JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

  Report Post
  Page 4 of 6 FirstFirst ... 23456 LastLast
  Results 61 to 80 of 107
  1. Lukansola's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2010
   Location : 6°48′S 39°17′E
   Posts : 5,338
   Rep Power : 1602
   Likes Received
   1436
   Likes Given
   1972

   Default Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   Askofu Kakobe ameifananisha tiba ya Loliondo kwa babu na iliyokuwa taasisi feki ya DECI huku akidai imesababisha watu kuacha tiba za kuaminika za hospitali na kukimbila huko.

   Maswali yangu ni haya:
   1. Si kweli kwamba hata yeye aliwaombea watu waliokata tamaa na tiba za hospitali au amekuwa akijitangaza kuwa na uwezo wa kuombea na kutibu magonjwa sugu ?

   2. Amefanya uchunguzi ili kujiridhisha kwamba huo ni utapeli?

   3. Swali la mwisho ni kwamba: inawezekana ana wasiwasi wa idadi ya waumini wake kupungua wakikimbilia Loliondo kutesti zali?

   Naombeni mawazo yen Great Thinkers
   Nawashukuru kwa utulivu wenu>
   NO SECOND CHANCE TO MAKE THE FIRST IMPRESSION

  2. Tram Almasi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2009
   Location : Marsabit
   Posts : 753
   Rep Power : 803
   Likes Received
   221
   Likes Given
   98

   Default

   Quote By Mwanamageuko View Post
   Uzuri wetu watanzania ndio huo! Wepesi kusahau... likitendwa na tunaemkubali zuri likitendwa na asiyetakiwa nasi basi la ovyo!

   Alichosahau Askofu Kakobe ni kuwa KUTESA KWA ZAMU!! amuache babu wa watu nae apete kivyake... ni MSIMU tu....
   Alaaaa,kumbeeee! Ok lets wait for the last episode of this drama.

  3. Mpasuajipu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd October 2010
   Posts : 838
   Rep Power : 734
   Likes Received
   26
   Likes Given
   4

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   Babu anatibu watu WENYE AKILI MBADALA KAMA KAKOBE HIVYO NAMSHAURI NA YEYE AKANYWE KIKOMBE CHA UZIMA KABLA HAJAZIDIWA.

   HUYU JAMAA MUONGO KISHENZI, KAZI KUTAFUNASADAKA ZA WATU KWA UTAPELI WAKE.
   "The trouble ain't that there many fools, but the lightning ain't distributed right" Mark Twain

  4. kimy's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 11th March 2011
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Lukansola View Post
   Askofu Kakobe ameifananisha tiba ya Loliondo kwa babu na iliyokuwa taasisi feki ya DECI huku akidai imesababisha watu kuacha tiba za kuaminika za hospitali na kukimbila huko.

   Maswali yangu ni haya:
   1. Si kweli kwamba hata yeye aliwaombea watu waliokata tamaa na tiba za hospitali au amekuwa akijitangaza kuwa na uwezo wa kuombea na kutibu magonjwa sugu ?

   2. Amefanya uchunguzi ili kujiridhisha kwamba huo ni utapeli?

   3. Swali la mwisho ni kwamba: inawezekana ana wasiwasi wa idadi ya waumini wake kupungua wakikimbilia Loliondo kutesti zali?

   Naombeni mawazo yen Great Thinkers
   Nawashukuru kwa utulivu wenu>
   majibu ya swali la tatu inawezekana ni kweli anaogopa waumini wake kupungua si unajua kila mtu anavutia kwake jamani.

  5. meddie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2010
   Posts : 385
   Rep Power : 648
   Likes Received
   83
   Likes Given
   8

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   Watz hatuna tabia ya kusoma ila tunatabia ya kuwahi kusema na kusema sana! Lkn imeandikwa...ZIJARIBUNI KILA ROHO!

  6. Mtumiabusara's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th November 2009
   Posts : 473
   Rep Power : 709
   Likes Received
   37
   Likes Given
   29

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   Quote By LD View Post
   Ni kweli kuprove Imani ni ngumu sana!!!
   Na ndio maana mi naona ngoja nibaki tu na Imani ya mti unaoponya, umegunduliwa na babu!!!
   Kwamba ni Mungu amemfunilia, kwa sasa sitasema kitu chochote.
   Upo sahihi katika mtazamo wa kisayansi .
   Tunaposema kuwa suala ni la kiimani na kufikiri kuwa ni ufunuo basis yetu ipo kwenye huo mti. Je kwa nini watu wasichukue mizizi ya huo mti au sijui majani wakachemshie kwao?
   Kwa nini dawa ni lazima unywe palepale kwa babu na huwezi kubeba kumpelekea mgonjwa wako ikafanya kazi ilele?

   Jibu ni kuwa hapo kuna extra power, suala si mti peke yake

  7. aye's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th October 2010
   Posts : 1,569
   Rep Power : 882
   Likes Received
   322
   Likes Given
   523

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   cha msingi watu wanapona hawana jipya hawa washafanya dini biashara

  8. Mpui Lyazumbi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st September 2010
   Location : Laela
   Posts : 1,538
   Rep Power : 885
   Likes Received
   201
   Likes Given
   78

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   Babu kawatikisa "manabii,wachungaji,maaskofu,w atabiri na waombeaji" wengi tu. Na mpaka muda muda huu ukipata KIKOMBE chake,basi umepona tofauti na hao wengine kabisa. Babu tigh ur seat belt. Wachakachuaji wanakuandama. Kaa kobe nae yumo.

  9. Kakalende's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st December 2006
   Posts : 3,575
   Rep Power : 1493
   Likes Received
   659
   Likes Given
   628

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   Kwa babu hakuna wasanii wa kutoa ushuhuda wa uongo kama kwa Kakobe!!???

  10. kipipili's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th July 2009
   Posts : 1,448
   Rep Power : 920
   Likes Received
   101
   Likes Given
   25

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   duuuuu kakobe omba msamaha ndugu yangu
   "Annuntio vobis gaudium magnum... habemus papam!" - "I announce to you a great joy... we have a pope!"

  11. Mkosoaji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th August 2009
   Posts : 362
   Rep Power : 699
   Likes Received
   37
   Likes Given
   69

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   wivu tu, manabii wa kweli na uongo ndio tutawajua sasa.

  12. WomanOfSubstance's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th May 2008
   Posts : 5,480
   Rep Power : 85964256
   Likes Received
   794
   Likes Given
   721

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   KAKOBE Anadhani hapo kuna ushindani wa kibiashara.Hajui babu anatibu karibu na bure na hatarajii sadaka wala zaka ( a.k.a fungu la 10)!

   tIBA YA BABU imewatikisa wengi.Madaktari nao wanaona kama babu ni tishio kwa ajira zao!
   Educating the mind without educating the heart is no education at all.... Aristotle  13. kifyoga b's Avatar
   Member Array
   Join Date : 14th February 2011
   Posts : 43
   Rep Power : 558
   Likes Received
   4
   Likes Given
   0

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   kama wengi walivyosema kakobe yupo kibiashara na wala si kumhubiri mungu huyu ambaye tuna mjua maana biblia inatuambia roho zilizo safi na takatifu hutafuta utukufu kwa ajili ya wengine na si manufaa ya kibinafsi. kakobe amejilimbizia mali anakusanya vidani vya waumini wake anako peleka hatujui. kwa hiyo anamuona babu ni tishio kwenye biashara yake ndio maana ameanza kutapatapa. babu yupo kwa kazi ya mungu zaidi maana angetaka kuwachangisha watu hata million wangelipa kwa sababu wapo desperate kupona but just five hundreds as running cost kwa wahudumu wake he doesnt care muda wake nguvu zake na risk ya afya yake lakini anatimiza mapenzi ya baba yake.

  14. Mwamakula's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th November 2010
   Posts : 1,658
   Rep Power : 85901965
   Likes Received
   273
   Likes Given
   1

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   BABU LOLIONDO KORTINI KWA UTAPELI
   Na Makongoro Oging'
   Baadhi ya wagonjwa wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi waliokunywa kikombe cha Mchungaji Ambilikile Masapile (pichani) mwaka huu katika Kijiji cha Samunge, Loliondo mkoani Arusha hatimaye wameamua kumburuza mahakamani kiongozi huyo kwa madai kwamba dawa yake haitibu kabisa na wamedanyanywa.

   Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi kwa nyakati tofauti wiki iliyopita kwa sharti la kutoandikwa majina yao, watu hao ambao wako katika Muungano wa Vyama vya Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi Tanzania (TANOPHA) walisema kwamba wao ni kati ya waathirika waliopelekwa na chama chao Samunge kupata tiba lakini cha ajabu ni kwamba tangu wanywe dawa hiyo wamekuwa wakipimwa hospitalini na kuonekana kuwa bado wana virusi vya ugonjwa huo.

   Waliendelea kusema kwamba kila wakienda kupima ili waone kama wamepona, wamekuwa wakielezwa na daktari kwamba hakuna mabadiliko na kikombe hakijawasaidia lolote lile, hivyo wameona ni udanganyifu na utapeli mkubwa hivyo wameamua kumfikisha mahakamani wakati wowote.

   “Hatuwezi kupoteza muda na fedha zetu kwa kwenda kunywa dawa ambayo haitibu, hii ni kuwarubuni wananchi, wengi wameuza mali zao, wengine kutumia akiba ya fedha walizokuwanazo kwenda Loliondo wakijua kwamba wangepona lakini cha kushangaza ni kwamba baadhi yetu wanakufa.

   “Wengine wako mahututi baada ya kupewa kikombe, tulikuwa na matumaini ya kupona hadi tuliacha kutumia vidonge vya kurefucha maisha vya ARV, hatuna mengi zaidi ila tunaomba umtafute mwenyekiti wetu akueleza zaidi,” alisema mmoja wa wanachama hao.

   NIA YA MWENYEKITI WA TANOPHA
   Mwenyekiti wa TANOPHA, Julius Kaaya alipotafutwa kwa njia ya simu juzi ili kueleza madai hayo ya wanachama wake, alisema kwamba ni kweli walipelekwa watu 14 kwenda kunywa dawa Loliondo lakini hakuna hata mmoja aliyepona kwani kila wanapopimwa hospitalini wanaonekana bado wana virusi.

   “Nakumbuka kwamba kipindi tunaenda huko Loliondo Machi, 19 mwaka huu tulifanya mkutano na waandishi wa habari, tulifika Samunge Machi 22, ambapo Machi 24 walikunywa dawa hiyo kila mmoja akiwa na matumaini ya kupona, baada ya siku 20 tangu wanywe dawa hiyo walienda hospitali kuangalia kama wamepona, daktari aliwaambia hakuna hata mmoja aliyepona, “ alisema Kaaya.

   Aidha, aliendelea kusema kwamba wanachama hao hawakukata tamaa , baada ya siku 90 walirudi tena hospitalini kuangalia kama kuna hauweni, daktari aliwapima na kuwaambia hakuna mabadiliko hata kwa mtu mmoja.
   Aliendelea kusema kwamba wanachama hao baada ya kuelezwa hivyo walikata tamaa na kuamua kuendelea kutumia ARV.

   “Wengi ambao tunajua kwamba wana HIV na walikunywa kikombe wanapukutika na hata juzi tulihudhuria mazishi ya mmoja wapo, hii dawa haitibu kwani kuna wagonjwa wa kisukari ambao waliinywa hawajapona .

   “TANOPHA ina vyama 230 vilivyosajiliwa na mimi ndiye mwenyekiti wao, nimekuwa nikipokea taarifa za baadhi ya wanachama wetu waliokwenda Samunge ambao waliacha kutumia ARV wakijua kwamba wamepona, wengi wamefariki.

   “Babu wa Loliondo amedanganywa na shetani na siyo kwamba alielezwa na Mungu, nashangaa viongozi wa dini wanaompigia debe wakati wao siyo wataalamu wa kujua kama dawa hiyo inaponya au la, ni ushabiki wa kidini usiokuwa na maana, lengo lao ni kuchuma fedha kwa wagonjwa.

   Kwa nini wasiwaachie wataalamu kushughulikia suala hilo?
   “Wanasiasa waliokunywa dawa hiyo na kupigwa picha na vyombo vya habari walihamasisha wananchi kwenda huko kunywa dawa, hawakupaswa kufanya hivyo, wao kama viongozi wangesubiri kwanza wapate matokeo ya utafiti wa Wizara ya Afya.

   “Ni kiongozi gani aliyejitokeza na kuonyesha cheti chake hadharani mbele ya vyombo vya habari kwamba amepona, wanaona aibu, ile siyo dawa ni maji tu.

   “Wizara ya Afya nao wameingiliwa na wanasiasa ambao wamekuwa wakidai kwamba inatibu wakati Waziri wa Afya kwa upande wake anasema kwamba dawa ya Ukimwi bado haijapatikana duniani.

   “Wizara inasema bado wanaendelea kuifanyia uchunguzi hiyo dawa ya Masapile,mpaka lini? Watutajie wangapi walikunywa maana mpaka sasa hakuna idadi kamili, kwa kweli wengi wamefariki ,wengine wako hoi, nawashauri wasiache kutumia ARV.

   “Wanaoishi na virusi wasione aibu wajiamini watumie ARV, watambue kwamba ni tatizo limeshawapata na wakifanya hivyo bila kuwa na hofu wanaweza kuishi miaka mingi,” alisema Kaaya.

   Alipoelezwa kuwa kuna watu waliokunywa kikombe wanataka kumfikisha mahakamani Mchungaji Masapile, Kaaya alisema hata yeye yupo tayari endapo atampata mtu wa kumsaidia kufungua kesi.

   “Masapile ameharibu taifa, ingekuwa kesi inafunguliwa bure kwa kweli ningeshafanya hivyo na kama wanachama wangu wameamua kumfikisha kortini, nawaunga mkono,” alisema Kaaya.   MCHUNGAJI MTIKILA
   Naye Mchungaji wa Kanisa la Full Salvation, Christopher Mtikila kwa upande wake amesema kwamba dawa hiyo haitibu na analishughulikia suala hilo ili kumfikisha mahakamani pamoja na mawaziri, wabunge na viongozi wa juu waliokunywa kikombe.

   “Mawaziri hao wamewahamasisha wananchi kwenda Loliondo kunywa dawa, lazima tuwashitaki pamoja na viongozi wa dini waliopiga debe,” alisema Mtikila. Viongozi wa dini waliohamasisha ni Askofu Thomas Laizer na Martine Shayo.

   Baadhi ya Mawaziri waliopata kikombe ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Sera na Uratibu wa Bunge), William Lukuvi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wassira, Waziri wa Ujenzi, John Magufuli.Wabunge ni Augustine Mrema, Edward Lowassa na wakuu wa mikoa ni Yohana Balele na Abbas Kandoro.

   MAJIBU YA BABU KWA WASIOPONA
   Mwandishi wetu wa Arusha wiki iliyopita alizungumza na msaidizi wa Mchungaji Masapile kwa njia ya simu, Paulina Lucas na kuulizwa kuhusu malalamiko hayo akasema wasiopona ni wale ambao hawana imani.

   “Kama hawajapona siyo makosa yetu. Tuliwaambia kabla kuwa katika tiba hii kigezo cha kwanza ni kuwa na imani na hapa tuna uthibitisho wa kutosha wa watu walioponywa na maajabu ya dawa hii wakiwemo wagonjwa wenye Ukimwi,” alisema Paulina.

   Alidai kuwa kuna baadhi ya watu wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi si wakweli kwani kuna uwezekano kuwa wamepona lakini wanashindwa kuweka wazi kwa malengo ya kukosa fedha wanazopewa na wafadhili.
   SOURCE:16/08/2011: GAZETI UWAZI

  15. Mwamakula's Avatar

  16. Mwamakula's Avatar

  17. #76
   ESAM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th March 2011
   Posts : 952
   Rep Power : 867
   Likes Received
   299
   Likes Given
   211

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   Quote By Mwamakula View Post

   Alichosema Kakobe tayari kimetokea tiba ya babu haikuwa chochote wala lolote. Hakuna watu sasa hivi na waliodai kupona wote sasa hivi wanaumwa na huku wengi wakiwa wamekufa. Pole sana mlioamini uongo wa shetani, okoka leo ndiyo suluhisho la matatizo yako yote

  18. Mhabarishaji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th October 2010
   Posts : 997
   Rep Power : 24623723
   Likes Received
   555
   Likes Given
   115

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   Kumbe Watanzania wengi, hatujui kupambanua kati ya Watumishi wa Mungu wa kweli, na Watumishi wa Mungu wababaishaji. Kakobe, alikuwa Mtumishi wa Mungu wa kwanza kabisa, kutuonya juu ya DECI, akatuambia ni "kamari ya kuzimu" (Source: Nipashe). Hatukumsikia, tukashupaza shingo, tukaendelea na DECI. Matokeo yake, TUKALIZWA!

   Akawa Mtumishi wa Mungu wa kwanza tena, kutuonya juu ya Babu wa Loliondo. Akatuambia, Babu naye, ni kama DECI. Kama kawaida yetu, tukashupaza shingo zetu, tukamrushia madongo mazito katika thread hii; na kisha kuendelea na Babu. Matokeo yake, tumeachiwa vilio, na wengine tumebaki wajane na yatima, na uchungu mwingi; kutokana na ndugu zetu kuacha dawa za hospitali.

   Baada ya kuisoma tena thread hii ya enzi hizo, nimejiuliza, "Kwa nini tumekuwa wazito, kumsikia Mtumishi huyu wa Mungu, Kakobe? Au linatimia lile Neno alilolisema Yesu, katika LUKA 4:24, "Akasema, Amin, nawaambia ya kwamba, Hakuna nabii mwenye kukubaliwa katika nchi yake mwenyewe" ???!!!

  19. katabu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th April 2011
   Posts : 272
   Rep Power : 595
   Likes Received
   28
   Likes Given
   0

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   Ukweli utadhihirika tu. Askofu alitukanwa sana. Lakini leo hii BABU wenu yuko wapi? Walio mtukana kwenye thread hii watubu kwa MUNGU. Acheni kiburi.

  20. 3squere's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2011
   Location : arusha to tanga
   Posts : 919
   Rep Power : 713
   Likes Received
   167
   Likes Given
   234

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   Ndo nacho mkubali nacho bishop kakobe mtu wa msimamo yeye ni biblia biblia na yeye kazi njema baba askofu

  21. katabu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th April 2011
   Posts : 272
   Rep Power : 595
   Likes Received
   28
   Likes Given
   0

   Default Re: Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

   Quote By 3squere View Post
   Ndo nacho mkubali nacho bishop kakobe mtu wa msimamo yeye ni biblia biblia na yeye kazi njema baba askofu
   Wana la kusema tena ndugu. Chamsingi wanatakiwa kutubu tu. Tatizo letu Watanzania wavivu wa kufuatilia ukweli wa neno la MUNGU. Ebu soma jinsi walivyo mtukana. Sijui wanamchukia kwa lipi!! Kusoma biblia mgogolo. Mtu anakuja na hadithi za kusimuliwa tu halafu anaanza kutukana. Wanatakiwa kutubu haraka sana kwa MUNGU na kwa mtumishi wake KAKOBE. Najua wengi walio mtukana ni wakristo wa majina tu. wale wanao ingia ktk ibada huku wanawaza pombe imeiva kwa nani au leo wakajirushe viwanja wapi. Ona sasa aibu walioipata.

  Page 4 of 6 FirstFirst ... 23456 LastLast

  Similar Topics

  1. Babu wa Loliondo
   By CLEMENCY in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 3
   Last Post: 14th November 2011, 13:46
  2. Babu wa loliondo atoweka
   By Sugar wa Ukweli in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
   Replies: 18
   Last Post: 29th April 2011, 01:03
  3. Kwa Babu Loliondo
   By Mshume Kiyate in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
   Replies: 5
   Last Post: 23rd March 2011, 01:12
  4. Replies: 18
   Last Post: 12th March 2011, 12:30
  5. Babu wa Loliondo awa tishio kwa Kakobe
   By dropingcoco in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 17
   Last Post: 8th March 2011, 00:50

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...