tu. Mfano Ali Saleh au Ali Bato na wengine wengi. Lakini list yote ni Tanganyika land. Heading ibadilishwe, iandikwe : WAANDISHI BORA 25 WA TANZANIA BARA.

  20. ngwendu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th June 2010
   Posts : 1,971
   Rep Power : 989
   Likes Received
   164
   Likes Given
   50

   Default Re: Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

   Hiyo ni mitizamo yao. kwangu ni tofauti kabisa.
   we have to be focused!


  Page 1 of 5 123 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Vigogo wenye uraia wa nchi mbili ni hawa wafuatao
   By MVUA GAMBA in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 265
   Last Post: 2nd December 2014, 20:42
  2. Napenda kutoa shukrani kwa hawa wafuatao.
   By Slave in forum JF Doctor
   Replies: 4
   Last Post: 28th February 2011, 02:07
  3. Kwa uchumi bora chagua hawa wafuatao
   By AMARIDONG in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 1
   Last Post: 28th October 2010, 15:54

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...