Je unaishi ughaibuni? je wahitaji kutizama ITV kwenye pc yako katika kiwango cha hali ya juu? kama jibu ni ndiyo basi usikose kutembelea hapa: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
Je unaishi ughaibuni? je wahitaji kutizama ITV kwenye pc yako katika kiwango cha hali ya juu? kama jibu ni ndiyo basi usikose kutembelea hapa: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
Bado sijajaribu kuangalia but kama itafanya kazi it wil be the best thing ever over where I am. Thanks.
yep it works! thanks
“Not only am I better looking….I’m just plain better.”Arsenal My heart Juventus My soul
oh it wont show me the picture ..nimedowload lakini inasema nahitaji dongle. Samahani kwa usumbufu lakini ikiwa unajua what I should do naomba msaada wako
http://www.tv4africa.com/ kuna kitufe pale kimeandikwa paypal ... Click then FANYA donation 5 euro ukimaliza utatumiwa user name na passwrd
“Not only am I better looking….I’m just plain better.”Arsenal My heart Juventus My soul
Most appreciated. Nitakujulisha nikifanikiwa
Great I WILL CHECK OUT IF IT WORKS
Follow Us Here