Leo imeniuma sana. Umeme umekatika tangu saa 11 jioni, nimeuliza tanga hakuna umeme, dar giza, dodoma, morogoro pia gizani. Nadhani ni issue ya nchi nzima. Hv tunaelekea wapi jamani?
Leo imeniuma sana. Umeme umekatika tangu saa 11 jioni, nimeuliza tanga hakuna umeme, dar giza, dodoma, morogoro pia gizani. Nadhani ni issue ya nchi nzima. Hv tunaelekea wapi jamani?
Kuzimu.
Huo ndio urithi aliotuachia nyerere! alikataa steigler usifuliwe umeme toka enzi hizo, kwanini?
itakua hamhitaji umeme ndomaana!..
unazungumzia Tanzania ipi yenye miaka 50?
My IGNORANCE amuses me!
Ni nchi nzima kweli, nimewasiliana na watu Mwanza, Arusha na Ruvuma kote hamna umeme, kweli Tanzania bila umeme INAWEZEKANA.
Follow Us Here