NASEMA ACHENI KUGAWA PASSPORT ZETU KAMA NJUGU,NAONA UCHUNGU SANA NAONA NCHI HAINA WENYEWE,NILIE AU NIFANYE NINI NYIE MLIOPEWA KAZI YA KUGAWA PASSPORT, MNAWAPA WARUNDI NA WAKENYA. MBONA SISI HATUENDI KWAO KUCHUKUA PASSPORT ZAO?
NASEMA ACHENI KUGAWA PASSPORT ZETU KAMA NJUGU,NAONA UCHUNGU SANA NAONA NCHI HAINA WENYEWE,NILIE AU NIFANYE NINI NYIE MLIOPEWA KAZI YA KUGAWA PASSPORT, MNAWAPA WARUNDI NA WAKENYA. MBONA SISI HATUENDI KWAO KUCHUKUA PASSPORT ZAO?
I feel you men!
Si afadhari hao wa Tusi wanababaishia kiswahili? Kuna Wanigeria na waSenegal Kibao wanadunda na Pass zetu kama wanalia.
Ila hilo Dua lako haliwafikii bloo.
Tanzania inapendwa Pesa tu, wewe upigae yowe wanakuona wakuja ulokosa wasaa wa kuchuma.
MYPEOPLE PERISH FOR LACK OF KNOWLEDGE. HOSEA 4:6
You can be whatever you make up your mind to be. What's in your mind is all that counts
KWa shughuli zao za Kuuza madawa ya kulevya na biashara za Utapeli ni rahisi kwao kufanya wakiwa na Pass zaidi ya moja.
Sasa nchi zilizoweka mafala katioka ugavi wa pass ndizo hugeuka shamba la bibi.
Kuna nchi Duniani ukiingia na Pass ya Nigeria wanakushitukia saa hiyohiyo kuwa na Pass ya Tz au nchi nyingine yenye skendo hafifu ni mtaji kwao.
Maharamia wanahitaji pass nyingi iwezekanavyo.
Nchi nyingine duniani hata ukuwa na $25,000.00 hupati pass
MYPEOPLE PERISH FOR LACK OF KNOWLEDGE. HOSEA 4:6
Mkuu kama haya yanayosemwa ni kweli tumekwisha. Ndiyo maana inakua vigumu sasa kumtambua mtanzania haswa wanapokua nje ya nchi - tunaishia kupakwa kila aina ya matope. Nilisikitika kusikia kulikua na mtz kati ya watuhumiwa wa mabomu ya Uganda(AL shabab) wakati wa world.
Chanzo cha yote ni rushwa iliyokithiri
CHA KUJIULIZA HIVI UCHUNGU TULIONAO JUU YA HAYA YOTE NANI ATATUONGOZA KUUSHUGHULIA? Ni lini tutapata serikali makini itakayopiga vita rushwa?
ni safari ngumu sana, itachukua zaidi ya miaka 10,labda maombi ya passport yaanzie ngazi ya kiiji/mtaa, yambatanishwe na mhitasari wa kijiji au madiwani husika atokako huyo mwombaji, na pia picha za waombaji zitolewe kwenye magazeti matoleo kama matatu hivi ili kuona kama kutakuwa na pingamizi lenye vielelezo na siyo chuki binafsi, ndivyo nionavyo kwa haraka haraka
You can be whatever you make up your mind to be. What's in your mind is all that counts
hili swala la passport linasikitisha sana mimi nimeshakutana na watu nje wanapassport za tz na wala hawajui tz ipo wapi na wala hawajawahi kukanyaga tz, wasomali, wayemen,nigeria wengi sana wanazo tena michongo inaanzia ubalozi wa tz.
matumizi: nina marafiki wa yemen wanasema kama umetoa palestina,pakistan,iran,afghan na yemen yenyewe ukiomba kazi quatar,U.A.E, saudia ni vigumu sana kupata work permit coz wanahofia ugaidi lkn ukiwa na passport ya tz au kenya ni nchi zenye amani so ni rahisi sana kupata work permit hivyo basi ndio maana jamaa wa yeme wengi wanatafuta passport za nchi hizi na kuna jamaa zao walihangaika sana kupata work permit dubai bila mafanikio lkn walipopata passport za tz within a week walipata kibali na mpk sasa wanadunda.
pia kunawatu hapo dar wanaendesha maisha kwa biashara ya passport saa 3 asbh unampa laki 3 jioni unachukua passport anchohitaji yeye ni date of birth na majina yako matatu basi, kimbembe nenda wewe mzawa pale uhamiaji
"Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)
duh,hii mbona inatisha sasa!
Hivi tuna ulinzi kweli Tanzania hii?
Mjinga mpe cheo...
Wakenya ndo wametuvamia kwa wingi sana hasa wajaluo. Wanasingizia wamezaliwa Mara tz. Wakenya wa kabila nyingine hutanguliza wanawake kuolewa. Akiolewa mmoja basi utitiri utakaomfuata huku ni mkubwa sana. Kuna wanaume pia wanakuja kuoa tz kwa sababu hizo hizo lakini wachache. Watz wangapi wameolewa au kuoa kenya?
Wajaluo wa kenya hufoji vyeti vya kuzaliwa mkoani Mara kwa kushirikiana na RITA. Kisha hufoji vyeti kuonesha wamesoma elimu ya juu na kufaulu vizuri, hasa wale ambao hawakusoma sana. Kwa kuwa wanaongea kiingereza cha kubabaisha hapa tz huonekana wamesoma.
Wajaluo, wakenya, warundi wamejipenyeza uhamiaji na wengi wako kitengo cha Pasport. Sijui walianza lini huo mkakati
Wakishapata pass za tz hutumia kujihalalisha kwamba wao ni raia. Kisha wanapata huduma zote Kama raia. Kusoma, ajira, ardhi,. Wakiwa kwao kwa mfano hawawezi kumiliki ardhi/viwanja kwa sababu hakuna.
Be the brightest star in the sky, if you cannot be the sun or the moon
Very dangerous issue..we will face the cosequences
kubabeki zao mimi nina uchungu kweli , hii serikali yetu sijui hata iko wapi mimi nilihangaika sana kupata passport miaka ya tisini mwishoni then, nilipoenda huko mamtoni nikakutana na wapuzi eti wana passport hata bongo yenyewe hawajawahi kufika , huu si ni use**& hivi hiii nchi inamilikiwa na nani? na nani anatoa hiki kibali? aua unataka kuniambia kuwa yule mkurugenzi pale hajui huu mchongo? anajua kabisa na wizara yake yote itakuwa inajau huu mchongo wanapenda kuiibia nchi ha wa na kuan siku watanzania wataamka na haya mambo yatawatookea puanai wapumbavu hawa
Dawa ni Kuiondoa ccm madarakani huyo ndio mzizi, tukifanikiwa hilo bsi kila kitu kitaenda smooth
The CCM is a crime syndicate, Most members and MPs of CCM are corrupt. No conceince, No brains no nothing, just bunches of criminal and theft. Corruption cost mlalahoi in de street.
Nimekutana na watanzania huku ugaibuni wana passport za Burundi, Rwanda, DRC au Somalia, wanajifanya ni wakimbizi kutoka katika hayo mataifa. Ila wana nufaika na misaada mikubwa ya kimaisha inayo tolewa na mataifa haya ya magharibi kwa wakimbizi.
Duh hii nayo kali.
Follow Us Here