Ukistaajabu ya Edward Lowassa utayaona ya Aman A. Karume - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Habari na Hoja mchanganyiko

Habari na Hoja mchanganyiko Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako. Hoja binafsi pia ziwekwe hapa.

Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 8th April 2008, 06:29 PM   #1
Ukistaajabu ya Edward Lowassa utayaona ya Aman A. Karume
Sokomoko Sokomoko is offline 8th April 2008, 06:29 PM

Habari za Jioni wana JF.

Nipo kisiwani unguja moja katika vile visiwa vikuu viwili vya unguja na pemba vyenye kunukia marashi ya karafuu..

Natembea nakuangalia madhari nzuri ya nji mkongwe niliwa kwenye gari na waenyeji wangu tunapita kwenye majumba ya michenzani. Namuuliza mwenyeji wangu Karume jr amemalizia yale majengo aliyoyawacha babayake? ananimbiandio ukiyaangalia yanavutia sana lakini kwa sauti ya kukazia mwenyeji wangu ananiambia hayo majumba zimeliwa pesa nyingi sana... enhh ananiambia nyumba hizo zilikuwa zimalizike kwa pesa kutoka uchina na china walitoa hizo pesa na mhe karume amechota pia pesa zssf (nssf kwa bara) na matofali yaliyojengewa hizo nyumba yameuzwa na mama fatma karume! na na na vibarua wa ujenzi walikuwa wafungwa!

Naachamdomo wazi natafakari kisha jamaa anazidi kuniambia kuwa hii familia imegeuza hii zanzibar kama shamba la baba yao na sie tuliomo humu ndani kama vibarua wao maana wamejilimbikizia mali kisawasawa beach nzuri nzuri zote zinamilikiwa nawao wamenunua na nyingine wamedhulumu! na zile nyumba za michenzani mpya ile milango ya maduka yote ni ya first lady mama shadya karume! na mama yake mhe karume amevuka kutoka unguja mpaka pemba pale pemba micheweni karibu na kituo cha polisi kazuia eneo kubwa sana katia fensi analima mtama na kwa taarifa tu kicho kilimo cha mtama sio nia ni beach plots zilizopo nyuma ya hilo shamba la mtama.

Mastaajabu navuta pumzi namfikiria Lowassa na moyoni nasema kina Lowassa wapo wengi na hatuwawezi! Namuuliza mwenyeji wangu kuhusu hali ya kisiasa ananiambia ni mbaya sana na kuning'ata sikio kuwa ilipokuwa ikijadiliwa hoja ya serikali ya mseto nusu mkutano uvunjike maana mhe karume alisema kama ndio hivyo basi na muungano basi! jamaa akaniambia huyu hawezi kukubali mwafaka maana wamejilimbikizia sana mali wakikubali mseto "they will not be secured" na wanajitahidi kuunyanyasa upande wa pili wa zanzibar (pemba) pemba kukaa siku 2, 2 wiki au wiki mbili bila ya umeme ni jambo la kawaida pemba ni jela ndogo. Pemba hakuna kitu pemba kuna njaa! Serikali wanawafanyia wapemba u janjaweed wa kiana yake. Kufa hufi cha moto unakiona!

Jamani haya ndio niliyoyapata hapa visiwaniwale wanaJF mnaotoka Zanzibar tupeni in detail.

Maasalam.
Sokomoko safarini Zanzibar.

Sokomoko
JF Senior Expert Member
Points: 172,744, Level: 100 Points: 172,744, Level: 100 Points: 172,744, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
Join Date: Sat Mar 2008
Posts: 305
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Views: 1390
Reply With Quote
  #2  
Old 9th April 2008, 08:45 AM
Skills4Ever's Avatar
Skills4Ever Skills4Ever is offline
Skills4Ever Die Trying Guru
JF Senior Expert Member
Points: 117,495, Level: 100 Points: 117,495, Level: 100 Points: 117,495, Level: 100
Activity: 5% Activity: 5% Activity: 5%
 
Join Date: Thu Feb 2008
Posts: 1,417
Thanks: 0
Thanked 78 Times in 51 Posts
Rep Power: 25
Skills4Ever will become famous soon enoughSkills4Ever will become famous soon enoughSkills4Ever will become famous soon enoughSkills4Ever will become famous soon enoughSkills4Ever will become famous soon enoughSkills4Ever will become famous soon enoughSkills4Ever will become famous soon enoughSkills4Ever will become famous soon enough
Default Re: Ukistaajabu ya Edward Lowassa utayaona ya Aman A. Karume

kazi kweli kweli..nilikuwa zbar mweek 3 zilizopita nimeyaona yote yanayosemwa ila sijui ukweli wake ila lisemwalo......na mpangilio wa matukio yote ni sawa...
Reply With Quote
  #3  
Old 9th April 2008, 09:09 AM
Mtu wa Pwani's Avatar
Mtu wa Pwani Mtu wa Pwani is online now
Mtu wa Pwani Si Kila Kin'garacho ni dhahabu
JF Senior Expert Member
Points: 917,691, Level: 100 Points: 917,691, Level: 100 Points: 917,691, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Tue Dec 2006
Posts: 2,861
Thanks: 6
Thanked 8 Times in 7 Posts
Rep Power: 28
Mtu wa Pwani will become famous soon enoughMtu wa Pwani will become famous soon enoughMtu wa Pwani will become famous soon enoughMtu wa Pwani will become famous soon enoughMtu wa Pwani will become famous soon enoughMtu wa Pwani will become famous soon enoughMtu wa Pwani will become famous soon enoughMtu wa Pwani will become famous soon enough
Default Re: Ukistaajabu ya Edward Lowassa utayaona ya Aman A. Karume

na mengine upime, umepewa akili bw mdogo
__________________
Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown
Reply With Quote
  #4  
Old 9th April 2008, 09:23 AM
Engineer Mohamed Engineer Mohamed is offline
Engineer Mohamed has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 182,615, Level: 100 Points: 182,615, Level: 100 Points: 182,615, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Fri Jul 2007
Posts: 544
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 25
Engineer Mohamed will become famous soon enoughEngineer Mohamed will become famous soon enoughEngineer Mohamed will become famous soon enoughEngineer Mohamed will become famous soon enoughEngineer Mohamed will become famous soon enoughEngineer Mohamed will become famous soon enoughEngineer Mohamed will become famous soon enoughEngineer Mohamed will become famous soon enough
Default Re: Ukistaajabu ya Edward Lowassa utayaona ya Aman A. Karume

Quote:
View Post
Habari za Jioni wana JF.

Nipo kisiwani unguja moja katika vile visiwa vikuu viwili vya unguja na pemba vyenye kunukia marashi ya karafuu..

Natembea nakuangalia madhari nzuri ya nji mkongwe niliwa kwenye gari na waenyeji wangu tunapita kwenye majumba ya michenzani. Namuuliza mwenyeji wangu Karume jr amemalizia yale majengo aliyoyawacha babayake? ananimbiandio ukiyaangalia yanavutia sana lakini kwa sauti ya kukazia mwenyeji wangu ananiambia hayo majumba zimeliwa pesa nyingi sana... enhh ananiambia nyumba hizo zilikuwa zimalizike kwa pesa kutoka uchina na china walitoa hizo pesa na mhe karume amechota pia pesa zssf (nssf kwa bara) na matofali yaliyojengewa hizo nyumba yameuzwa na mama fatma karume! na na na vibarua wa ujenzi walikuwa wafungwa!

Naachamdomo wazi natafakari kisha jamaa anazidi kuniambia kuwa hii familia imegeuza hii zanzibar kama shamba la baba yao na sie tuliomo humu ndani kama vibarua wao maana wamejilimbikizia mali kisawasawa beach nzuri nzuri zote zinamilikiwa nawao wamenunua na nyingine wamedhulumu! na zile nyumba za michenzani mpya ile milango ya maduka yote ni ya first lady mama shadya karume! na mama yake mhe karume amevuka kutoka unguja mpaka pemba pale pemba micheweni karibu na kituo cha polisi kazuia eneo kubwa sana katia fensi analima mtama na kwa taarifa tu kicho kilimo cha mtama sio nia ni beach plots zilizopo nyuma ya hilo shamba la mtama.

Mastaajabu navuta pumzi namfikiria Lowassa na moyoni nasema kina Lowassa wapo wengi na hatuwawezi! Namuuliza mwenyeji wangu kuhusu hali ya kisiasa ananiambia ni mbaya sana na kuning'ata sikio kuwa ilipokuwa ikijadiliwa hoja ya serikali ya mseto nusu mkutano uvunjike maana mhe karume alisema kama ndio hivyo basi na muungano basi! jamaa akaniambia huyu hawezi kukubali mwafaka maana wamejilimbikizia sana mali wakikubali mseto "they will not be secured" na wanajitahidi kuunyanyasa upande wa pili wa zanzibar (pemba) pemba kukaa siku 2, 2 wiki au wiki mbili bila ya umeme ni jambo la kawaida pemba ni jela ndogo. Pemba hakuna kitu pemba kuna njaa! Serikali wanawafanyia wapemba u janjaweed wa kiana yake. Kufa hufi cha moto unakiona!

Jamani haya ndio niliyoyapata hapa visiwaniwale wanaJF mnaotoka Zanzibar tupeni in detail.

Maasalam.
Sokomoko safarini Zanzibar.

then mkiitwa WAANDISHI MAKANJANJA,mnasema ohhh JK anawatusi.
Reply With Quote
  #5  
Old 9th April 2008, 09:24 AM
Tuandamane Tuandamane is offline
Tuandamane has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 154,013, Level: 100 Points: 154,013, Level: 100 Points: 154,013, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Sat Feb 2008
Location: Every where
Posts: 1,146
Thanks: 7
Thanked 19 Times in 7 Posts
Rep Power: 25
Tuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enoughTuandamane will become famous soon enough
Angry Re: Ukistaajabu ya Edward Lowassa utayaona ya Aman A. Karume

kama yote nikweli, MPAKA LINI JAMANI?????????
Reply With Quote
  #6  
Old 9th April 2008, 11:50 AM
FairPlayer's Avatar
FairPlayer FairPlayer is online now
FairPlayer is rolling ball fairly
JF Premium Member
Points: 726,029, Level: 100 Points: 726,029, Level: 100 Points: 726,029, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Mon Feb 2006
Location: UK
Posts: 3,360
Thanks: 51
Thanked 178 Times in 121 Posts
Rep Power: 30
FairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enough
Default Re: Ukistaajabu ya Edward Lowassa utayaona ya Aman A. Karume

Sasa Engineer Mohd,

Jamaa kaambiwa naye ka share, wewe ulitaka nini? yeye ameripoti alichoambiwa. Inawezekana kuna ukweli au uongo ndani mwake. Ndio maana kaomba apewe details kwa wanaojua ukweli hasa..

Kati yako na sokomoko naona wewe ndie umetoka nje ya mistari na sio jamaa.
__________________
A positive thinker!
Reply With Quote
  #7  
Old 9th April 2008, 01:17 PM
Ndivyo Ilivyo Ndivyo Ilivyo is offline
Ndivyo Ilivyo has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 79,322, Level: 100 Points: 79,322, Level: 100 Points: 79,322, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Mon Mar 2008
Posts: 250
Thanks: 1
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 23
Ndivyo Ilivyo will become famous soon enoughNdivyo Ilivyo will become famous soon enoughNdivyo Ilivyo will become famous soon enoughNdivyo Ilivyo will become famous soon enoughNdivyo Ilivyo will become famous soon enoughNdivyo Ilivyo will become famous soon enoughNdivyo Ilivyo will become famous soon enoughNdivyo Ilivyo will become famous soon enough
Default Re: Ukistaajabu ya Edward Lowassa utayaona ya Aman A. Karume

Quote:
View Post
Sasa Engineer Mohd,

Jamaa kaambiwa naye ka share, wewe ulitaka nini? yeye ameripoti alichoambiwa. Inawezekana kuna ukweli au uongo ndani mwake. Ndio maana kaomba apewe details kwa wanaojua ukweli hasa..

Kati yako na sokomoko naona wewe ndie umetoka nje ya mistari na sio jamaa.
Ah huyo jamaa hafai hata kupewa huo ukweli. Yeye alikuwa huko huko kwa nini kakubali kupita Michenzani tu. Asitake kupitishwa sehemu nyengine pia za Zanzibar Mjini na hata vijijini?. Kwa nini kataka kujua habari za Micheweni tu na shamba la Mama Karume, hakudadisi na mabonde ya mpunga huko Pemba ambako Mheshimiwa Shein hivi karibuni alianzisha kilimo cha umwagiliaji. Kwa nini kasikiliza story za Familia ya Karume tu kuwekeza katika Miradi ya Utalii, asitake kujua nini kinaendelea katika kuendeleza sekta hiyo ambayo imepata mafanikio makubwa kwa kiasi fulani? Kama huo si Ukanjanja ni nini? Anataka nini sasa kwa wana JF walioko Zanzibar wakati mwenyewe alikuwepo huko "physicaly". Unataka hao wana JF washirikiane naye kkatika ukanjanja? Acha usanii Bwana.
Reply With Quote
  #8  
Old 9th April 2008, 01:29 PM
Jamco_Za Jamco_Za is offline
Jamco_Za crying for his beloved country
JF Premium Member
Points: 131,568, Level: 100 Points: 131,568, Level: 100 Points: 131,568, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Sat Jul 2007
Posts: 1,107
Thanks: 0
Thanked 10 Times in 8 Posts
Rep Power: 25
Jamco_Za will become famous soon enoughJamco_Za will become famous soon enoughJamco_Za will become famous soon enoughJamco_Za will become famous soon enoughJamco_Za will become famous soon enoughJamco_Za will become famous soon enoughJamco_Za will become famous soon enoughJamco_Za will become famous soon enough
Default Re: Ukistaajabu ya Edward Lowassa utayaona ya Aman A. Karume

Hizi story za kila siku maana viongozi wetu wote ni wabadhilifu kila unayemuongelea lazima ana skendo yake.
Reply With Quote
  #9  
Old 9th April 2008, 01:43 PM
FairPlayer's Avatar
FairPlayer FairPlayer is online now
FairPlayer is rolling ball fairly
JF Premium Member
Points: 726,029, Level: 100 Points: 726,029, Level: 100 Points: 726,029, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Mon Feb 2006
Location: UK
Posts: 3,360
Thanks: 51
Thanked 178 Times in 121 Posts
Rep Power: 30
FairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enough
Default Re: Ukistaajabu ya Edward Lowassa utayaona ya Aman A. Karume

Quote:
View Post
Ah huyo jamaa hafai hata kupewa huo ukweli. Yeye alikuwa huko huko kwa nini kakubali kupita Michenzani tu. Asitake kupitishwa sehemu nyengine pia za Zanzibar Mjini na hata vijijini?. Kwa nini kataka kujua habari za Micheweni tu na shamba la Mama Karume, hakudadisi na mabonde ya mpunga huko Pemba ambako Mheshimiwa Shein hivi karibuni alianzisha kilimo cha umwagiliaji. Kwa nini kasikiliza story za Familia ya Karume tu kuwekeza katika Miradi ya Utalii, asitake kujua nini kinaendelea katika kuendeleza sekta hiyo ambayo imepata mafanikio makubwa kwa kiasi fulani? Kama huo si Ukanjanja ni nini? Anataka nini sasa kwa wana JF walioko Zanzibar wakati mwenyewe alikuwepo huko "physicaly". Unataka hao wana JF washirikiane naye kkatika ukanjanja? Acha usanii Bwana.
Kaka vipi kama alikuwa hana muda?, je ni kazi yake kufuatilia?.

Wewe ukimuona mwizi ni kazi yako kupambana naye au unaita POLISI?

Think twice kabla hujamuhukumu mwenzako. Kumbuka wakati wewe unamnyooshea kidole kimoja vinne unajinyooshea wewe.
__________________
A positive thinker!
Reply With Quote
  #10  
Old 9th April 2008, 02:47 PM
Sokomoko Sokomoko is offline
Sokomoko has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 172,744, Level: 100 Points: 172,744, Level: 100 Points: 172,744, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Sat Mar 2008
Posts: 305
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 22
Sokomoko will become famous soon enoughSokomoko will become famous soon enoughSokomoko will become famous soon enoughSokomoko will become famous soon enoughSokomoko will become famous soon enoughSokomoko will become famous soon enoughSokomoko will become famous soon enoughSokomoko will become famous soon enough
Question Re: Ukistaajabu ya Edward Lowassa utayaona ya Aman A. Karume

Quote:
View Post
then mkiitwa WAANDISHI MAKANJANJA,mnasema ohhh JK anawatusi.
Ahsante saana eng mohammed sijui wewe ni eng wa nini! maana sidhani kama unahitaji degree kujua pumba na mchele. mie hayo nimeelezewa na watu wenye akili zao na kuheshimika zanzibar naruadia watu wenye akili zao na wenye kuheshimika wamenipa story hizo za Family ya mhe karume kujilimbikizia mali! nicho omba kanjanja mie ni kuwa kama kuna mtu humu JF mwenye kujua mambo haya indetail atuletee ila haya ndio yanayosemwa au wewe eng wa uandishi mpigie simu JAbir Idrissa au Salim Said Salim au Abdallah Saleh maana wewe rank yako kubwa egn bwana! uwaulize kama yasemwayo ni kweli au sio kweli lakini ndio maneno yaliyopo kila baraza ukiuliza unaambiwa hivyo hivyo yaani ni kama nyimbo inayo hit redio station (anita - matonya na jay dee)

Wewe ni mkubwa na akili zako tunachotaka hapa ni kujua ukweli haina haja ya kutukanana na kushushiana hadhi "hoja hujibiwa na hoja" kwahiyo lete hoja yako mfano
1. mhe karume na mkewe wana banda moja la mama ntile na wala sio kila beach wamezuia wao na wao ndio key player kweye mambo ya utalii then unaenda kwa ufafanuzi zaidi.
2. mhe karume ana pick up moja
3. mama yake pale kwenye shamba la mtama ni la shoga yake ameazima alimie tu
3. yale matofari yaliyo kuwa yanadaiwa kuuzwa na mama karume sio kweli ila ameyatoa bure ku push maradi wa marehemu mumewake.
4. wale wanaosemekana walikuwa ni wafungwa sio wafungwa ila ni vibarua sare zao tu ndio zinafanana na wafungwa.

Eng Mohamed unayaweza hayo ila nimekusaidia unavyotakiwa kufanya then ukilipwa nitumie credit na mie nimpigie Jabir Idrissa nimuulize heheheheh hamwachi?

Mwenye details atupe jamani kama zssf zimechotwa ngapi kwenye yale majengo na uchina wametoa ngapi!

Ahsante sana eng sana mohamed
Sokomoko
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
aman, edward, karume, lowassa, ukistaajabu, utayaona

Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On

Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Mazuri ya Edward Lowassa quarz Jukwaa la Siasa 102 5th October 2009 04:51 PM
Lowassa amezushiwa Buzwagi 31.10.07 mkama Jukwaa la Siasa 5 12th July 2009 06:50 PM
LOWASSA: Viongozi wapo, au ni mauzauza? Kulikoni Jukwaa la Siasa 111 13th September 2007 10:42 PM
Kenyan Press: 'Nomadic' P.M Edward Lowassa Dua Habari na Hoja mchanganyiko 20 27th February 2007 04:06 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!

All times are GMT +3. The time now is 05:53 PM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com