Siku kadha sasa zimepita katika maeneo mengi gazeti hili halipatikani, nashangaa sana gazeti hili kutokuwepo kwenye meza nyingi za kuwekea magazeti ambayo watu hupita pale na kuperuz then kuangalia ni kipi unachukua.
Katika mazungumzo yangu na moja wa wauzaji amekiri kuwa hawauzi hilo gazeti hadharani kwa kuwa kuna wakubwa wanawaandama wakiona gazeti la TZ daima. Kwa hiyo wanachokifanya ni kuificha lakini mtu akihitaji linapatikana.
eti lengo ni kwa kuwa linabadilisha mtazamo wa watu kwa kuwa linaandika kwa ukweli habari ambazo watu wanapenda. Nawashauri wahusika wa hii gazeti wafanye mpango wa kutafuta wauzaji waliopinda na wazalendo ni hawa wanaotishwa kidogo wanatetemeka.
Kuna muuzaji moja aliniambia yeye hata wangefanyaje lazima aweke juu ya meza na lazima copy moja ibaki kwa ajili ya kudisplay kwenye meza yake hadi jioni.
Naomba kuwasilisha.
“Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them.”“Insanity: doing the same thing over and over again and expecting different results.”" by Albert Einstein"
Acha ushenzi wa kishetani wee mchochezi wa chuki isiyokuwa na maana au unatafuta huruma ya watu?. Unachotaka kuwamezesha wenzio ni kwamba gazeti linauzwa kimagendo au? Kwa taarifa yako kila siku nanunua gazeti ya Tanzania Daima hate leo nimefanya hivyo.
Kama ni hujuma kama unavyodai wangelinunua magazeti kabla hajaenda kwa last vendor au wangeliteka kiwanda wakayatia moto kama ilivyofanyika kwa the daily nation huko kenya kipindi fulani au la kpundikiza wahariri. Kwanza wahujumu tanzania daima lina nini cha msingi cha kuogofya? mbona husemi Mwananchi, raia mwema au mwanahalisi ambao wameshapata misukosuko ya hapa na pale?
Siku kadha sasa zimepita katika maeneo mengi gazeti hili halipatikani, nashangaa sana gazeti hili kutokuwepo kwenye meza nyingi za kuwekea magazeti ambayo watu hupita pale na kuperuz then kuangalia ni kipi unachukua.
Katika mazungumzo yangu na moja wa wauzaji amekiri kuwa hawauzi hilo gazeti hadharani kwa kuwa kuna wakubwa wanawaandama wakiona gazeti la TZ daima. Kwa hiyo wanachokifanya ni kuificha lakini mtu akihitaji linapatikana.
eti lengo ni kwa kuwa linabadilisha mtazamo wa watu kwa kuwa linaandika kwa ukweli habari ambazo watu wanapenda. Nawashauri wahusika wa hii gazeti wafanye mpango wa kutafuta wauzaji waliopinda na wazalendo ni hawa wanaotishwa kidogo wanatetemeka.
Kuna muuzaji moja aliniambia yeye hata wangefanyaje lazima aweke juu ya meza na lazima copy moja ibaki kwa ajili ya kudisplay kwenye meza yake hadi jioni.
Naomba kuwasilisha.
Wamechemka hao,na mwanahalisi watasemaje?maana mwanhalisi ndio linaandika habari za kutisha zaidi na ambalo watanzania wengi wenye akili timamu wanalisoma.
Acha ushenzi wa kishetani wee mchochezi wa chuki isiyokuwa na maana au unatafuta huruma ya watu?. Unachotaka kuwamezesha wenzio ni kwamba gazeti linauzwa kimagendo au? Kwa taarifa yako kila siku nanunua gazeti ya Tanzania Daima hate leo nimefanya hivyo.
Kama ni hujuma kama unavyodai wangelinunua magazeti kabla hajaenda kwa last vendor au wangeliteka kiwanda wakayatia moto kama ilivyofanyika kwa the daily nation huko kenya kipindi fulani au la kpundikiza wahariri. Kwanza wahujumu tanzania daima lina nini cha msingi cha kuogofya? mbona husemi Mwananchi, raia mwema au mwanahalisi ambao wameshapata misukosuko ya hapa na pale?
Nakushauri utafute pengine pa kuanzia.
Punguza jaziba mkuu, naona jamaa Location yake yupo Arusha na hatujui Arusha sehemu gani... lakini sijaona umuhimu wa kuanzisha thread kama hii, ni kuongeza mzigo katika server za jamaa... halafu inaonekana kama analipigia debe kiaina hili gazeti maana lipo online kila siku kama halipati alitafute kwenye mtandao
Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.
Acha ushenzi wa kishetani wee mchochezi wa chuki isiyokuwa na maana au unatafuta huruma ya watu?. Unachotaka kuwamezesha wenzio ni kwamba gazeti linauzwa kimagendo au? Kwa taarifa yako kila siku nanunua gazeti ya Tanzania Daima hate leo nimefanya hivyo.
Kama ni hujuma kama unavyodai wangelinunua magazeti kabla hajaenda kwa last vendor au wangeliteka kiwanda wakayatia moto kama ilivyofanyika kwa the daily nation huko kenya kipindi fulani au la kpundikiza wahariri. Kwanza wahujumu tanzania daima lina nini cha msingi cha kuogofya? mbona husemi Mwananchi, raia mwema au mwanahalisi ambao wameshapata misukosuko ya hapa na pale?
Nakushauri utafute pengine pa kuanzia.
Matusi ya nini tena humu jamvini?
Mnang'oa meno ya Tembo ili mukayauze, mnang'oa meno na Kucha za Watanzania wasio na hatia ili iweje?
mwenye macho haambiwi tazama jaman, hali c inaonekana wazi, Tanzania daima siku hizi ni vichwa vya watanzania wenyewe kwa hiyo hata wafanye hujma kias gan bado tu mawazo yetu yanatutosha katika kufanya tathmin ya mambo inavyokwenda
Follow Us Here