baada ya kumgeuka mwenye kaya nakuanza kuiandama serikali gazeti la mtanzania toleo la leo limehujumiwa na watu wasiojulikana ili habari za leo zisiwafikie wananchi inadaiwa hujuma imefanywa kupitia wakala msambazaji

Kwa hiyo wakala kaamua kuvaa gamba?
Mi nasoma MWANAHALISI na RAIA MWEMA kwa habari za UHAKIKI
Vipi RAI limepatikana?
mambo ya jino kwa jino yameshaanza lakini mwisho wa ubaya ni aibu
Kuna njia nyingi za kufikisha habari; si warekebishe website yao? Wakikwamisha physical gazeti, tunapata habari kupitia elictronic version then ile nyeti tunaprint na kutoa photocopy.
RA ni bingwa wa michezo hiyo hivyo gazeti lake likipotea sokoni si mbaya naye aonje utamu wa mchezo mchafu
heri kufa mwili kuloko kufa roho
Duh! sinema hii tutainjoy sana tu
Acha walihujumu, lilituhujumu na Dr. wetu wakati wa uchaguzi, mwosha uoshwa
mbona sisi tumepata,au wamehujumiwa wapi???
ONE OF THE PENALTIES FOR NOT PARTICIPATING IN POLITICS IS THAT YOU ARE GOVERNED BY YOUR INFERIORS...[PLATO]
Jakaya mwenyewe aliingizwa na vyombo vya habari waache watafunane ,wenzao majira walivyoona Jakaya kawatosa baada ya kuwa raisi wakageuza kibao,Mtanzania itumike wananchi sio watawala ikiwa ni dhamira ya ukweli
Follow Us Here