Jamani mbona silioni Tanzania Daima la Leo kwenye mtandao? Kulikuwa na makala nyeti sana... tatizo la kiufundi au niaje maana nimesikia kuna baadhi ya watu wamepita mitaa mbalimbali Dar na kununua kwa mafungu.... what is going on?

hata kama wamenunua kwa mafungu ina maana wamefanya hivyo hata kwenye net?
hata mimi nimekuwa ninalitafuta kwenye web bila mafanikio.
Hii inanifanya nitie shaka kama Raia Mwema na lenyewe litakuwa hewani.
Mkuu, makala gani hiyo unayozungumzia ambayo imezuiwa kwenye Net? Nipigie simu au niandikie email... ([email protected])
Speaking Openly, without fear!
I miss Tanzania Daima, kunanini jamani? unajua gazeti hili ni kali sana siku za Jumatano na Jumapili huenda wameliwekea ngumu nini?
niliamua kuwasiliana na wenyewe, wamesema baada ya nusu saa litakuwa hewani, kuna problem kidogo ya kiufundi
asante mpita njia.. haya matatizo ya kiufundi ambayo huwa yanapenda kujitokeza Jumatano ni matatizo ambayo yangepaswa kutokea Jumamosi hivi...
umesomeka mkjj, ujumbe utafika
Follow Us Here